Mauaji ya kiroho Kenya, Tanzania tuko hatarini

Mwneye hii dunia ni shetani kwa wale wanaojua mambo ya rohoni. Hapa hakuna wa kujisifia awe mkiristo, muislamau, mwabudu sanamu au asiye na dini. Ukiingia kiroho zaidi utakuta wote tuko chini ya kongwa la huyu mwovu ibilisi ambaye ndiye mtawala wa huu ulimwengu. System za dunia zikiwepo tawala zote na karibu 80-90% ya dini zote zinaendeshwa na shetani na mapepo yake. Yote haya yanayotokea ni kwa ajili ya kuzuia wanaadamu wasimjue Mungu wa kweli. Unfortunately wanaonfahamu Mungu wa kweli ni wachache sana na ni wale waliojaliwa na watakaojaliwa. Hapa hamtafahamu sana na msiniulize maana na mimi sina jibu. Kwa hiyo ninakushauri wewe unayejiita mkiristo au muislamu au mwabudu sanamu na kujisifia dini yako, inawezekana wewe huko mbali sana na Mungu wa kweli na shetani anafurahia unavyojisifia maana amekuweka kibindoni mwake teyari. Na kwa jinsi hiyo ni wachache sana watakaouna ufalme wa Mungu na wengi wataishia jehanum. It is so sad lakini ndivyo ilivyo. Kama ungali hai na una haja ya kumjua Mungu wa kweli, mtafute tu maana yeye niye mwenye Mbingu na nchi na vyote vilvyoko nadani yake. Omba Mungu tu atakufunulia pamoja na ukuu wake.
 
Miaka ya nyuma kidogo nilikuwa namtaka kingino Binti mlokole kanisa la Efatha la Josephat Mwingira. Ili nimpate bibie ilibidi na mimi niende kusali Mwenge Kwa Mwingira. Nilipofika ikafika muda wa kuombewa wageni (nikiwemo). Tulisimama madhabahuni maombi yakaanza. Watu wakaanza kuanguka hovyo chini lakini Mimi nikawa naangalia usimamaji wao. Mimi nikasimama strong. Sikuanguka nikaambiwa, "wewe una makini ya India eneo la Bombay". Kwa hiyo nahitaji muda maalumu wa kuombewa. Nikajitorokea maana Sina uhusiano wowote na Wahindi.
 
Hawa wanaomuabudu Brian Deacon wana shida sana. Walivyokuwa wajinga watakupa mifano ya kujitoa muhanga yanayofanyika huko middle east ili kubalance story.
Nawafananisha na punda wanabeba mzigo wa vitabu lakini vichwani hamna kitu kwa kutochambua mambo.
 
Hapo Kenya nimeenda kwa EV Ezekiel mwaka huu pale Kilifi nje kidogo ya Mombasa, ana uhusiano mkubwa na Pastor Mackenzie na ndio alinunua miundombinu yake pale Mackenzie alipohama kuondoka Kilifi
IMG_20230425_115522.jpg

EV Ezekiel naye vilevile ana dalili hizo, yeye wagonjwa wanafia kwake. Ana ardhi kubwa sana eneo hilo anajenga hospitali, international school, college of health na hostels za kufikia waumini. Muda sio mrefu ataibuka tu na yeye. Ila ninavyoona wake fake pastors wana ushirikiano na wanasiasa na wageni kufanya money laundering na land grabbing. Haiwezekani mtu mmoja amiliki hekali 800 ndani ya Kenya na ardhi yao ilivyo ngumu kupatikana kwa kisingizio cha "dini"
 
Tukio la tapeli wa kiroho Bwana Paul Mackenzie kuratibu mauaji ya watu zaidi ya 76 kwasasa, ambapo kwamjibu wa makadirio wa Idara ya upelelezi na maafa ya Kenya inasema wanaweza kufika 150 baadae. Kwanadharia ya kijasusi tukio hili ni Uzembe mkubwa wa idara ya Ujasusi Kenya, halina neno unaloweza kulitumia zaidi ya kusema ni Uzembe wa vyombo vya ulinzi na Usalama Kenya. Ni Kenya hiyohiyo yuko mgonjwa wa akili anajiita Mungu kwa sasa na amejaza wafuasi wanaomwamini. Lakini litufumbue kama taifa kurejea kwenye ushauri nilioutoa katika Kitabu cha Ujasusi kuhusu wajibu wa Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS). Kwenye kitabu nimeandika mengi, Kwaufupi nilisema kwamba:

Watu wakiona makanisa ya kikristu yakishamiri au wakiona misikiti na ibada za kiislamu zikishamiri, wasidhani ni kukua kwa imani flani katika nchi, bali ni uimara au udhaifu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Moja ya jukumu la vyombo vya ujasusi ulimwenguni ni kudhibiti na kuongoza mwenendo wa kiroho katika nchi, Nchi isiyotazama mambo ya kiimani kama nyenzo muhimu ya kiusalama, nchi hiyo iko hatarini.

