Ndugu yangu
CARDLESS kuna ukweli kausema. Huu uzi ujadiliwe bila kuuhusisha Uislam kujifanya mna balance.
Mbona zikija mada za ugaidi na matukio ya kigaidi yanayohusisha Waislam huwa zinajadiliwa kwa kuwahusisha Waislam peke yake? Hakuna balance yoyote. Huyu Yeriko mfano akichambua kuhusu Ugaidi unaohusishwa Waislam unadhani atawataja LRA, KKK, Babbar Khalsa, nk, ili a balance? Sidhani.
Ukweli ni kwamba matukio kama lile la Kenya huyasikii katika Uislam na inajulikana ni watu gani wana hilo tatizo. Sio sawa kufananisha hali mbili zisizofanana ili kujifanya analeta balance. Kushamiri kwa ibada za kiislam ambazo zinajulikana kabisa na misikiti ikaongezeka sio tatizo.