Anheuser
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 1,944
- 662
mavazi ya marehemu yako at the center of this row, sasa kwenye picha ametoa "ki thug flani" kivipi, ame pause anazomea mtu?Nani kazungumzia "mavazi" ya ki-thug?
mavazi ya marehemu yako at the center of this row, sasa kwenye picha ametoa "ki thug flani" kivipi, ame pause anazomea mtu?Nani kazungumzia "mavazi" ya ki-thug?
mavazi ya marehemu yako at the center of this row, sasa kwenye picha ametoa "ki thug flani" kivipi, ame pause anazomea mtu?
Hakuna weusi na Walatino ambao ni wabaguzi huko Amerika? Halafu, mabinti wa kizungu wao hawana ubaguzi?
pHUyu jamaa aliyetunga hii article ya kishenzi ni mzungu mweupe ambaye hutunga vitabu na kupeleka TV documentaries. namfahamu sana . yeye ili nakala zake azipate market anajifanya kubase kwenye ubaguzi wa rangi na kweli anauza sana maana watu wengi hununua ili kuona katukana vipi. Hilo swali ungeulizwa na mmarekani mweusi usingesema ubaguzi wa rangi kwa sababu ya wowowo za wanawake ila kwa sababu kakuuliza mzungu wewe unasema ubaguzi wa rangi. kua ndugu yangu na acha kuwachikia watu bure.
kwa kifupi ubaguzi wa rangi marekani hakuna kabisaaa ila maneno ya kukandiana yapo yapo kwa kila race. kule uarabuni kuna waafrica wengi sana lakini mbona hatuwaoni madarakani wala katika mabunge yao? hilo wewe halikukeli mpaka leo uanze kutunga habari za kipotoshotaji za kutaka wamarekani waonekane eti bado wabaguzi?
kuna ricle na Tv series ambazo zinaonesha Iraq ina waafrica weusi kama 10% na wanateswa sana na mpaka kubaguliwa kupewa viwanja vya kujenga wasijenge karibu na waarabu wewe hilo halikuumi?
nenda nigeria kano state kaombe kazi wakati jina lako unaitwa stephen, halafu uone kama utajibiwa, sasa wewe hilo hulioni kama ni tendo baya mpaka leo unawaingilia wamarekani waonekane wabaya ktk jamii ?
kuhusu obama kukandiwa ni haki ya kila mtu kumcritisise raisi, hata wamrekani weusi nao humpinga baadhi ya sera zake. kuna jamaa anaitwa mike moore yeyey mpaka alitunga movie ya kusimulia maudhi ya George bush lakini hilo halikuwa baya kwako kwa sababu ya mzungu kwa mzungu. Ila angetunga move ile kwa obama ingekuwa issue kwako! Kua zee hununui hasira zangu hata kidogo.
kuna mzee hapo bongo kmlazimisha mwane wa kike kumfukuza kijana wake mpenzi asisishi nae hapo hapo washington Dc kwa sababu huyo kijan kwao bongo ni jua la utosi na baba yake ni massenger. ubaguzi upo huko huko bongo kuliko marekani.
p
Wewe una matatizo, unaonekana unaabudu sana wazungu.....
Ungejua hao wazungu walivyokuwa wanafik na wanavyokuchukia,wala usingejipendekeza kwao.
You're right about that. Someone once told me 'racism is a big business in America' and I was like 'whaaat'? Later on I realized why he was saying that.