Ukifika Moscow moja ya wajibu wa Shirika la Ujasusi la Urusi ni kudhibiti miitikio ya kimani katika nchi, na dini kuu ya Othodoksi inadhibitiwa kwa 100% na Shirika la Ujasusi la Urusi la FSB. Vivyo hivyo ukifika London, moja ya wajibu wa Shirika la Ujasusi la Uingereza la MI5 na hata MI6 ni kudhibiti miitikio ya kiroho, Dini kuu ya London ya Church of England (Anglican) hudhibitiwa na dola moja kwa moja. Rwanda jirani zetu tu hapo napo wameweka moazo na masharti magumu ya kutaka kubudu uholela. Lakini Tanzania, Kenya na Uganga ndiko kuna uholela wa kiimani, kila mhuni akilala na kuamka akisoma mstari mmoja wa bibli anafungua kijiwe na kutangaza ni Mchungaji/Nabii mara Kuhani ama anavuka zaidi na kujita Mungu.

Tanzania kama lilivyo taifa la wajinga, limejaza matapeli wa kiroho kila kona ya nchi hasa kwa dini ya kikristu, Kila ukitembea hatus kumi kuna kijiwe kinaitwa kanisa la mhuni flani, Ni Tanzania hiihii haijasahau mauaji ya juzi tu ya mmoja ya matapeli wa kiroho Boniface Mwamposa aliyewaua watu zaidi ya 30 tarehe 1 February 2020 kwamtindo aliouita kukanyaga mafuta. Huu ulikuwa ni uzembe mkubwa wa idara ya Usalama wa Taifa uliozaa maafa hayo, na badala yake alizawadiwa pongezi na heshima za kitaifa mbele ya utawala wa awamu ile. Lakini Tanzania hapahapa miaka ya nyuma kidogo 2003, kuna mhuni aliyekuwa kachoka maisha, aliwakusanya mamia ya watu, akawapeleka katika pori moja kule Segerea Ukonga akawashindisha njaa, kisha akawasomba hadi uwanja wa ndege, wakiwa hawana hati yoyote ya kusafiria wala nauli, wakaanza kulazimisha kutaka wapande ndege waende Iraq kuhubiri injili, kipindi hicho Iraq ilikuwa imevamiwa na Marekani. Polisi waliwazua, wakarudi kulekule pori la segerea, walikaa miezi kadhaa, njaa iliwachapa wakaanza kuondoka mmojammoja na wengine wakaanza kuwa vibaka na makahaba.

Uzembe wa Idara za Usalama katika nchi ya jirani ya Uganda uliendelea,Miaka ya nyuma kidogo nchini Uganda kwasababu tu ya uzembe wa idara ya Usalama ya Uganda, yuko kichaa mmoja aliyeitwa Joseph Kibweteere aliyezaliwa 16 Novemba 1932 na kutoweka 17 Machi 2000 hadi leo. Joseph Kibweteere alikuwa Mchungaji kiongozi wa Vuguvugu la Kurejeshwa kwa Amri Kumi za Mungu, kundi ambalo lilijitenga na Kanisa Katoliki nchini Uganda. Umaarufu wake uliibuka baada ya mwaka 2000 kuwachoma moto waumini wake 778 hadi kufa kabisa akiwaaminisha kuwa mwaka huo ni mwisho wa dunia.

Pengine nieleze jambo moja muhimu sana la kidini, Duniani ya Magharibi na Mashariki ya Kati, kuna dini kuu tatu zilizo katika maandishi ya kumbukumbu, ambazo ni Uyahudi, Ukristu, na Uislamu. Kisha kuna mnyumbuliko wa madhehebu kadhaa wa kadhaa, Lakini pia kuna dunia ya Mashariki ya mbali na Urusi, wao nao wa dini zao za Othodoksi na Hindu na Uchina pia. Dunia ya Ujamaa ina dini zao, na dunia ya ubepari nayo ina dini zao. Afrika hatuko kwenye hayo sisi ni fuata upepo tu tumepokea dini za majahazi ndizo hizi zinatusumbua tunauana na matapeli wanazitumia kujipatia utajiri kwa kigeni cha uhuru wa kuabudu.

Dini ya Uyahudi ambayo ni mojawapo kati ya dini za kale za binadamu, inayodhibitiwa na Shirika la Ujasusi la Israel la MOSSAD kwa viwango vyote. Uyahudi pia jina hilo lilienea baada ya makabila mengi ya Israeli kutoweka, hata wakabaki karibu watu wa kabila la Yuda tu. Uyahudi (Yuda) ni pia jina la kihistoria la sehemu ya kusini ya nchi ya Palestina au Israel.

Kwa jumla kuna namna mbili za kuangalia Uyahudi: ama kama dini au kama taifa. Namna zote mbili huchanganyikana na kutumiwa pamoja mara kwa mara. Kuna Wayahudi wanaojitazama raia wa nchi fulani na Uyahudi wao ni katika imani tu. Kuna Wayahudi wengine wanaosema hawafuati dini ya Kiyahudi wala hawaamini lakini wanajisikia kuwa Wayahudi kwa sababu ya ukoo na pia desturi za utamaduni wao. Wafuasi wa dini hiyo huitwa "Wayahudi" hata wasipokuwa na asili ya taifa hilo. Hata wakati ambapo idadi yao ilikuwa ndogo duniani, imani yao ilikuwa na athira kubwa. Wataalamu wengine huuita "dini mama" ya Ukristo na Uislamu. Siku hizi wako karibu milioni 21 duniani kote, hasa nchini Israel na Marekani.

Maoni yangu, Tufanye marekebisho ya kikatiba pale panaposema kila mtu ana uhuru wa kuabudu imani apendayo, tuongeze kuwa imani hiyo ipimwe kwanza na vyombo vya kusimania usajili wa makanisa nk. Kubwa zaidi tuzuie mtu kusajili kanisa binafsi. Kanisa kiwe chombo cha umma sio mtu binafsi. Kama ni chombo cha umma maana yake kikaguliwa mapato na matumizi na mamlaka za umma. Tuweke marufuku wa bidhaa yoyote kuuzwa kanisani iwe maji, vitambaa, Mafuta nk vyote hivi ili viuzwe, lazima vitambuliwe na TRA, na vilipiwe kodi. Kufanya hivyo tutazuia utitiri wa makanisa hatari ya wajasiliamali waliojazana kutapeli watu na kujitajirisha huku umma uliojaa kanisani ukiendelea kuwa masikini, kisha wachungaji wanawaambia waumini wenye misongo ya mawazo ati wanamapepo.

Na Yericko Nyerere
View attachment 2598934
Yericko amekuwa mwandishi mzuri kwenye Insight ya Ujasusi.

Wanaodharau haya waache wadharau kibri cha Uzima na Pesa.

Yericko we endelea na utume wako.

Ndio Utume Mungu aliokuitia.
 
Hapo Kenya nimeenda kwa EV Ezekiel mwaka huu pale Kilifi nje kidogo ya Mombasa, ana uhusiano mkubwa na Pastor Mackenzie na ndio alinunua miundombinu yake pale Mackenzie alipohama kuondoka KilifiView attachment 2599257

EV Ezekiel naye vilevile ana dalili hizo, yeye wagonjwa wanafia kwake. Ana ardhi kubwa sana eneo hilo anajenga hospitali, international school, college of health na hostels za kufikia waumini. Muda sio mrefu ataibuka tu na yeye. Ila ninavyoona wake fake pastors wana ushirikiano na wanasiasa na wageni kufanya money laundering na land grabbing. Haiwezekani mtu mmoja amiliki hekali 800 ndani ya Kenya na ardhi yao ilivyo ngumu kupatikana kwa kisingizio cha "dini"
Hujasikia Juzi wanamsifia Mwamposa Bungeni??
That was not by accident.
 
Mwneye hii dunia ni shetani kwa wale wanaojua mambo ya rohoni. Hapa hakuna wa kujisifia awe mkiristo, muislamau, mwabudu sanamu au asiye na dini. Ukiingia kiroho zaidi utakuta wote tuko chini ya kongwa la huyu mwovu ibilisi ambaye ndiye mtawala wa huu ulimwengu. System za dunia zikiwepo tawala zote na karibu 80-90% ya dini zote zinaendeshwa na shetani na mapepo yake. Yote haya yanayotokea ni kwa ajili ya kuzuia wanaadamu wasimjue Mungu wa kweli. Unfortunately wanaonfahamu Mungu wa kweli ni wachache sana na ni wale waliojaliwa na watakaojaliwa. Hapa hamtafahamu sana na msiniulize maana na mimi sina jibu. Kwa hiyo ninakushauri wewe unayejiita mkiristo au muislamu au mwabudu sanamu na kujisifia dini yako, inawezekana wewe huko mbali sana na Mungu wa kweli na shetani anafurahia unavyojisifia maana amekuweka kibindoni mwake teyari. Na kwa jinsi hiyo ni wachache sana watakaouna ufalme wa Mungu na wengi wataishia jehanum. It is so sad lakini ndivyo ilivyo. Kama ungali hai na una haja ya kumjua Mungu wa kweli, mtafute tu maana yeye niye mwenye Mbingu na nchi na vyote vilvyoko nadani yake. Omba Mungu tu atakufunulia pamoja na ukuu wake.
Kwa hiyo kumwabudu Muumba mbingu na nchi ndio kufanya haya ya:-
1)Kibwetere,Mc Kenzie?
2)Ugaidi kule Kibiti Rufiji ,Mapango ya Amboni ,Garissa ,Cabo Delgado n.k?
3)Kuchonganisha jamii kwa "ramli" zinazopigwa ndani ya baadhi ya nyumba za ibada?
4)Kufufua wafu ,kuwaletea watu utajiri na mafanikio,kuwatoza wenye shida mapesa mengi?
5)Kujenga mahekalu na kuishi kikwasi kama wafanyavyo baadhi ya watu?

RiP the late father of our nation ,El Comandante JKN you said well that enemies of the nation among them is IGNORANCE[emoji120]

#SiempreURT

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Miaka ya nyuma kidogo nilikuwa namtaka kingino Binti mlokole kanisa la Efatha la Josephat Mwingira. Ili nimpate bibie ilibidi na mimi niende kusali Mwenge Kwa Mwingira. Nilipofika ikafika muda wa kuombewa wageni (nikiwemo). Tulisimama madhabahuni maombi yakaanza. Watu wakaanza kuanguka hovyo chini lakini Mimi nikawa naangalia usimamaji wao. Mimi nikasimama strong. Sikuanguka nikaambiwa, "wewe una makini ya India eneo la Bombay". Kwa hiyo nahitaji muda maalumu wa kuombewa. Nikajitorokea maana Sina uhusiano wowote na Wahindi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hapo Kenya nimeenda kwa EV Ezekiel mwaka huu pale Kilifi nje kidogo ya Mombasa, ana uhusiano mkubwa na Pastor Mackenzie na ndio alinunua miundombinu yake pale Mackenzie alipohama kuondoka KilifiView attachment 2599257

EV Ezekiel naye vilevile ana dalili hizo, yeye wagonjwa wanafia kwake. Ana ardhi kubwa sana eneo hilo anajenga hospitali, international school, college of health na hostels za kufikia waumini. Muda sio mrefu ataibuka tu na yeye. Ila ninavyoona wake fake pastors wana ushirikiano na wanasiasa na wageni kufanya money laundering na land grabbing. Haiwezekani mtu mmoja amiliki hekali 800 ndani ya Kenya na ardhi yao ilivyo ngumu kupatikana kwa kisingizio cha "dini"
[emoji2960]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja,lakini MWAMPOSA mtoe KABISA kwenye ujinga.
Mwamposa anakwambia chukua maji ya nyumbani kwako na mafuta ya nyumbani kwako nyanyua niyaombee.
Kama kununua maji na mafuta upende mwenyewe
MWAMPOSA MWACHENI,MWACHENI,MWACHENI.AU NIPAZE SAUTI???
 
Tunapoililia Tanzania bora tunamaanisha kuwa UJINGA ndio adui wa kwanza kabisa....

Mawaziri wetu waupitie huu uzi kivitendo.....
Makatibu wetu wakuu waupitie huu uzi kivitendo....
"Think tankers" wetu waupitie huu uzi kivitendo......

Mpendwa mh.Rais wetu SSH yafanyie kazi haya mawazo tunayoyatoa sisi vijana tusio na nyumba zaidi ya hapa Tanzania.....

#TunaipendaTanzaniaKwaMoyoWoteNaTunamaanisha
#PundaAfeTanzaniaIbaki

#SiempreURT[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Yaache yafunguliwe tu makanisa hata ya ukoo, kabila, ya mashetani n.k. Hapa ndio watu watajua ni dini ipi waifuate kama kweli wanataka imani inayowapa amani nyoyoni mwao. Maana kuna dini zinazotia wasiwasi moyoni mwa watu na kuwaongezea shida.

Ukijikuta unaamini miungu wawili au zaidi ya wawili, jiulize kama kweli unaamani ya kweli au unajidanganya mbele ya wanaadamu wenzako. Kwa maana hapo kila mungu atakuwa na mamlaka juu yako na wakitofautiana interest.

Ushauri: 1) Tafuta dini yenye Mungu mmoja tu, ukiiamini hiyo itakupa amani ya kweli na utulivu usiokifani
2) Serikali isijiingize katika shughuli za kufungia makanisa hata yale ya ukoo, lakini kama muhusika/wahusika yeyote ndani ya kanisa au imani yeyote akafanya kosa la jinai afikishwe mbele ya sheria kama mtanzania yeyote yule.
3) Elimu itasaidia kuwakomboa watanzani kutoka kwa dini za kitapeli, hivyo serikali na wananchi kwa ujumla tujikite katika kuondoa ujinga.
 
Tukio la tapeli wa kiroho Bwana Paul Mackenzie kuratibu mauaji ya watu zaidi ya 76 kwasasa, ambapo kwamjibu wa makadirio wa Idara ya upelelezi na maafa ya Kenya inasema wanaweza kufika 150 baadae. Kwanadharia ya kijasusi tukio hili ni Uzembe mkubwa wa idara ya Ujasusi Kenya, halina neno unaloweza kulitumia zaidi ya kusema ni Uzembe wa vyombo vya ulinzi na Usalama Kenya. Ni Kenya hiyohiyo yuko mgonjwa wa akili anajiita Mungu kwa sasa na amejaza wafuasi wanaomwamini. Lakini litufumbue kama taifa kurejea kwenye ushauri nilioutoa katika Kitabu cha Ujasusi kuhusu wajibu wa Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS). Kwenye kitabu nimeandika mengi, Kwaufupi nilisema kwamba:

Watu wakiona makanisa ya kikristu yakishamiri au wakiona misikiti na ibada za kiislamu zikishamiri, wasidhani ni kukua kwa imani flani katika nchi, bali ni uimara au udhaifu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Moja ya jukumu la vyombo vya ujasusi ulimwenguni ni kudhibiti na kuongoza mwenendo wa kiroho katika nchi, Nchi isiyotazama mambo ya kiimani kama nyenzo muhimu ya kiusalama, nchi hiyo iko hatarini.

