Mauaji ya wabeba mkaa maarufu 'booster'

Mauaji ya wabeba mkaa maarufu 'booster'

Kwa Nini hao askari wasiwe bize kulinda hyo misitu isivunwe,wakati mwingine mkaaa unaweza Toka kwenye shamba la mtu .wabunge wa sisi emu hawawezi kututetea wananchi wa Hali ya chini,tunalazimiahana kutumia gesi ambayo hatuimidu gharama zake
Reasoning hawana wakuu
 
Hili tukio sio mara ya kwanza nasikia,Mwaka jana au mwaka juzi kulitokea kitu kama hili mlandizi,mali asili walikuwa wanafukuzana na hao bosster. Nadhan booster alikufa wananchi wakaziba barabara ya Morogoro.
Still hawajifunzi mkuu, maliasili soon watawekwa kwenye list kama ya polisi na raia,
 
Haki huinua Taifa, bali uovu na dhuluma huliangamiza Taifa, wenzetu walioendelea(wazungu) wanabarikiwa zaidi naamini ni kwa ajili wanajali haki ya Uhai wa Mwanadamu pamoja na mapungufu mengine hili likizingatiwa vema linaweza kusababisha Taifa kubarikiwa
Norway police waliwaspray waandamanaji usoni weeee ilikuwa kasheshe iyo disciplinary committee ilikesha usiku kucha na jeshi la police kuomba msamaha halafu waandamanaji wenyewe walikuwa waarabu wakipinga uvamizi wa Gaza. Halafu hii mijitu haiendagi kanisani na haimjui Yesu lakini ina utu balaa. Cha kushangaza enzi ziko za giza darkness ages ilipokuwa inamjua Yesu ilikuwaga mikatili na mi7aji.
 
Haikuwa porini mkuu, walikuwa barabarani na watu wa maliasili walikuwa wetega sehemu wakiwangojea, to mean that they intend to murder them that night
Daah aiseee mbaya sana huku Magogo ya Mninga yapo bandarini ya kumwaga yakipakiwa kuelekea China bila kibali chochote huku mtaani tupo busy tunauana kwa ajili ya mkaa...
 
Haki huinua Taifa, bali uovu na dhuluma huliangamiza Taifa, wenzetu walioendelea(wazungu) wanabarikiwa zaidi naamini ni kwa ajili wanajali haki ya Uhai wa Mwanadamu pamoja na mapungufu mengine hili likizingatiwa vema linaweza kusababisha Taifa kubarikiwa
Ndio Maana huwezi kuua Mwisraeli ukabaki salama. Wanajali sana Uhai wa Mtu
 
Wanaume tunapitia mateso sana ili familia iende,hapo ukute ana mke watoto wazazi wote wanamtegemea.
Hapo ni sawa na kumua mama kuku.
Na hili ndilo linaweza kukuumiza zaidi mpaka ukashindwa kula, maana familia inapata pigo kubwa, kisa mtu wa maliasili mmoja asiye na reasoning, familia inaenda kutaabika bila msaada wowote
 
Back
Top Bottom