Kwanini nyinyi mujiitao ati ndo "Mods",hamtumii haki humu mtandaoni-JF!?...mbona hamjali hata kuzidi kupoteza/kuhatarisha credibility yenu,na pia biashara yenu!?
Kwanini mnafuta na kufunga threads khasa pale mnapoona jamaa zenu wamezidiwa kwa hoja nzito!? Dah!
Sisi wengine hatuna kabisa haja hata ya kuchangia hayo mambo ya huyo jamaa ajiitae "Afande Sele"...yaani nyinyi Mods mnachekesha mno,mnafikiri hiyo ndo khabar kweli muhimu kuweka hapo "Jukwaa la Siasa"!?
Khalaf,huyo "Afande Sele",yaani ndo nani jamani,mbona sijawahi kumsikia tangia nimezaliwa wandugu!? Dah!
Sasa hivi hiyo ni thread/s ya pili,within only a couple of days,yaani mnafuta baada ya kuona ndugu zenu wanazidiwa/wamezidiwa!?
Yale materials/majambo tuliyoandika...kwanini munayaogopa!? Mnaficha nini hapo nchini na kwa maslahi ya nani!?
Where is the freedom speech/freedom of expression!?...mbona jamaa zetu mwataka kuturejesha kulekule "enzi za Mwalimu"!?
Tafadhalini wandugu Mods; rejesheni ile thread alofungua "Yericko Nyerere" na kudai ati ametishiwa kuuwawa na Mbunge Zitto Kabwe...mle ndanimwe (kwenye ile thread mliyoifunga!) pana khabar/ujumbe mzito mno na muhimu,twataka Watanzania woote wausome!
Ahsanta sana.
Cc;Ritz,Kahtaan,CHAMVIGA,THE BIG SHOW