GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,240
UNAONGEA KICHINA JAMANI WEWE
Du!! Una kigugumizi kikali.Ulicharazwa makali....oni/kiganja...ni????
UNAONGEA KICHINA JAMANI WEWE
Du!! Una kigugumizi kikali.Ulicharazwa makali....oni/kiganja...ni????
kyakyakyaaaaaaaa huyu ni mgumu sana japo najua kibinadam anaingilika tu ,,,kaka yeye hakuogopa maneno ta watu yaani yeye ni aibu less anatabasamu anapewa suti anabadilishana na nanihii muongee we ye hana habari,,, huyuu ako na aibu kidogoTutamjengea JMagu kaMall kadogo na RenjiRova 2 wheels!!!
mmmH!! basi bora tukupe wewe utuunganishe na Vigogo !!!😛kyakyakyaaaaaaaa huyu ni mgumu sana japo najua kibinadam anaingilika tu ,,,kaka yeye hakuogopa maneno ta watu yaani yeye ni aibu less anatabasamu anapewa suti anabadilishana na nanihii muongee we ye hana habari,,, huyuu ako na aibu kidogo
Sasa mkuu utakulaje mapera bila kumeza mbegu zake?Mapera hayo mkuu .Ukithubutu kumeza zile mbegu zake kwa wingi utajuta yaani utadhani unajifungua kwa nyuma jinsi kimba linavyotoka kwa ugumu
Mbona kama parachichi
Unafeli Jambazi..Hakuna parachichi la njanoMbona kama parachichi
Mapera yamebobea vitamin C............nayapenda mapera.
Upo huku rudi kwenye mkeshaMapera yamebobea vitamin C............

Yanaitwa CCMMbona kama parachichi
Mapera matamu hayoo!
Hayo ni MAPERA!Naona yanafanana na malima/o ??? lemon