Ukifika Moscow moja ya wajibu wa Shirika la Ujasusi la Urusi ni kudhibiti miitikio ya kimani katika nchi, na dini kuu ya Othodoksi inadhibitiwa kwa 100% na Shirika la Ujasusi la Urusi la FSB. Vivyo hivyo ukifika London, moja ya wajibu wa Shirika la Ujasusi la Uingereza la MI5 na hata MI6 ni kudhibiti miitikio ya kiroho, Dini kuu ya London ya Church of England (Anglican) hudhibitiwa na dola moja kwa moja. Rwanda jirani zetu tu hapo napo wameweka moazo na masharti magumu ya kutaka kubudu uholela. Lakini Tanzania, Kenya na Uganga ndiko kuna uholela wa kiimani, kila mhuni akilala na kuamka akisoma mstari mmoja wa bibli anafungua kijiwe na kutangaza ni Mchungaji/Nabii mara Kuhani ama anavuka zaidi na kujita Mungu.

Tanzania kama lilivyo taifa la wajinga, limejaza matapeli wa kiroho kila kona ya nchi hasa kwa dini ya kikristu, Kila ukitembea hatus kumi kuna kijiwe kinaitwa kanisa la mhuni flani, Ni Tanzania hiihii haijasahau mauaji ya juzi tu ya mmoja ya matapeli wa kiroho Boniface Mwamposa aliyewaua watu zaidi ya 30 tarehe 1 February 2020 kwamtindo aliouita kukanyaga mafuta. Huu ulikuwa ni uzembe mkubwa wa idara ya Usalama wa Taifa uliozaa maafa hayo, na badala yake alizawadiwa pongezi na heshima za kitaifa mbele ya utawala wa awamu ile. Lakini Tanzania hapahapa miaka ya nyuma kidogo 2003, kuna mhuni aliyekuwa kachoka maisha, aliwakusanya mamia ya watu, akawapeleka katika pori moja kule Segerea Ukonga akawashindisha njaa, kisha akawasomba hadi uwanja wa ndege, wakiwa hawana hati yoyote ya kusafiria wala nauli, wakaanza kulazimisha kutaka wapande ndege waende Iraq kuhubiri injili, kipindi hicho Iraq ilikuwa imevamiwa na Marekani. Polisi waliwazua, wakarudi kulekule pori la segerea, walikaa miezi kadhaa, njaa iliwachapa wakaanza kuondoka mmojammoja na wengine wakaanza kuwa vibaka na makahaba.

Uzembe wa Idara za Usalama katika nchi ya jirani ya Uganda uliendelea,Miaka ya nyuma kidogo nchini Uganda kwasababu tu ya uzembe wa idara ya Usalama ya Uganda, yuko kichaa mmoja aliyeitwa Joseph Kibweteere aliyezaliwa 16 Novemba 1932 na kutoweka 17 Machi 2000 hadi leo. Joseph Kibweteere alikuwa Mchungaji kiongozi wa Vuguvugu la Kurejeshwa kwa Amri Kumi za Mungu, kundi ambalo lilijitenga na Kanisa Katoliki nchini Uganda. Umaarufu wake uliibuka baada ya mwaka 2000 kuwachoma moto waumini wake 778 hadi kufa kabisa akiwaaminisha kuwa mwaka huo ni mwisho wa dunia.

Pengine nieleze jambo moja muhimu sana la kidini, Duniani ya Magharibi na Mashariki ya Kati, kuna dini kuu tatu zilizo katika maandishi ya kumbukumbu, ambazo ni Uyahudi, Ukristu, na Uislamu. Kisha kuna mnyumbuliko wa madhehebu kadhaa wa kadhaa, Lakini pia kuna dunia ya Mashariki ya mbali na Urusi, wao nao wa dini zao za Othodoksi na Hindu na Uchina pia. Dunia ya Ujamaa ina dini zao, na dunia ya ubepari nayo ina dini zao. Afrika hatuko kwenye hayo sisi ni fuata upepo tu tumepokea dini za majahazi ndizo hizi zinatusumbua tunauana na matapeli wanazitumia kujipatia utajiri kwa kigeni cha uhuru wa kuabudu.

Dini ya Uyahudi ambayo ni mojawapo kati ya dini za kale za binadamu, inayodhibitiwa na Shirika la Ujasusi la Israel la MOSSAD kwa viwango vyote. Uyahudi pia jina hilo lilienea baada ya makabila mengi ya Israeli kutoweka, hata wakabaki karibu watu wa kabila la Yuda tu. Uyahudi (Yuda) ni pia jina la kihistoria la sehemu ya kusini ya nchi ya Palestina au Israel.

Kwa jumla kuna namna mbili za kuangalia Uyahudi: ama kama dini au kama taifa. Namna zote mbili huchanganyikana na kutumiwa pamoja mara kwa mara. Kuna Wayahudi wanaojitazama raia wa nchi fulani na Uyahudi wao ni katika imani tu. Kuna Wayahudi wengine wanaosema hawafuati dini ya Kiyahudi wala hawaamini lakini wanajisikia kuwa Wayahudi kwa sababu ya ukoo na pia desturi za utamaduni wao. Wafuasi wa dini hiyo huitwa "Wayahudi" hata wasipokuwa na asili ya taifa hilo. Hata wakati ambapo idadi yao ilikuwa ndogo duniani, imani yao ilikuwa na athira kubwa. Wataalamu wengine huuita "dini mama" ya Ukristo na Uislamu. Siku hizi wako karibu milioni 21 duniani kote, hasa nchini Israel na Marekani.

Maoni yangu, Tufanye marekebisho ya kikatiba pale panaposema kila mtu ana uhuru wa kuabudu imani apendayo, tuongeze kuwa imani hiyo ipimwe kwanza na vyombo vya kusimania usajili wa makanisa nk. Kubwa zaidi tuzuie mtu kusajili kanisa binafsi. Kanisa kiwe chombo cha umma sio mtu binafsi. Kama ni chombo cha umma maana yake kikaguliwa mapato na matumizi na mamlaka za umma. Tuweke marufuku wa bidhaa yoyote kuuzwa kanisani iwe maji, vitambaa, Mafuta nk vyote hivi ili viuzwe, lazima vitambuliwe na TRA, na vilipiwe kodi. Kufanya hivyo tutazuia utitiri wa makanisa hatari ya wajasiliamali waliojazana kutapeli watu na kujitajirisha huku umma uliojaa kanisani ukiendelea kuwa masikini, kisha wachungaji wanawaambia waumini wenye misongo ya mawazo ati wanamapepo.

Na Yericko Nyerere
View attachment 2598934
Kuna shida hapa! Hata yule DGTISS Kipilimba alikuwa mchungaji wa makanisa ya kilokole!

HIvi hao wanyama wanatumia udhaifu wa umaskini wa watanzania kama akina
1. Geodavie kule arusha
2. Mwamposa muuza maji na mafuta
3. Gwajima mfufuaji
4. Mzee wa upako
5 .Zumaridi -mungu chini ya jua!
5. Nabii Mashimo nk
Tatizo ni kwamba hata hao TISS ni waabudu washirika wao!
Kazi ipo:
Nani anahakiki usalama wa Raia hapa?
Kagame ameonyesha uongozi mapema sana kwa kuhakiki wahudumu wanaojiita wachungaji kuwa na angalao elimu na uelewa wa msingi. Hapa kwetu jitu (hata shetani) anaweza kujifanya amevuviwa na Roho mtakatifu na kuwaathiri raia kupita kiasi.
Hivi ile chopper ya mfufua wafu Gwajiboy imetoka wapi?
Hivi Geodavie anaishi kwa sadaka!

Makanisa makubwa kama - KKKT, RC, SDA wana mifumo ya kuhakikisha uwajibikaji wa sadaka na zaka za watu. Kwa hawa akina gwajima wanaopokea fedha kwenye mifuko yao na familia zao ukweli ni rahisi sana kufanya abuse!! Kama Gwajima simply this is a crook!
 
Wakristo tunayumbishwa sana
Mpaka ninaona aibu kama Mkristu kwamba tapeli moja linatumia jina la Yesu kuwahadaa watu ili lenyewe litajirike! Mtu anajiita mchungaji, au askofu, au hata nabii. Halafu anasema amewahi kwenda mbinguni akakutana na Ibrahimu au Petro, au hata Yesu mwenyewe. Bado Serekali inawachekea tu matapeli kama hao. Kama kazi ya dini ni kuwaandaa watu waende mbinguni, wewe uliyefika huko tayari urudije hapa duniani kwenye taabu? Ni bora Serikali kuchukua hatua kabla mambo hayajaharibika zaidi, hata kama viongozi wataitwa madikteta.
 
Naunga mkono hoja,lakini MWAMPOSA mtoe KABISA kwenye ujinga.
Mwamposa anakwambia chukua maji ya nyumbani kwako na mafuta ya nyumbani kwako nyanyua niyaombee.
Kama kununua maji na mafuta upende mwenyewe
MWAMPOSA MWACHENI,MWACHENI,MWACHENI.AU NIPAZE SAUTI???
Yeye kama nani ayaombee? Yaan ww mwenyewe ushindwe kujiombea dua?
 
Naunga mkono hoja,lakini MWAMPOSA mtoe KABISA kwenye ujinga.
Mwamposa anakwambia chukua maji ya nyumbani kwako na mafuta ya nyumbani kwako nyanyua niyaombee.
Kama kununua maji na mafuta upende mwenyewe
MWAMPOSA MWACHENI,MWACHENI,MWACHENI.AU NIPAZE SAUTI???
Pepo lako kama limeangukia kwa Mwamposa, nenda naye tu. Muda ndio mwalimu wa kweli. Kwa sababu wachungaji wa aina hii wana wana vitu vitatu vinavyoshabihiana:
1) Muumini anafundishwa kuamini miujiza (kama kweli ipo/mazingaombwe) ya mchungaji. Mchungaji huwa ni Mungu mtu. Imani = na miujiza
2) Dini hizi huwa za ukoo. Baba mchungaji akifa, taasisi inakumbwa na migogoro na mara nyingi huhusisha mgawanyo wa mali- 99% dini nayo hufa, mfano Joshua,.
3)Wachungaji/viongozi huzungumzia mali kama msingi mkubwa wa dini hizi.

Kumradhi kama nimekosea! ila tafakari kama wewe ni muumini wa dini hizo.
 
Tukio la tapeli wa kiroho Bwana Paul Mackenzie kuratibu mauaji ya watu zaidi ya 76 kwasasa, ambapo kwamjibu wa makadirio wa Idara ya upelelezi na maafa ya Kenya inasema wanaweza kufika 150 baadae. Kwanadharia ya kijasusi tukio hili ni Uzembe mkubwa wa idara ya Ujasusi Kenya, halina neno unaloweza kulitumia zaidi ya kusema ni Uzembe wa vyombo vya ulinzi na Usalama Kenya. Ni Kenya hiyohiyo yuko mgonjwa wa akili anajiita Mungu kwa sasa na amejaza wafuasi wanaomwamini. Lakini litufumbue kama taifa kurejea kwenye ushauri nilioutoa katika Kitabu cha Ujasusi kuhusu wajibu wa Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS). Kwenye kitabu nimeandika mengi, Kwaufupi nilisema kwamba:

Watu wakiona makanisa ya kikristu yakishamiri au wakiona misikiti na ibada za kiislamu zikishamiri, wasidhani ni kukua kwa imani flani katika nchi, bali ni uimara au udhaifu wa Idara ya Usalama wa Taifa. Moja ya jukumu la vyombo vya ujasusi ulimwenguni ni kudhibiti na kuongoza mwenendo wa kiroho katika nchi, Nchi isiyotazama mambo ya kiimani kama nyenzo muhimu ya kiusalama, nchi hiyo iko hatarini.

Ukifika Moscow moja ya wajibu wa Shirika la Ujasusi la Urusi ni kudhibiti miitikio ya kimani katika nchi, na dini kuu ya Othodoksi inadhibitiwa kwa 100% na Shirika la Ujasusi la Urusi la FSB. Vivyo hivyo ukifika London, moja ya wajibu wa Shirika la Ujasusi la Uingereza la MI5 na hata MI6 ni kudhibiti miitikio ya kiroho, Dini kuu ya London ya Church of England (Anglican) hudhibitiwa na dola moja kwa moja. Rwanda jirani zetu tu hapo napo wameweka moazo na masharti magumu ya kutaka kubudu uholela. Lakini Tanzania, Kenya na Uganga ndiko kuna uholela wa kiimani, kila mhuni akilala na kuamka akisoma mstari mmoja wa bibli anafungua kijiwe na kutangaza ni Mchungaji/Nabii mara Kuhani ama anavuka zaidi na kujita Mungu.

Tanzania kama lilivyo taifa la wajinga, limejaza matapeli wa kiroho kila kona ya nchi hasa kwa dini ya kikristu, Kila ukitembea hatus kumi kuna kijiwe kinaitwa kanisa la mhuni flani, Ni Tanzania hiihii haijasahau mauaji ya juzi tu ya mmoja ya matapeli wa kiroho Boniface Mwamposa aliyewaua watu zaidi ya 30 tarehe 1 February 2020 kwamtindo aliouita kukanyaga mafuta. Huu ulikuwa ni uzembe mkubwa wa idara ya Usalama wa Taifa uliozaa maafa hayo, na badala yake alizawadiwa pongezi na heshima za kitaifa mbele ya utawala wa awamu ile. Lakini Tanzania hapahapa miaka ya nyuma kidogo 2003, kuna mhuni aliyekuwa kachoka maisha, aliwakusanya mamia ya watu, akawapeleka katika pori moja kule Segerea Ukonga akawashindisha njaa, kisha akawasomba hadi uwanja wa ndege, wakiwa hawana hati yoyote ya kusafiria wala nauli, wakaanza kulazimisha kutaka wapande ndege waende Iraq kuhubiri injili, kipindi hicho Iraq ilikuwa imevamiwa na Marekani. Polisi waliwazua, wakarudi kulekule pori la segerea, walikaa miezi kadhaa, njaa iliwachapa wakaanza kuondoka mmojammoja na wengine wakaanza kuwa vibaka na makahaba.

Uzembe wa Idara za Usalama katika nchi ya jirani ya Uganda uliendelea,Miaka ya nyuma kidogo nchini Uganda kwasababu tu ya uzembe wa idara ya Usalama ya Uganda, yuko kichaa mmoja aliyeitwa Joseph Kibweteere aliyezaliwa 16 Novemba 1932 na kutoweka 17 Machi 2000 hadi leo. Joseph Kibweteere alikuwa Mchungaji kiongozi wa Vuguvugu la Kurejeshwa kwa Amri Kumi za Mungu, kundi ambalo lilijitenga na Kanisa Katoliki nchini Uganda. Umaarufu wake uliibuka baada ya mwaka 2000 kuwachoma moto waumini wake 778 hadi kufa kabisa akiwaaminisha kuwa mwaka huo ni mwisho wa dunia.

Pengine nieleze jambo moja muhimu sana la kidini, Duniani ya Magharibi na Mashariki ya Kati, kuna dini kuu tatu zilizo katika maandishi ya kumbukumbu, ambazo ni Uyahudi, Ukristu, na Uislamu. Kisha kuna mnyumbuliko wa madhehebu kadhaa wa kadhaa, Lakini pia kuna dunia ya Mashariki ya mbali na Urusi, wao nao wa dini zao za Othodoksi na Hindu na Uchina pia. Dunia ya Ujamaa ina dini zao, na dunia ya ubepari nayo ina dini zao. Afrika hatuko kwenye hayo sisi ni fuata upepo tu tumepokea dini za majahazi ndizo hizi zinatusumbua tunauana na matapeli wanazitumia kujipatia utajiri kwa kigeni cha uhuru wa kuabudu.

Dini ya Uyahudi ambayo ni mojawapo kati ya dini za kale za binadamu, inayodhibitiwa na Shirika la Ujasusi la Israel la MOSSAD kwa viwango vyote. Uyahudi pia jina hilo lilienea baada ya makabila mengi ya Israeli kutoweka, hata wakabaki karibu watu wa kabila la Yuda tu. Uyahudi (Yuda) ni pia jina la kihistoria la sehemu ya kusini ya nchi ya Palestina au Israel.

Kwa jumla kuna namna mbili za kuangalia Uyahudi: ama kama dini au kama taifa. Namna zote mbili huchanganyikana na kutumiwa pamoja mara kwa mara. Kuna Wayahudi wanaojitazama raia wa nchi fulani na Uyahudi wao ni katika imani tu. Kuna Wayahudi wengine wanaosema hawafuati dini ya Kiyahudi wala hawaamini lakini wanajisikia kuwa Wayahudi kwa sababu ya ukoo na pia desturi za utamaduni wao. Wafuasi wa dini hiyo huitwa "Wayahudi" hata wasipokuwa na asili ya taifa hilo. Hata wakati ambapo idadi yao ilikuwa ndogo duniani, imani yao ilikuwa na athira kubwa. Wataalamu wengine huuita "dini mama" ya Ukristo na Uislamu. Siku hizi wako karibu milioni 21 duniani kote, hasa nchini Israel na Marekani.

Maoni yangu, Tufanye marekebisho ya kikatiba pale panaposema kila mtu ana uhuru wa kuabudu imani apendayo, tuongeze kuwa imani hiyo ipimwe kwanza na vyombo vya kusimania usajili wa makanisa nk. Kubwa zaidi tuzuie mtu kusajili kanisa binafsi. Kanisa kiwe chombo cha umma sio mtu binafsi. Kama ni chombo cha umma maana yake kikaguliwa mapato na matumizi na mamlaka za umma. Tuweke marufuku wa bidhaa yoyote kuuzwa kanisani iwe maji, vitambaa, Mafuta nk vyote hivi ili viuzwe, lazima vitambuliwe na TRA, na vilipiwe kodi. Kufanya hivyo tutazuia utitiri wa makanisa hatari ya wajasiliamali waliojazana kutapeli watu na kujitajirisha huku umma uliojaa kanisani ukiendelea kuwa masikini, kisha wachungaji wanawaambia waumini wenye misongo ya mawazo ati wanamapepo.

Na Yericko Nyerere
View attachment 2598934
Wingi wa makanisa yanatusaidia kwenye uchaguzi usituharibie
 
Mackenzie aliwaekexa waumini waende kwenye shamba lake huko Kilifi (ekari 700) wakafunge mpk wafe ili waende peponi.

Hata askofu Mwingira huwa anatupleka shambani kwake Kibaha kila mwaka. Tunakuwa na kambi ya siku 30 huko.
Dah umenikumbusha Mwingira! Nenda Kibaha Kwamathias kuna sehemu inaitwa Umwelani kuna eneo kubwaaa la Mwingira, barabara zahumo ndani zina mpaka lami anawasomba watu toka Tanzania nzima anawavyonza mpaka nauli wanakosa maskini wa Mungu! Hawa watu huwaambii kitu wenyewe wanamwita Baba.
 
Back
Top Bottom