Mauaji ya kiroho Kenya, Tanzania tuko hatarini

Mauaji ya kiroho Kenya, Tanzania tuko hatarini

Ushawahi ona waislam wana huo upumbavu? Ushawahi sikia msikiti wa shekhe fulani?

Mnapotoa mada zenu msitake kubalance story, Uislam hauna huo upumbavu, always ni WAKRISTO ndio wanaaminishwa upumbavu.

Muslims always wanaamini kwa Mungu Mmoja (ALLAH S.W).

Hii mada isichanganywe na UISLAM.
You are wrong! Islams wengi ndio wanaokwenda kwa mitume na manabii feki aina ya Mwampoza kuliko Wakristo kwa taarifako kwa kuwa huko kwenu hawapati hizo huduma za miujiza
 
Unachanganya vitu viwili, kuna kanisa yani Church na kuna huduma yani Ministries.

Shida ipo kwenye hizi ministry.
Lakini hizo hizo ministry ndio matapeli na wanafanya huduma zote za kikanisa Hadi kufungisha ndoa na lengo la hizi ministry ni utapeli tu naona. Ka ni ministry basi zisijifanye kanisa, imagine mfalme zumaridi, kuhani Musa daily ni kuongelea uganga Tena anatumia Hadi shuhuda za watoto why wasidhibitiwe tu. Heri makanisa ya kitaasisi ka kina RC na KKkt kuliko Hawa wakujiita mitume ka kina suguye eti peleka nywele za sehemu za Siri hii ni hatari
 
Simkubali Kagame hata siku moja lakini kwenye kudhibiti hili yupo vizuri.

Rwanda hawezi kuwa cleric leader kama huna degree ya Theology, na ndio kikubwa Kinachowasumbuwa hawa wanaojiita makanisa ya Ki roho.

Jana jamaa yangu mmoja tulikuwa tunagida wote pombe sasa hivi anajiita Apostle hajapita Chuo chochote cha theology eti ananiambiwa amepewa maoni kuhusu Mimi.

Sasa kwakuwa namheshimu kama mshkaji ninemuweka kiporo nikamwambia nitakupigia.

Hawa watu ni wajinga sana, kimsingi hakuna binadamu ambaye akilala usiku haoti njozi, sasa hawa jamaa zetu akiota njozi asubuhi a nakupigia simu eti amepewa maoni, na ukiwa mjinga kama wao umekwisha.
 
Hata useme bado wajinga watasahau na kesho wakisikia mwamposa ana mafuta mapya watalundikana kukanyagana tena.
Ukiona wanaenda basi hujue mafuta yanawasaidia,wasipoenda basi hujue mafuta hayawasaidii mambo yao.
Kwaiyo kitu ambacho hakina faida kwako basi jua kina faida kwa wengine!
Mimi binafsi nishayatumia Maji na Mafuta ya Mwamposa kwa kumwaga ndani ya nyumba niliyokuwa nimepanga,aisee kuna vitu vya ajabu niliviona ndani ya ile nyumba;kuanzia mlangoni ninapoingilia,nilikuta dawa imefungwa na imewekwa kwenye fremu ya geti na ndani kwangu chini ya uvungu kuna Nng'e amekufa!siku zote nilikuwa sivioni ila baada ya kumwaga mafuta na maji niliviona.
Tangu nimeishi Ile nyumba kila pesa ninayoshika sioni imefanya kitu gani,baada ya kuhama ile nyumba leo namiliki mashamba na viwanja kibao.
Sikatai wapo Wahuni lakini mimi binafsi nimesaidiwa na Mafuta ya Mwamposa tena Wala sikuenda Dar es salaam,Mimi naishi Mwanza.Alipokuwa anaomba kwenye TV yake akasema chukua Maji na Mafuta na uelekeze kwenye TV,na nilifanya hivyo na leo mambo yangu yapo safi.
Kwaiyo kejeli siyo nzuri,mtu anamponda Mwamposa alafu kesho anaamkia kwa Waganga kuroga,sasa uyo mtu yeye ana usafi gani!!
 
Uwongo tu unampigia promo Mwaiposa! Haya makanisa ni ya kupiga marufuku
 
Hapo sasa ndipo lawama zote kwa TISS na mamlaka. Hivi kweli mpumbavu mmoja anayejiita yesu wa tongareni sijui anaweza kuachwa na mamlaka kufanya upumbavu ulie? Kesho wakiskia amewazika watu kadhaa baada ya kuwaua tutashangaa nini.
TISS inaonewa bure tu, kwasababu kwanza serikali haina dini.

Serikali inatambua haki za binadamu ikiwa ni pamoja na uhuru wa mtu kuabudu chochote as long as hataleta madhara kwa wengine.

Ujinga wa watu ndio wakulaumiwa, na hiyo imetokana na upuuzi wa imani wa kukubali kila kitu bila kuhoji.

Mi leo hii uniambie nishinde njaa kumfurahisha Mungu unafikiri nitahitaji TISS kujua hiyo ni scam?
 
You are wrong! Islams wengi ndio wanaokwenda kwa mitume na manabii feki aina ya Mwampoza kuliko Wakristo kwa taarifako kwa kuwa huko kwenu hawapati hizo huduma za miujiza
Matatizo yako ya akili kayapatie TIBA.
 
Simkubali Kagame hata siku moja lakini kwenye kudhibiti hili yupo vizuri.

Rwanda hawezi kuwa cleric leader kama huna degree ya Theology, na ndio kikubwa Kinachowasumbuwa hawa wanaojiita makanisa ya Ki roho.

Jana jamaa yangu mmoja tulikuwa tunagida wote pombe sasa hivi anajiita Apostle hajapita Chuo chochote cha theology eti ananiambiwa amepewa maoni kuhusu Mimi.

Sasa kwakuwa namheshimu kama mshkaji ninemuweka kiporo nikamwambia nitakupigia.

Hawa watu ni wajinga sana, kimsingi hakuna binadamu ambaye akilala usiku haoti njozi, sasa hawa jamaa zetu akiota njozi asubuhi a nakupigia simu eti amepewa maoni, na ukiwa mjinga kama wao umekwisha.
Hahaha mlikuwa mna gida nae pombe sasa mchungaji? Mpigie za kutosha siku halafu unamchana ukweli wake washenzi hawa
 
Unawadanganya na kuwapotosha sana wafuasi wako kuwaaminisha TISS ndio muarobaini wa kila kitu nchi hii.
 
"NINYI MNA DINI YENU NA SISI TUNA DINI YETU".

Kama wa moto awe moto sio wavuguvugu, hii mada haikupaswa kuingizwa hata neno Uislam.

Miaka mingi sana, sisi tulikemea haya makanisa yasiyo na mbele wala nyumba hasa matapeli kutoka MBEYA, IRINGA, ARUSHA hayo maeneo yana wapumbavu wengi sana.
Mara ngapi nyie na dini yenu mmejitoa muhanga na kuangamiza watu wasiyo na hatia? Acha upumbavu jikite kwenye mada huna cha kuchangia Kanye ukalale.
 
Kuna mjinga Mmoja anadai eti hata akiwa shoga hivyo ndivyo mungu ametaka awe ..na nimhubiri sijui nabii eee jamani ukristo umekuwa kituko..sema hatusomi vitabu wandishi wengi wameongelea utapeli wa viongozi wa dini,mfano mzuri ni Wole Soyinka ktk tamthilia "The Trials of Brother Jero"mhusika mkuu Jeroboam (brother Jero) anawaita waumini wake kwa Siri eti my costumers, wateja wake.ni wakati Sasa serikali kuhakikisha Kila anaefungua kanisa awe ni vigezo ikiwemo elimu ya chuo kikuu ili kudhibiti hawa wahuni

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Hatutaki udikteta wa kuingilia imani za kidini, acheni akili za kupenda kufungiwafungiwa kama watoto. Pia huhitaji digrii kuwa kiongozi wa dini yoyote kwa sababu dini zote ni mambo ya imani yasiyohitaji uthbitisho.
 
Kwani umesahau vijana wanaenda wanaovaa mabomu nakwenda kujilipua ili wafe wakapewe bikra 72? Na vijana wakitanzania waliokuwa wanaenda kujiunga na Al shabab Kuna mmoja alikamatwa Kenya kwenye ya mauji ya pasaka huko garisa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani umempa la uso walahi!
Maana alijifanya kama mtakatifu saaaana kumbe hajui watu ambao ni watu walio simama huwa wanafanya research [emoji3166] kabla hawaja leta mada humu!
Yaani jamaa kawa mdogo kama kapiriton flana hivi [emoji12]
 
Ndugu yangu CARDLESS kuna ukweli kausema. Huu uzi ujadiliwe bila kuuhusisha Uislam kujifanya mna balance.

Mbona zikija mada za ugaidi na matukio ya kigaidi yanayohusisha Waislam huwa zinajadiliwa kwa kuwahusisha Waislam peke yake? Hakuna balance yoyote. Huyu Yeriko mfano akichambua kuhusu Ugaidi unaohusishwa Waislam unadhani atawataja LRA, KKK, Babbar Khalsa, nk, ili a balance? Sidhani.

Ukweli ni kwamba matukio kama lile la Kenya huyasikii katika Uislam na inajulikana ni watu gani wana hilo tatizo. Sio sawa kufananisha hali mbili zisizofanana ili kujifanya analeta balance. Kushamiri kwa ibada za kiislam ambazo zinajulikana kabisa na misikiti ikaongezeka sio tatizo.

Kwani umesahau vijana wanaenda wanaovaa mabomu nakwenda kujilipua ili wafe wakapewe bikra 72? Na vijana wakitanzania waliokuwa wanaenda kujiunga na Al shabab Kuna mmoja alikamatwa Kenya kwenye ya mauji ya pasaka huko garisa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Umesahua mashekhe waliokuwa wanawadanganya vijana wenu waende somalia wakifa watapata bikra 72?

Sent using Jamii Forums mobile app

Waislam kila siku wanavaa MABOMU kulipua wasio na makosa kisa tu kwenda peponi........

Kwani huo uislam wako hauna wajinga kama hawa? Au hujui kuna wengine walikaa mapori ya Kibiti na kule Msumbiji, wakawa wanachinja watu kwa mujibu wa imani ya kiislam? Toa upumbavu wako kujifanya eti hilo haliwahusu wenye imani yako, Matapeli wa imani wapo pande zote

Pumbavuuu! Huko kwenye Uislam nako hujasikia mafundisho ya kujitoa muhanga?

Mkuu hili jamaa ni takataka kama takataka zingine!

Usisahau hata wewe huwa mnajitoa muhanga na kuua watu maelfu kwa maelfu kwa kisingizio cha maagizo ya mtume

Kweli kila Mtu apambane na Dini yake. Na wale wanaopeleka Vijana wao wakajilipue na mabovu ni werevu zaidi.

Kina al-shaabab, al-qaida, boko haram, ISIS siyo waislamu. Kuna wapumbavu manyumbu km waislamu? Sema serikali yetu iko makini imewadhibiti na hata hao watadhibitiwa. Badala ujadili hoja unaleta udini, kila dini ina matatizo yake muhimu serikali kuwa makini. Wapuuzi wako kila dini. We ulikulia na udumavu wa lishe.

waislam ndiyo the worst sema serikali iliwadhibiti mapema hpa kwetu. Mmeshahau au ni udini unawasumbua? Hakuna watu walitaka kuleta sdida km waislamu kina shehe Ponda. Tuache udini, hizi dini zote zimekuja na meli.

Waislamu ni wale wale tu, mtu unafundishwa kujitoa muhanga ili ukakutane na Allah kama sio upumbavu ni nini hicho?
 
Back
Top Bottom