Kassim Awadh
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 884
- 187
Mwombeji Zuberi still at work!
sema mahabusu wawili wametoroshwa chini ya uangalizi wa polisi ili kuficha ushahidi
Mkuu mimi sioni kosa kwa wewe kusema jambo fulani hata kama ni tetesi.Hata viongozi mbali mbali huweza kuzungumzia jambo ambalo ni tetesi ila cha msingi ni kuweka wazi kama ulivyokuwa umefanya kwamba jambo hili bado halijathibitishwa.Mbona hata vyombo vya habari wakati mwingine hutangaza taarifa na kutoa tahadhari kwamba habari husika bado haijathibitishwa na watu hawashangai? Kwanini sasa wewe iwe nongwa!Nina mashaka na watu wanaokutuhumu na kukushambulia huenda wana sababu zao na zaidi inawezekana zikawa ni sababu za kisiasa.Vyanzo zaidi vimeweza kutupatia ukweli wa hasa kilichojiri leo mahakamani pale Arusha.
Watuhumiwa wawili wa mauaji ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kata ya Usa River, Msafiri Mbwambo, aliyechinjwa kwa kitu kikali mithili ya msumeno, wametoroka mahakamani leo Arusha, mbele ya askari polisi. Itakumbukwa hii kesi inahusisha viongozi aw CCM.
Kama kuonesha kuwa video ya mpango huo isingenoga sana, watuhumiwa hao inasemekana wamemnyang'anya bunduki mmoja wa askari kati ya wengi waliokuwa wakiwalinda. According to the source, Askari waliokuwepo wakishuhudia saga hiyo, wakanogesha zaidi picha kwa kutochukua hatua yoyote, achilia mbali kulinda mali ya jeshi na serikali, hawakumsaidia hata mwenzao wakati anashambuliwa, kunyang'anywa bunduki na kuchaniwa nguo zake, call them uniform.
If that not enough to end the show, bunduki hiyo, according to source, iliokotwa muda mfupi baade ikiwa imetelekezwa. Another game in the making. Wanafikiri wananchi wrote wamelewa banana.
MORE INFO
And the beat if not the show goes on...baadhi ya maaskari waliokuwa 'lindo' wanashikiliwa polisi. Kesho kuna mahafali/shughuli pale CCP, kwa hiyo wakubwa pia wa hawa jamaa wako kwenye mji wa utalii.
Hivi unafahamu kwamba wewe ni msemaji wa Chama? sasa haya mambo ya tetesi na nafasi yako wapi na wapi? Najuwa fika hili swala linaweza kuwa limetokea ila huoni kuwa kama mseamaji rasmi wa Chama unapaswa kuongea fact?
Hivi Salva Rweyemamu naye atuletee thread ya tetesi hapa JF unategemea tutamnyamazia kimya? No way thread zingine waache waanzishe watu wengine na siyo wewe, ninapoona jina lako nategemea fact tu na siyo tetesi.
Mahabusu wawili kati ya sita ambao ni watuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa mwenyekiti wa CDM tawi la USA Arusha wametoroka leo mchana mahamani.
Mahabusu hao wawili ni watuhumiwa wakuu wa mauaji maana katika maelezo yao ya awali walikiri jinsi walivyojishirikisha na mauaji ya marehemu. Itakumbukwa kuna uzi ulishahi kuanzishwa juu ya watuhumiwa wa mauaji ya mwenyekiti CDM wa USA kukamatwa kwa mganga wa kienyeji Sindiga, sasa baadhi ya watuhumiwa hao ndiyo waliotoroka.
Taarifa za awali zinasema walifanikiwa kupora na bunduki moja ambayo baadae waliitelekeza.
MoDs usfute uzi huu, taarifa hizi hazina shaka kabisa kwa mujibu wa chanzo changu makini kilichopo huko Arusha.
Niamini mimi hakuna njama ila ni uzembe wa polisi wenyewe.
Kama ni ukweli, basi narudia tena hoja yangu ya zamani, ndani ya jeshi la polisi hasa kada ya chini kuna matatizo ama agenda ambazo IGP inapaswa afuatilie kwa karibu sana, tukio kama hili linadhaulisha hata jeshi, haiwezekani askari aliyepitia mafunzo apokonywe silaha kirahisi hivyo tena mchana kweupe mbele ya umati, hakika nchi inaenda kubaya, sijui hawa wanamtumikia nani na nai anawadanganya kiasi hiki. Narudia, kama ni ukweli, basi kuna tatizo katika jeshi la polisi, natamani Lyatonga arudi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani!
Hivi Chadema kuna viongozi?
Mkuu wangu wote tunaijenga Chadema katika maandalizi ya kuchukuwa dola 2015 na hawa kwa taaluma zao ndio katika mganyo wa majukumu watakuwa wasemaji wa ngazi au idara au Wizara mbalimbali, sasa ni lazima tuanze kuwakosoa mapema kwamba hatuhitaji ubabaishaji, na ndio maana mimi hapa JF hakuna asiyejuwa kwamba namkosoa Zitto Kabwe kwa sababu ninazo sababu za kumkosoa.
Hivi Imagine leo umkute Tumaini Makene naye yupo MMU anashiriki mada ya jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni u think you will take him serious anymore?