holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 884
- 1,397
Mwanafunzi wa kike Debora Samuel (baadhi ya taarifa kaitwa Debora Yakubu) wa chuo cha elimu cha Shehu Shagari kilichopo Sokoto state nchini Nigeria ameuwawa na wanafunzi wenzake kwa kupigwa mawe na kisha mwili wake kuchomwa moto.
Wanafunzi hao waliotekeleza mauaji walimtuhumu hayati kwa kitendo cha kumdhihaki/kumkejeli mtume kupitia voice message aliyotuma kwenye group la WhatsApp akiwazuia wenzake kutuma taarifa za dini kwenye group lililotengenezwa kwa ajili ya maswala ya kozi wanayosomea tu.
Baadhi ya picha za tukio ikiwemo ya kijana akionyesha kiberiti alichotumia kuwasha moto kuchoma mwili wa Debora pamoja na picha inayoonyesha maneno ambayo Debora alitamka kwenye hiyo voice message hizo apo.View attachment 2223080
View attachment 2223079
View attachment 2223081