Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,987
- 142,362
Nijuavyo mimi watu wote wanaofanya kazi nyeti hawaruhusiwi hata kutumia private PC kwa shughuli za kikazi... Afu watu wanakuja na cheap explanation eti siri za kazini...Kazi zenye usiri uwa zinaishia ofisini. Acha kuwadanganya wake zenu.
Kinachovunja mahusiano sio simu wala msg. Kinachovunja mahusiano ni kukosa uaminifu na kukosa staha. Simu ni kama tool tu ya kuvumbua yafanyikayo kwa siri.
Nakupa ofa ya Kamba ya kujinyongea:israel:halafu nataka niwe nashinda na simu yako.....
Sijui kwa nini nimekupenda ghafla tu...............lol.....😛eep:
Napendeka, it's not your fault, lol
Kwa mfano...I am a Dr...kama we ni mke wangu, ukishika simu yangu utapata kichaa! Kuna lots texts/emails/chats ambazo clients/ndugu/rafiki wananitumia kwa ajili ya ushauri...na ni issues mbali mbali very personal watu wananitumia na nashauriana nao. Mfano - unafungua simu yangu unakuta chat history na 'mdada' anayenuiuliza madhara ya 'anal sex' sababu she enjoyed it (huu ni mfano wa kweli)...tell me, ungereact vipi??
Hiyo yaweza tokea kwa mwanaume/mwanamke yeyote wa fani nyingine yeyote, haimaanishi ana 'affair', lakini mziki wake waweza vunja penzi.
Wiki iliyopita tu kuna mtu amemuua mwanaume mwenzake huko Mara kisa amakuta ujumbe wa simu kwa mkewe akimuuliza 'mbona hatukuonana nikupe unipe ule mzigo'...yeye na mkewe wote ni wafanyabiashara...sasa bila ya kujua mzigo gani unaua, unafungwa maisha...hasingeshika simu ya mkewe yangetokea wapi hayo?
Dr@riwa,
bado hujaniconvince, ukiwa dokta sitoshangaa msg za namna hiyo, ukiwa mfanyabiashara sitashtuka hata ukiwa mfanyakazi nikakuta ,msg kuulizia report sitoshtuka, mpaka tumeoana na kuishi miaka kadhaa ina maana mume na mke wanajuana vyema, kuanzia tabia mpaka kazi na madili ya mjini hakuna sababu za kuficha, hata ukiwa na mume/mke injinia wa minara unajua simuzaq usiku wa manane ni kawaida, hakuna haja ya usiri.....
Pakiwa na usiri tu shtukaaaa
Mada inazungumzia Mke/Mume na sio Mpenzi. Ukioa ndio utajua kama una uhuru kiasi hicho au laSimu yangu mpenzi wangu hagusi hata siku moja kama vile ambavyo yake sishughuliki nayo.
Hakuna kitu kitakachobadilika hata akiwa mke.Mada inazungumzia Mke/Mume na sio Mpenzi. Ukioa ndio utajua kama una uhuru kiasi hicho au la
So Mke/Mume na Girlfriend/Boyfriend wana status sawa? If you think so ni afadhali usioe Mkuu, huku kuna mambo ya ajabu sipime. Wanaposema unaposema 50% wanauwa wanazungumzia vitu kama hivyoHakuna kitu kitakachobadilika hata akiwa mke.
Kama ulimtaja jina unaandika meseji hii: Au umeshangaa nimetumia hilo jina? Hizi tamthilia bana, dah! Asha ni yule demu mkali kwenye tamsilia ya hidden passion! nimekufananisha naye honey, au hupendi? samahani kama nimekukwaza...
Khaa! Huu mthread wa 2010 umefufuliwa? Haya telitaibi hebu nipe ID yako ya zamani ili twende sawa. NiPM tafazalisikujua hujaacha hii tabia yako ya utapeli wa mapenzi na tena umepanda cheo hadi unafundisha watu ukikua ukue na hekima jamani lo mtoto huyu