Mauaji ya Kiongozi wa CHADEMA Arusha: Watuhumiwa watoroka mahakamani mbele ya polisi!

Huo ni mchezo unachezwa na ccm, wanajua hiyo kesi kina mwigulu wanaweza kutajwa.
 
wametoroka chini ya mikononi mwa polisi? au wametoroshwa na polisi?

Intelijensia alikuwa wapi? Hawakuwa na kitu kizito cha kuwapiga nacho? au mke wa chagonja kawaingiza usalama wa Taifa?


flying object was not capable of targeting them and thus they managed to disappear over.
 
habari zisizo rasimi zinadai kuna kiongizi wa cdm arusha ameuwawa. Mwenye ukweli kuhusu hili atuambie kama sio propaganda za watu kitaa.
 
Tumuombe Mungu atupe maisha, kwenye hihi serekali yetu tutaona mambomengi sana nakila sarakasi mpaka tufike 2015
 
Niamini mimi hakuna njama ila ni uzembe wa polisi wenyewe.
Acha kutueleza mambo ya mwaka 47 uzembe wa polisi? kwani aliyekuwa na SMG ni askali mmoja tu? ebu tuambie kwa nini polisi wengine hawakuchukua hatua? na kwa nini watoroke hao watuhumiwa muhimu wa kesi kwa hiyo wasipopatikana si ndo kesi itakuwa imekwisha maana ushahidi umetoroka na kupotezwa.
 
habari zisizo rasimi zinadai kuna kiongizi wa cdm arusha ameuwawa. Mwenye ukweli kuhusu hili atuambie kama sio propaganda za watu kitaa.

Kama ni kweli,let him rest in peace.Lakin ni wakat muafaka wa kujiuliza hivi vifo hini ni ccm na serikali yake au ni matatizo ya viongozi wa chadema ambao wengine walishawah kuwa watumishi wa Mungu kukaid na kutofuata taratibu na kutumia vifo hivi kama mtaji wa kisiasa?Slaa kanisa lilikushinda kamwe Tanzania hautaiweza!!!Unaweza kumuongoza Sheikh Ponda?thubutu!!!!!!!!!!
 
Mbona kazi ndogo tu ...... kamata hao askari weka ndani washughulikieni mpaka waseme walikowaelekeza kukimbilia na hiyo kesi imefikia hatua gani jamani? Au ndo kusema upelelezi bado wakati mauaji yalishafanyika.... bongo ni bongo tu

askari anamkamata askari mwenzie ''mwizi amkamate mwizi!!'' IMPOSSIBLE . Hapo itapigwa sanaa as usual
 
Hivi unafahamu kwamba wewe ni msemaji wa Chama? sasa haya mambo ya tetesi na nafasi yako wapi na wapi? Najuwa fika hili swala linaweza kuwa limetokea ila huoni kuwa kama mseamaji rasmi wa Chama unapaswa kuongea fact?

Hivi Salva Rweyemamu naye atuletee thread ya tetesi hapa JF unategemea tutamnyamazia kimya? No way thread zingine waache waanzishe watu wengine na siyo wewe, ninapoona jina lako nategemea fact tu na siyo tetesi.
kama ile ya N waziri kufumaniwa ,makene ndio alileta uzi kumbe uzushi
 
hata mtoto mdogo atakuambia ni njama
hii move wameicheza kitoto wakajipange upya
watuhumiwa hawalindwi na polisi mmoja na silaha moja
wote waliohusika watiwe ndani ukweli ujulikane.
 
sema mahabusu wawili wametoroshwa chini ya uangalizi wa polisi ili kuficha ushahidi

hiyo haisaundi vizuri sema polisi wamewatoroshwa watuhumiwa wa mauaji wakiwa mikononi mwa polisi mwenzao
 
Hawa polisi wanamafunzo ya kuua raia ila mafunzo ya kulinda watuhumiwa hawana
 
Yani umekwenda off point hadi unatia huruma ! Ifike wakati tutumie akili mwenyezi mungu alizo tupa kama zawadi! Ni kwanini watoto watuzidi kufikiri?

Hapa sito uliza umri!

Kama ni kweli,let him rest in peace.Lakin ni wakat muafaka wa kujiuliza hivi vifo hini ni ccm na serikali yake au ni matatizo ya viongozi wa chadema ambao wengine walishawah kuwa watumishi wa Mungu kukaid na kutofuata taratibu na kutumia vifo hivi kama mtaji wa kisiasa?Slaa kanisa lilikushinda kamwe Tanzania hautaiweza!!!Unaweza kumuongoza Sheikh Ponda?thubutu!!!!!!!!!!
 
Mlikuwa mnategemea nini?Mangapi yametokea?Imran Kombe, wauaaji walifia gerezani na mwingine aliachiwa,wafanyabiashara wa madini wa Mahenge?Vipi kuhusu sakata la Dr ULIMBOKA?walikamatwa?this systeam is absolutely rottern.Nachukia Dhuluma uonevu na unyanyasaji.
 
Back
Top Bottom