Mauaji ya Martin Trayvon...je haki ilitendeka?

Justice huwa haiwi determined by the looks whatsoever.Neither does steriotypes, justice is justice , period.
 
Nilitegemea uulize 'vijana weusi nao sio wabaguzi wa rangi?' In the sense that vijana weusi wakimuona mwanamke mweusi na mwanaume wa kizungu wanakuwa na mtazamo gani?

Kiukweli ubaguzi wa rangi upo (na mimi ni m'baguzi kwa kweli, given the same level I would go for a black fellow). Umesoma kitabu 'For whites only'? Its a south african based story looking at apartheid before and after independence. Hakuna bias, its true kuna ubaguzi na its true kuna kujibagua. Another inspiring story ni ya Ben Carson, his mom was a black single mom who was a maid kwa mzungu. Aliwaambia wanae, u ar gonna make something of urselves no matter what. All I'm saying is people might be able to look down on you just becoz you ar black, but in the end you can always prove your point. It is upsetting to see blacks drop out of school, do drugs and all that. Can't we do as good and as decent as a common cocky definition of 'common'!
Hakuna weusi na Walatino ambao ni wabaguzi huko Amerika? Halafu, mabinti wa kizungu wao hawana ubaguzi?
 
In my 2012 list, you are the number one most stupidy person, yank watu wote mashuhuri wakubwa Wanazingumzia ubaguzi and they are Americans wewe hujafika hata Kenya unatetea? Utakua Katubu Wa Cuf kwenye kitongoji chako, au utakua umeolewa na Mzungu, Wazungu Wengi ni wezi, wabafuzi na washenzy hata waliopo Tanzania.



QUOTE=Tango73;3573735]HUyu jamaa aliyetunga hii article ya kishenzi ni mzungu mweupe ambaye hutunga vitabu na kupeleka TV documentaries. namfahamu sana . yeye ili nakala zake azipate market anajifanya kubase kwenye ubaguzi wa rangi na kweli anauza sana maana watu wengi hununua ili kuona katukana vipi. Hilo swali ungeulizwa na mmarekani mweusi usingesema ubaguzi wa rangi kwa sababu ya wowowo za wanawake ila kwa sababu kakuuliza mzungu wewe unasema ubaguzi wa rangi. kua ndugu yangu na acha kuwachikia watu bure.

kwa kifupi ubaguzi wa rangi marekani hakuna kabisaaa ila maneno ya kukandiana yapo yapo kwa kila race. kule uarabuni kuna waafrica wengi sana lakini mbona hatuwaoni madarakani wala katika mabunge yao? hilo wewe halikukeli mpaka leo uanze kutunga habari za kipotoshotaji za kutaka wamarekani waonekane eti bado wabaguzi?

kuna ricle na Tv series ambazo zinaonesha Iraq ina waafrica weusi kama 10% na wanateswa sana na mpaka kubaguliwa kupewa viwanja vya kujenga wasijenge karibu na waarabu wewe hilo halikuumi?

nenda nigeria kano state kaombe kazi wakati jina lako unaitwa stephen, halafu uone kama utajibiwa, sasa wewe hilo hulioni kama ni tendo baya mpaka leo unawaingilia wamarekani waonekane wabaya ktk jamii ?

kuhusu obama kukandiwa ni haki ya kila mtu kumcritisise raisi, hata wamrekani weusi nao humpinga baadhi ya sera zake. kuna jamaa anaitwa mike moore yeyey mpaka alitunga movie ya kusimulia maudhi ya George bush lakini hilo halikuwa baya kwako kwa sababu ya mzungu kwa mzungu. Ila angetunga move ile kwa obama ingekuwa issue kwako! Kua zee hununui hasira zangu hata kidogo.

kuna mzee hapo bongo kmlazimisha mwane wa kike kumfukuza kijana wake mpenzi asisishi nae hapo hapo washington Dc kwa sababu huyo kijan kwao bongo ni jua la utosi na baba yake ni massenger. ubaguzi upo huko huko bongo kuliko marekani.[/QUOTE]
 
HUyu jamaa aliyetunga hii article ya kishenzi ni mzungu mweupe ambaye hutunga vitabu na kupeleka TV documentaries. namfahamu sana . yeye ili nakala zake azipate market anajifanya kubase kwenye ubaguzi wa rangi na kweli anauza sana maana watu wengi hununua ili kuona katukana vipi. Hilo swali ungeulizwa na mmarekani mweusi usingesema ubaguzi wa rangi kwa sababu ya wowowo za wanawake ila kwa sababu kakuuliza mzungu wewe unasema ubaguzi wa rangi. kua ndugu yangu na acha kuwachikia watu bure.

kwa kifupi ubaguzi wa rangi marekani hakuna kabisaaa ila maneno ya kukandiana yapo yapo kwa kila race. kule uarabuni kuna waafrica wengi sana lakini mbona hatuwaoni madarakani wala katika mabunge yao? hilo wewe halikukeli mpaka leo uanze kutunga habari za kipotoshotaji za kutaka wamarekani waonekane eti bado wabaguzi?

kuna ricle na Tv series ambazo zinaonesha Iraq ina waafrica weusi kama 10% na wanateswa sana na mpaka kubaguliwa kupewa viwanja vya kujenga wasijenge karibu na waarabu wewe hilo halikuumi?

nenda nigeria kano state kaombe kazi wakati jina lako unaitwa stephen, halafu uone kama utajibiwa, sasa wewe hilo hulioni kama ni tendo baya mpaka leo unawaingilia wamarekani waonekane wabaya ktk jamii ?

kuhusu obama kukandiwa ni haki ya kila mtu kumcritisise raisi, hata wamrekani weusi nao humpinga baadhi ya sera zake. kuna jamaa anaitwa mike moore yeyey mpaka alitunga movie ya kusimulia maudhi ya George bush lakini hilo halikuwa baya kwako kwa sababu ya mzungu kwa mzungu. Ila angetunga move ile kwa obama ingekuwa issue kwako! Kua zee hununui hasira zangu hata kidogo.

kuna mzee hapo bongo kmlazimisha mwane wa kike kumfukuza kijana wake mpenzi asisishi nae hapo hapo washington Dc kwa sababu huyo kijan kwao bongo ni jua la utosi na baba yake ni massenger. ubaguzi upo huko huko bongo kuliko marekani.
p

Wewe una matatizo, unaonekana unaabudu sana wazungu.....

Ungejua hao wazungu walivyokuwa wanafik na wanavyokuchukia,wala usingejipendekeza kwao.
 
Jack Kennedy.jpg -trayvon-martin.jpg
As the Trayvon Martin case continues to unfold, a lot of unanswered questions remain about the tragic death of the Florida teenager. As a result, cartoonists have been fine-tuning their thoughts about the shooting. Everything from hoodies to skittles have entered the fray, as well as President Obama's comment that if he had a son, he'd look like Trayvon (which our conservative cartoonist Gary McCoy mocked as politicizing the event)

This is a bad accident but I believe he was at the wrong place at the wrong time,not every white person is a mad "racist", right?
 
Thamani ya mtu ni utu,yaani uhai.Usiseme kibaka.Usimhukumu mapema kabla ya vyombo vya sheria havijamvia hatiani.
 
You're right about that. Someone once told me 'racism is a big business in America' and I was like 'whaaat'? Later on I realized why he was saying that.

Ofcourse ubaguzi Marekani bado upo kwa sana tu. Mpaka kuna wazungu walifanya utafiti kati ya watoto wa wazungu na wa weusi (Black Americans) na akaja na majibu kuwa watoto wa weusi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo zaidi ukilinganishwa na watoto wa wazungu. Hata kama kuna ukweli utafiti kama huu ni dhahiri ni wa kibaguzi.
 
Nafikiri suala la racism halipo tu kwenye mauaji yenyewe ila limechochewa zaidi na jinsi polisi walivyohandle kesi yenyewe. Maelezo ya Zimmerman kuwa ile ilikuwa self defence yalitosha kumwachia huru bila kumhoji kwa kina huku polisi hao hao wakimchunguza marehemu mpaka kuchimba kama ana rekodi ya crime.
Pia waliharibu zaidi kwa kujaribu kuficha kielelezo cha recording ya radio kati ya Zimmerman & 911 akipewa maagizo asimfuate marehemu lakini akakaidi. Kijana huyu alishawekwa muhuri kuwa ni kibaka na matokeo yake polisi wakakubali maelezo mepesi ya self defence kumuachia huru mtuhumiwa huku marehemu akichimbwa crime history yake.
Ndio maana watu wanahoji polisi wangechukua hatua gani kama marehemu angekuwa mzungu? Of course Zimmerman angekuwa selo siku nyiingi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom