Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

huwezi kumbadili binadamu, binadamu anabadilika pale anapotaka,
its clear kuwa msichana wako ana feelings kwa x,
ni mawili either anataka huku na huku au wewe anakuhold tu just in case x wake akiamua kurudisha majeshi amrudie....

au msichana wako hajui nini anataka.....

heri uchape lapa...

mpaka ananuna na kukasirika ujue kuwa anamprotect x badala ya kukuprotect wewe....

ngumu kumeza lakini achana nae, huyo msichana anampenda na kumthamini x wake sio wewe

dah!! yaani ninaposoma hili bandiko lako hadi mapigo yangu ya moyo yanaenda kasi kwani kila kitu kina ukweli ndani yake mpaka najiona kuwa mimi ni mjinga sana.
 
Hebu tafuta thread 1 niliweka hapa heading yake
,Sikumbuki ushujaa ule ulitoka wapi,

Soma hii thread utajua mimi nlifanya nini kwa inshu kama hiyo yako,

kaka nimeisoma na nimekupata ila mimi ki ukweli siwezi kupotezea issue kama hizi hata siku moja ..ni aheri niwe bachela hadi kufa kuliko watu wengine waje wale vitu vyako. seriously its paining na najua ulikuwa na hali gani.
 
Na huyu mdada mara kibao ananiambiaga kuwa hajawahi kufikishwa kileleni na mimi ndio mwanaume wa kwanza kumfikisha ila naona ananidanganya tu manake kama ingekuwa ni kweli asingeendelea kuhangaika na hao ma ex wake. Shame !! Mtu anapendwa ila hapendeki
 
Pole sana ila kama unaona si mwaminifu kwako ni bora uachane nae
 
Mpaka leo hujakimbia.......kwenye hili fanya maamuzi pasipo kumsikiliza girl.kila kitu kipo ukutani
 
Hayo ndo madhara ya kumnyang'anya mwenzio mpenzi wake we si ulimpa jaka moyo enzi unamwinda ili amuache ahamie kwako haya sasa kuimba kupokezana.
 
Bibille whts goes around ,,,, comes round , kama aliiba ataibiwa
 
Unajua. Pengine watani wake wa jadi hao kama simba na yanga ,so aliona hataki akuumize moyo,, cool down ma man!!

wahida unaonaje ni mshauri jamaa amnyan'anye simu demu wake alafu aipigize ukutan nini?HII TEKNIK INATUMIKA SANA SANA NA WAZUNGU UJUE.
 
Haki ya mungu wallahi, bora mtu wangu then. Apo akigundua kama uyo demu mzushi ampe bonge la baruti wasichana warembo s wapo poa au sio Billie!!
 
Hayo ndo madhara ya kumnyang'anya mwenzio mpenzi wake we si ulimpa jaka moyo enzi unamwinda ili amuache ahamie kwako haya sasa kuimba kupokezana.

Bibille whts goes around ,,,, comes round , kama aliiba ataibiwa
nakubaliana na nyinyi..hii dhambi inanitafuna sasa hivi.. ni kweli kabisa ..so nifanyeje?
 
Kweli huyu mdada nimeshamuelewa sasa hivi. kaja kwangu nikamueleza kila kitu.. kuwa kwa nini nilikukataza ila na bado ukanidharau ukaendelea kuwasiliana na ex wako? ..akaniambia kuwa ameshanichoka na amechoshwa an maneno yangu ..akaniambia nijichagulie mwenyewe kuwa naye ama nisiwe naye ..nikamwambia tuachane ..akakaa na mimi kama nusu saa hivi bila kuongea kitu ..akaamka akaondoka zake. hakutaka hata nimsindikize....maana yake ni nini?sipendwi?
 
asanteni sana kwa ushauri ..nilishtuka mapema tu kuwa kwa nini huyu mdada anawasiliana na ex wake halafu hataki nisome then nikimuuliza anakasirika to the maximum mpaka ananinunia???????????????????/// why..nimeshapata jibu asanteni sana wadau mumenisaidia vya kutosha
 
seriously namuacha..kwa sababu dalili zote zinaonyesha kuwa anampenda bado ex wake ndio maana ananidharau na anaoan kuwa namkera .. so nachukua maamuzi magumu

Hujawa tayari kumuacha labda kama unatudanganya hebu soma maelezo yako hao ya karibuni.......halafu nitakwambia

Kweli huyu mdada nimeshamuelewa sasa hivi. kaja kwangu nikamueleza kila kitu.. kuwa kwa nini nilikukataza ila na bado ukanidharau ukaendelea kuwasiliana na ex wako? ..akaniambia kuwa ameshanichoka na amechoshwa an maneno yangu ..akaniambia nijichagulie mwenyewe kuwa naye ama nisiwe naye ..nikamwambia tuachane ..akakaa na mimi kama nusu saa hivi bila kuongea kitu ..akaamka akaondoka zake. hakutaka hata nimsindikize....maana yake ni nini?sipendwi?

Halafu angalia hapa

hujanielewa ..mimi sitaki awasiliane na ma ex wake full stop. hata yeye kama angekuwa hawasiliani na ex wake mimi nisingekuwa na shida naye ..swali ni kuwa kwa nini amenidharau? nilimkataza asiwasiliane na ex wake bial kunihusiha ila akanidharau ..unafikiri huyu anastahili tena kuwa na mimi ama wanatakana na mpenzi wake.. halafu nilimuuliza kwa nini? akasindwa kunijibu akaondoka ..hajaniomba msamaha ..huyu ananifaa kweli? think good..ama muulize mwanaume yoyote hapa kama angechukua maamuzi gani ..kwanza wengi hapa wanaume wananiona mimi kuwa ni kilaza wa kutupwa

Sasa baada ya hayo uliyosema hujawa tayari kumwacha. Labda nikuulize najua unampenda sana.Je unataka usaidiwe kumsahau ili usiumie zaidi?
 
Asante kwani kabla ya hapo ulikuwa unanionaje? mwanaume shati ambaye sina msimamo?

mkuu i pad3 nadhani hapa nikikusoma btn the lines ni kwamba badounampenda huyo msichana. Ni KAWAIDA kabisa. Ila yeye HAKUPENDI. Ni KAWAIDA kabisa. Wengi tumepitia huko, na tumejifunza ku move on. Kinachotakiwa hapa ni kwa wewe kukubaliana na hali hiyo.Kisha u move on. Alichofanya kinatosha kabisa kuthibitisha kuwa kweke ex wake anakuwa wa kwanza, wewe wa pili au zaidi. sasa kama una lengo la kuoa, HAKUFAI

Ndo maana The Boss tangu mwanzo akakwambia "the writing is on the wall".....nadhani unaona hata kina CUTE and co wanakushangaa hujamwacha hadi sasa hivi? yeye alishakuacha zamani au tuseme hajawahi kuwa na wewe intimately!

Hawa wadada wa siku hizi wasikie tu, I can understand your feelings anyway.
 
Last edited by a moderator:
Hujawa tayari kumuacha labda kama unatudanganya hebu soma maelezo yako hao ya karibuni.......halafu nitakwambia

Halafu angalia hapa

Sasa baada ya hayo uliyosema hujawa tayari kumwacha. Labda nikuulize najua unampenda sana.Je unataka usaidiwe kumsahau ili usiumie zaidi?

basi naonamnanichanganya sana ..nilikuwa nampenda sana ila inabidi nichukue maamuzi magumu..najuta kupenda ..mapenzi ni ya kijinga kweli kweli najuta sana sasa hivi nitakuwa single tu sitaki tena msichana yoyote sitapenda tena hadi nipumzike vya kutosha
 
Sasa baada ya hayo uliyosema hujawa tayari kumwacha. Labda nikuulize najua unampenda sana.Je unataka usaidiwe kumsahau ili usiumie zaidi?

Aisee platozoom hebu tupia hizo namna kama zipo cause nadhani ndo anachohitaji zaidi hapa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom