Mauaji ya wabeba mkaa maarufu 'booster'

Mauaji ya wabeba mkaa maarufu 'booster'

Unakumbuka yule dogo mpambanaji aliyeibiwa na polisi hela zake za madini mtwara hadi wakamchoma na sindano ya sumu. Na dogo kwenda kudai haki yake kabla ya kumuua yani walivyomtreat utadhani jambazi wakamfungia nakumkalisha chini. Ndugu zake kufuatilia nao vitisho kutaka kubambikiziwa kesi. Mungu akasaidia maza kuingilia kati sijui kesi imefika wapi? Nachukia hawa watu watatu WAONEVU, WASALITI NA WADHULUMATI.
Hiyo kesi vyomba vya habari navyo kimya utafikiri haipo.Mibaba mizima inayopewa shikamoo na eti maofisa wa polisi na masharubu yao yanaua kijana mpambanaji pumbavu kabisa.
 
Tuendelee kujenga tabia hii ambayo itatufanya na sisi tuwe violence national, police hawaruhusiwi kutumia deadly force, unless maisha ya raia au ya kwake yakiwa hatarini, police state in the making, kulalama humu hakusaidii chochote ni push back ndio lugha hawa kenges watakayo isikia
sawa police nao ni wadau wa matumizi ya silaha za moto,lakini habari hii inawahusu askari wa misitu.

tuwe waaminifu wakati mwingine,sio kila lawama inahusu police.
 
Una shida ya akuli? Kuna watu wezi na wanaiba n a kuuza maliasuli na bado wako ofisini. Je kwanini wasiwakamate
No shortcut hapa, mnamaliza misitu halafu kizazi kijacho kitaishi vipi. Ubinafsi tu umewajaa. Gesi yote hii ya bei rahisi bado tu mnahangaika na mkaa tena mkaa haram.
 
sawa police nao ni wadau wa matumizi ya silaha za moto,lakini habari hii inawahusu askari wa misitu.

tuwe waaminifu wakati mwingine,sio kila lawama inahusu police.
Wewe ukisoma neno police, unaelewa nini, tuanzie hapo
 
Japo kuua ni kosa kisheria.

Lakini watanzania wafate na kutii sheria wasitake huruma zisizo na msingi kutokana na hali zao za kiuchumi.
Wakikamatwa hukumu yao wapande miti 10000 kila mmoja na elimu inatakiwa sana kila wakati
Wafundishwe na kuelimishwa kuwa miti ni uhai

Sasa wanawauwa wachoma mikaa ila kuna wafugaji ambao wanakata miti na kuchoma misitu kila leo
Wote wapewe adhabu ila sio kuuwa kwa kweli
Nachukia sana wanaoharibu misitu lakini nachukia zaidi kuuwa
 
kumbe maliasili ni polisi?
Kwani wewe mkuu unaelewa nini kuhusu neno police?,ngoja tusaidiane, ni official anayeangalia public order, fighting CRIME, law enforcer, mali asili kile kitengo chao cha enforcer ni police na wamepewa silaha za moto,hizi royal families zitatawala sana kwa upumbavu huu
 
Norway police waliwaspray waandamanaji usoni weeee ilikuwa kasheshe iyo disciplinary committee ilikesha usiku kucha na jeshi la police kuomba msamaha halafu waandamanaji wenyewe walikuwa waarabu wakipinga uvamizi wa Gaza. Halafu hii mijitu haiendagi kanisani na haimjui Yesu lakini ina utu balaa. Cha kushangaza enzi ziko za giza darkness ages ilipokuwa inamjua Yesu ilikuwaga mikatili na mi7aji.
Umebadilika sana siku hizi, sioni ukiandika chuki za uislam, umekua mtu wa kujali utu zaidi kuliko dini.

Ni jambo jema, hongera pia kujua mkaya mkaa, mpalestina wa gaza wote ni binadamu wanahaki ya kuishi.
 
Hamjui kuna sheria imepitishwa kuwapa watu fulani haki ya kukuua wakijisikia? Yaani anakuua kwa utashi wake kwa mujibu wa sheria. Tulieni mlambe asali nchi imefunguka, demokrasia imetamalaki.
 
Umebadilika sana siku hizi, sioni ukiandika chuki za uislam, umekua mtu wa kujali utu zaidi kuliko dini.

Ni jambo jema, hongera pia kujua mkaya mkaa, mpalestina wa gaza wote ni binadamu wanahaki ya kuishi.
Hahaha noted mkuu
 
Wana jamvi habarini za wakati huu.

Jana majira ya saa sita usiku kuna mauaji yametokea yaliyosababishwa na watu wa maliasili.

Tukio hilo limetokea Mkoa wa Pwani, wilaya ya Kibaha (V), tarafa ya Ruvu, Kata ya Kwala, kijiji cha Kwala! ambapo watu wa kubeba mkaa maarufu kama booster wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wa maliasili walipokuwa wakisafirisha mkaa majira ya usiku na kupita maeneo walipokuwa wameweka mtego maliasili.

Watu hao walipigwa risasi na mmoja wao akapoteza maisha hapo hapo, mwingine alifariki akiwa anapelekwa hospital leo saa sita mchana mara baada ya askari wa mlandizi kufika eneo la tukio, mtu huyo mmoja alishindwa kupata msaada wa kwanza kwa muda wa masaa zaidi ya 12 sababu kuu ikiwa ni zuio kutoka kwa watu wa maliasili huku akizidi kupoteza damu nyingi zaidi.

Maoni yangu

Hawa watu ni watafutaji kama watafutaji wengine, wameacha familia zao wakienda kutafuta maisha katika kipindi hiki kigumu tunachopitia watanzania wengi,

Hivyo basi, ni vyema maliasili kuongozwa na utu wakati wa kufanya kazi zenu, silaha ya moto itumike pale penye ulazima tena baada ya kuchukua precautions kama sheria inavyotaka.

Wanajukwaa tupaze sauti ili haki intendeke kwa ndugu wa marehemu, uchunguzi katika hili ninmuhimu sana, maana mauaji yamekuwa yakichukuliwa kama kawaida na hawa wanaojiita watu wa maliasili.
Shida ya hii nchi usipokuwa mtumishi wa umma unachukuliwa km wewe ni hasara.

Hawa watumishi wa umma wanajiona km wao ni wa pekee na raia hawawezi kuwafanya chochote.
Hii yote ni sababu ya mifumo yetu mibovu ya kulindana lindana.
 
Wana jamvi habarini za wakati huu.

Jana majira ya saa sita usiku kuna mauaji yametokea yaliyosababishwa na watu wa maliasili.

Tukio hilo limetokea Mkoa wa Pwani, wilaya ya Kibaha (V), tarafa ya Ruvu, Kata ya Kwala, kijiji cha Kwala! ambapo watu wa kubeba mkaa maarufu kama booster wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wa maliasili walipokuwa wakisafirisha mkaa majira ya usiku na kupita maeneo walipokuwa wameweka mtego maliasili.

Watu hao walipigwa risasi na mmoja wao akapoteza maisha hapo hapo, mwingine alifariki akiwa anapelekwa hospital leo saa sita mchana mara baada ya askari wa mlandizi kufika eneo la tukio, mtu huyo mmoja alishindwa kupata msaada wa kwanza kwa muda wa masaa zaidi ya 12 sababu kuu ikiwa ni zuio kutoka kwa watu wa maliasili huku akizidi kupoteza damu nyingi zaidi.

Maoni yangu

Hawa watu ni watafutaji kama watafutaji wengine, wameacha familia zao wakienda kutafuta maisha katika kipindi hiki kigumu tunachopitia watanzania wengi,

Hivyo basi, ni vyema maliasili kuongozwa na utu wakati wa kufanya kazi zenu, silaha ya moto itumike pale penye ulazima tena baada ya kuchukua precautions kama sheria inavyotaka.

Wanajukwaa tupaze sauti ili haki intendeke kwa ndugu wa marehemu, uchunguzi katika hili ninmuhimu sana, maana mauaji yamekuwa yakichukuliwa kama kawaida na hawa wanaojiita watu wa maliasili.
huu ni uonevu,kwani huo mkaa wanauiba?
Ni kwa nini wauliwe wanunuaji na si wale wanaokata miti na kuchoma?
Serikali ichukue hatua kwa uonevu huu. Hatuhitaji kuona tukio kama lililojitokeza pale salenda bridge
likiwakuta wanaojiita mali asili kwenye vibanda vyao pale kibaha.
 
Tuendelee kujenga tabia hii ambayo itatufanya na sisi tuwe violence national, police hawaruhusiwi kutumia deadly force, unless maisha ya raia au ya kwake yakiwa hatarini, police state in the making, kulalama humu hakusaidii chochote ni push back ndio lugha hawa kenges watakayo isikia
Kenge mamako lazima maliasili ilindwe kwa nguvu zote. Walikuwa wanapima kina cha maji.
 
Back
Top Bottom