Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,956
Wewe ni kichaa, mngefanya ujinga huo huku bongo mngeona moto.
pia kuna kuna wahindi zaidi ya milioni 500 wanaoamini kuwa ng'ombe ni Mungu.Wewe kama huamini alikuwa Mtume Kweli, tupo Waislaam billioni mbili leo hii tunaoamini alikuwa mtume kweli. Tatizo lako nini?
Kama kuna Mwafrika juha basi wewe ni kiongozi wao.
Yaani mtu anamuua Binadamu mwenzake anaye mwona na anaishi naye kila siku.
Una jeuri gani wa kupigana na waislamu!! Kila kona ya Tanzania kuna waislamu, hiyo jeuri ya kuwapiga waislamu inatoka wapi!!! Acha kuongea kwa hisia kijana, utabondwa hadi kufa na urudishwe huko kwenu ITALY. Hii nchi ina idadi kubwa ya waisilamu, ivyo usithubutu kufanya hayo utakuisha 😁
Imekuuma ya debora, ila ya vibaka wanaopigwa kiberiti hapa bongo hadi kufa kisa ameiba bidhaa yenye thamani ndogo sana haikuuma eti!!
Imekuuma ya huyo binti wa kikafiri ila ya wapalestina watoto, watu wazima na wazee wanauawa dhidi ya mayahudi laana za Allah ziwe juu yao, kila leo wanauawa ila haikuumi. Ya binti wa kikafiri ndio imekuuma sio!!!
Nani alikuambia mimi hainiumi kuuwawa kwa vibaka na raia wa Palestina ?Imekuuma ya debora, ila ya vibaka wanaopigwa kiberiti hapa bongo hadi kufa kisa ameiba bidhaa yenye thamani ndogo sana haikuuma eti!!
Imekuuma ya huyo binti wa kikafiri ila ya wapalestina watoto, watu wazima na wazee wanauawa dhidi ya mayahudi laana za Allah ziwe juu yao, kila leo wanauawa ila haikuumi. Ya binti wa kikafiri ndio imekuuma sio!!!
Zanzibar ndo nchi yenu, nendeni huko kwa Waislam wenzenu muuane huku Bara hamna chenuUna jeuri gani wa kupigana na waislamu!! Kila kona ya Tanzania kuna waislamu, hiyo jeuri ya kuwapiga waislamu inatoka wapi!!! Acha kuongea kwa hisia kijana, utabondwa hadi kufa na urudishwe huko kwenu ITALY. Hii nchi ina idadi kubwa ya waisilamu, ivyo usithubutu kufanya hayo utakuisha
Dini zikipokewa na wapumbavu zitaharibiwa tu. Hao wauaji ni wajinga wapumbavu wanaopaswa kulaaniwa na kushughulikiwa.Hayo umeandika wewe.
Hakuna dini yenye Msamaha katika hukumu zake kama Uislam.
Hakuna dini yenye sifa za huruma na kurehemu kama Uislam.
Ujinga tu ndio unakufanya uandike maneno yako uyasingizie kuwa ni yangu. Punguani wahed.
Jifikie kabla ya kuandika. Unakuja na hasira na lugha zinazofichua ujinga wako. Zinafichua ubaguzi wako.Dini zikipokewa na wapumbavu zitaharibiwa tu. Hao wauaji ni wajinga wapumbavu wanaopaswa kulaaniwa na kushughulikiwa.
Kama wapo wanaowashabikia hao wapumbavu waliopokea dini bila ufahamu basi nao wakae mkao wa kunyooshwa.
Ni aibu huu upumbavu unafanywa na mtu mweusi karne hii, akiigiza mambo yaliyofanywa na wapumbavu wengine miaka maelfu iliyopita.
Ujinga mtupu! Kwa hiyo nyie ndiyo mnamachungu sana na Uwisilaamu kuliko hao Wa Arabu wenyewe waliowaletea hiyo Dini huku Africa kwa lengo la kufanya Biashara zao za utumwa na meno ya tembo!? Wa Africa kweli Dini zimetupumbaza sana!!Tena Waislam usichezee wala kutoa maneno machafu (matusi)kabisa kwa Mitume yao na kuwakejeli, unajitafutia uhasama mwenyewe. Utatafuta pakutokea, labda ujifiche nyuma ya mtandao tu, kuna ambao wakikujuwa, unalo.
Biashara ya utumwa ilifanywa na babu zako, kumbuka hilo. Unafikiri watumwa walikamatwa kwa nguvu bila babau zako na machifu wao kuwauza? Waliwauza kwa vioo vya kujitazamaia, kwa kaniki na shuka za kujifunika, na shanga za kujipamba. Biashara ya utumwa ilikuwa ni kawaida sana enzi hizo kama inavyokuwa kawaida leo kwa majina mengine. Unaweza kunambia maana ya "manpower agency". Usidanganywe na aliyekufundisha historia ya kijinga kuwa Utumwa ulifanywa na "Mwarabu tu. Huyo alikudanganya ili akugawe na watetezi wako. Uislam na Waislam ndio watetezi wako wa kukutoa kizani kukuingiza kwenye Nuru ya maisha na kama ulikuwa huelewi.Ujinga mtupu! Kwa hiyo nyie ndiyo mnamachungu sana na Uwisilaamu kuliko hao Wa Arabu wenyewe waliowaletea hiyo Dini huku Africa kwa lengo la kufanya Biashara zao za utumwa na meno ya tembo!? Wa Africa kweli Dini zimetupumbaza sana!!
Naam, wajinga bado wengi ndio maana Mwenyezi Mungu akatuma mitume wake waje kuwafuta wajinga.pia kuna kuna wahindi zaidi ya milioni 500 wanaoamini kuwa ng'ombe ni Mungu.
Dini ya Kiislaam ndio dini pekee yenye hukumu zilizokamilika ki sharia. Na ni dini pekee ambayo haina ujinga ujinga wa kutukaniwa Mitume yake. Hakuna kupigwa la kushoto ukageuzwa upigwe na la kulia kwenye Uislam.Exactly!!!
Huyu hapa muislam sasa,wale wote wanaotafuta sympathy kwamba dini haikuruhusu kuhukumu sijui blah blah blahs waje wasome comment ya muislam aliyeandika ukweli wa uislam.hakuna kitu msamaha ktk hiyo dini siyo kutoka kwa Mungu wao wala wafuasi wao
Ndio maana hata mungu wenu alivyokuwa anasulubiwa mkabaki mnaangalia tu mnataka ajipiganie mwenyeweHawa watu ambao huua wenzao kwa sababu ya Allah/Mungu Mimi huwashanga, kwanini huyo Allah/Mungu asijipiganie mwenyewe maana tuanambiwa ni Mkuu na muweza wa yote!!!
Mambo ya Kusurubiwa yamepita miaka 2022 iliyopita.Ndio maana hata mungu wenu alivyokuwa anasulubiwa mkabaki mnaangalia tu mnataka ajipiganie mwenyewe
Mjibu tu muislamu amtakaye allah atampatia!;Soma vizuri post namba moja kilichodhihakiwa ni nini, usitie maneno yako kubadilisha kilichoandika, ni ujinga huo. Sijaona mahali kwenyeb post namba 1 kama ulivyoandika wewe kuwa "aliyeudhihaki Uislam".
Faiza naona unawanyoosha mpaka wanatia hurumaBiashara ya utumwa ilifanywa na babu zako, kumbuka hilo. Unafikiri watumwa walikamatwa kwa nguvu bila babau zako na machifu wao kuwauza? Waliwauza kwa vioo vya kujitazamaia, kwa kaniki na shuka za kujifunika, na shanga za kujipamba. Biashara ya utumwa ilikuwa ni kawaida sana enzi hizo kama inavyokuwa kawaida leo kwa majina mengine. Unaweza kunambia maana ya "manpower agency". Usidanganywe na aliyekufundisha historia ya kijinga kuwa Utumwa ulifanywa na "Mwarabu tu. Huyo alikudanganya ili akugawe na watetezi wako. Uislam na Waislam ndio watetezi wako wa kukutoa kizani kukuingiza kwenye Nuru ya maisha na kama ulikuwa huelewi.
Elewa kuwa Uarabu sio kabila au rangi kama ulivyojazwa ujinga na aliyekujaza ujinga. Jiulize ni nani huyo? Ni yule aliyewagawa akawatawala mababu zako kwa ukabila na dini. Kabla ya ujio wake.
Labda huelewi kuwa Waarabu wengi wapo Afrika kuliko kontinenti lingine lolote lile.
Labda huelewi kuwa kontinenti lenye watu weusi wengi nje ya Afrika leo hii ni Amerika, jiulize walifikaje huko, ni nani aliwapeleka huko> Ukipata majibu utakuwa umenielewa, labda ni ujinga tu ukufanye usielewe.