Watatu hatiani Mauaji ya XXXTentacion, wanaweza kufungwa Maisha jela

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Mahakama imewakuta na hatia ya mauaji ya daraja la kwanza na wizi wa kutumia silaha, Dedrick Williams, 26; Trayvon Newsom, 24 na Michael Boatwright, 27, baada ya Ushahidi kuthibitisha ushiriki wao katika tukio lililochukua uhai wa XXXTentacion mnamo 2018

Jahseh Onfroy, maarufu kama XXXTentacion, alikuwa na umri wa Miaka 20 tu, alipouawa huko DeerfieldBeach, Florida, baada ya kuvamiwa na kupigwa risasi na watu hao waliochukua begi lililokuwa na fedha taslimu Dola Elfu 50 za Marekani sawa na takriban Tsh. Milioni 117

Hukumu yao imepangwa kutajwa Aprili 6, 2023, ambapo wanaweza kukabiliwa na adhabu ya kifungo cha maisha jela

.......


Three men accused of killing 20-year-old rapper XXXTentacion during a 2018 ambush robbery have been found guilty.

A Florida jury convicted Michael Boatwright, 27, Dedrick Williams, 26, and Trayvon Newsome, 24 on Monday after deliberating for more than a week.

All three were charged with first-degree murder in connection to the death of the controversial rapper.

Another man, Robert Allen, pleaded guilty last year to second-degree murder.

The three face a possible sentence of life behind bars.

Rapper XXXTentacion, real name Jahseh Onfroy, was shot and killed in broad daylight in Florida in June 2018.

He was visiting a motorcycle shop and was leaving when he was approached by two armed masked men who "demanded property" from him, police said at the time.

At least one of the men shot XXXTentacion during a 45-second struggle.The suspects then grabbed a Louis Vuitton bag full of $50,000 (£42,000) in cash that the rapper had just withdrawn from the bank before fleeing the scene in an SUV.

During the trial, the lawyer for Boatwright argued that his client's DNA was not found on XXXTentacion's body. He said the DNA of the two other men did not match either.

The troubled talent of murdered star

"Whoever (XXXTentacion) struggled with is not in this courtroom," lawyer Joseph Kimok said during closing arguments.

The fourth suspect, Allen, testified against the other three after he pleaded guilty last year. Lawyers for the other suspects have argued that Allen lied about their client's involvement in the robbery and death.

They also claimed that investigators botched the case and failed to consider other suspects.

Lead prosecutor Pascale Achille, however, said that the lack of DNA evidence was irrelevant, as cell phone data shows the three accused were together near the motorcycle shop at the time of the rapper's death.

Ms Achille said that Bluetooth data shows the accused were in the SUV used by the shooters at that same time.

Prosecutors presented surveillance video from the motorcycle shop as evidence, as well as cell phone videos that the accused allegedly took hours after the killing showing them flashing handfuls of $100 bills.

XXXTentacion's music explored themes of depression, loneliness, abandonment and suicide. The platinum-selling rising rap artist faced some controversies in his brief career.

His personal life was plagued by allegations of domestic violence. He was facing 15 felony charges at the time of his death, including aggravated battery of a pregnant woman, domestic battery by strangulation and witness tampering.

His song Look at Me took off on SoundCloud and later exploded to No 34 on the Billboard Hot 100.

Many of his tracks climbed up the charts in the UK and the US shortly after his death, and his memorial was attended by thousands of fans.

Source: BBC
 
"videos that the accused allegedly took hours after the killing showing them flashing handfuls of $100 bills."

Jamaa wameua wakaiba halafu baada ya saa chache wanaenda kurekodi video wakichezea hela hizohizo?sijui ni ulimbukeni gani huu? Ni muda wa kuozea jela sasa.

XXXTentacion nae alishindwa kuwaachia hilo begi la hela akaokoa maisha yake?
 
waamerika unakuta ni vijana wadogo kabisa lakin ni mafia wa hatari, unakuta anamiaka 20 tu lakin anamiliki silaha na anafanya uhalifu. ili taifa sijui linanini
 
Halafu hawa steppers wapo kwenye street gang ya lil durk na durk ni mchizi wa drake...

Durk ndie alitakiwa kuwa mtuhumiwa namba 1 kwenye hili,durk kamuua X

OTF GANG Wamemuua Tentacion
 
Halafu hawa steppers wapo kwenye street gang ya lil durk na durk ni mchizi wa drake...

Durk ndie alitakiwa kuwa mtuhumiwa namba 1 kwenye hili,durk kamuua X

OTF GANG Wamemuua Tentacion
Si inasemekana kwamba Drake ndo amefanya umafia huu
 
Si inasemekana kwamba Drake ndo amefanya umafia huu
Ndio maana hapo juu nimesema durk na drake ni marafiki sana...drake anachawa wengi ndio maana wamemfichia hii skendo...

Wale masela(stepper's) waliompiga chuma X,Walikua drake,durk na young dolph wakicheza chess saa 1 kabla ya X kupigwa risasi...

Then baada ya kumuua walirudi palepale walipokua wakicheza chess,wakarekodi video wakiwa na dolla walizompora XXXTENTACION...

Location ileile ndio iliyowaponza...
ili kuzima soo wakamuua na young dolph...
 
Back
Top Bottom