Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 4,218
- 5,888
Ninaweza kuambulia upendo wako na utayari wako.Hata ukija inbox sijui hata utaambulia Nini mkuu..anyway karibu siwezi kufukuza
Ninaweza kuambulia upendo wako na utayari wako.Hata ukija inbox sijui hata utaambulia Nini mkuu..anyway karibu siwezi kufukuza
100%Sawa mkuu ila mwanamke umri umeenda unakuta hana ujuzi wala elimu. Au hata kama ana elimu hana kazi na yupo kwao tu na hana utaalamu hata wa kushona nguo wala kufuga kuku. Huyu unadhani nani anamhudumia ? Ni ngumu sana kumshawishi mwanaume mwenye uwezo amuweke ndani. Labda ambao wana mizigo mizito na migumu.
Huko unakosali wanakufahamu vizuri Kwa tabia yako njema kwanini hawakuoi?Im looking for a serious relationship .Matured single christian Man for holly marriage .
Must be a reformed Christian [Born Again]
Aged 40 to 45 ,with no kids / not more than one kid
Awe na Afya njema
Awe mwenye na nia ya dhati ya kuoa
Awe amemaliza ujana wake na anahitaji kusettle na kutengeneza familia
Awe mkweli na mcha Mungu
Awe dsm ,dodoma,morogoro,tanga
Naitwa mercy ,30s by age
Naishi pwani kibaha,mkristo nimeokoka
Mwajiriwa ,najitegemea ,
Only serious please .
Huu ni MTO Mkuu kuna ambao wanavua samaki na ambao wanaliwa na mambaDr hebu niache🤣.ni wachache ila najiskia hivo tu
Na siku hizi sipendi kuelezea hisia zangu hadharani
btw Uzi wa watu huu
On behalf of 30+ unmarried women, we're not tomatoes waiting to be picked.Huko unakosali wanakufahamu vizuri Kwa tabia yako njema kwanini hawakuoi?
Nilitegemea comment kama hii!Kwa gubu hili, huambiliki ndio maana unarandaranda mitandaoni. Baki na gubu lako hadi utakapotaka anaepumua tu. We ungekuwa born again si ungepata huko kanisani kwako ila gubu dada ndio maana unakimbiwa.
Miaka 31 bado mdogo saana Kula Kula maisha KwanzaNina miaka 31
Nasali TAG CCC Upanga
Na pia AIC CHANG'OMBE CHURCH
Nilikuwa auliza unaye mtu? 🤣
Njoo PMIm looking for a serious relationship .Matured single christian Man for holly marriage .
Must be a reformed Christian [Born Again]
Aged 40 to 45 ,with no kids / not more than one kid
Awe na Afya njema
Awe mwenye na nia ya dhati ya kuoa
Awe amemaliza ujana wake na anahitaji kusettle na kutengeneza familia
Awe mkweli na mcha Mungu
Awe dsm ,dodoma,morogoro,tanga
Naitwa mercy ,30s by age
Naishi pwani kibaha,mkristo nimeokoka
Mwajiriwa ,najitegemea ,
Only serious please .
Ni kweliHuu ni MTO Mkuu kuna ambao wanavua samaki na ambao wanaliwa na mamba
Sawa mkuuNinaweza kuambulia upendo wako na utayari wako.
Kiutani utani...mara paap,,Tumpambe maua ⚘️⚘️Unajua Uzi wa mtafuta mme unaweza kukutanisha tukawa good friends au zaidi,how old are you?au tuchat pm if hutojali
Anataka wote si umeona ametaja kila mkoaMercy,
umetaja wanaume tofauti 6 hapo
Analipa shi ngapi?Njoo kwa Yesu analipa my brother
Nakuja mpenziSawa mkuu
mikoa kama yote hahaaAnataka wote si umeona ametaja kila mkoa
Nimedokezwa na mdau hapa:Only serious please .
Umefunga PM, Je watawasiliana nawe vipi?
Weka japo email
Rejea: