Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

Huyu msichana nampenda sana tena sana na yeye ananipenda ..huwa sipendagi kushika simu yake ila kuna siku nilishika simu yake akaichukua ghafla akafuta meseji nikamuuliza kwa nini amefuta akasema kuwa imetoka kwa ex wake na hakutaka niione..sasa nimwache aendelee kuwasiliana na ex wake ama nifanyeje?

Unathibitishaje hilo..Ilhali tena unasema kapokea SMS inatoka kwa Ex-wake..BE WISE MAN!
 
Huyu msichana nampenda sana tena sana na yeye ananipenda ..huwa sipendagi kushika simu yake ila kuna siku nilishika simu yake akaichukua ghafla akafuta meseji nikamuuliza kwa nini amefuta akasema kuwa imetoka kwa ex wake na hakutaka niione..sasa nimwache aendelee kuwasiliana na ex wake ama nifanyeje?

Shida siku hizi mademu wengi wanapenda kutafuta pa kuvutia muda huku wanaangalia potential investor sasa isije ikawa wako naye kategesha ,kuonyesha kukupenda is not a guarantee there are a lot of pretenders out there so long as u have a wallet and they can smell it. unakuta yuko kwako lakini huyo mwenzio ndie wake wa kumoyo hata hela mwenzio anapewa we unaombwa.

Pima vizuri ukiona haelekei tupa kule vuta ingine.
 
find a new hobby
women can be a source of stress and unhealthy life
the boss baada ya kubadilisha avatar yake reply zake haziendi kwenye "censorship dept" zinaenda straight kwenye kidonda ndiii...........Anyway dawa chungu ndio inayoponyesha
 
Last edited by a moderator:
Hayo ya ex wake yasikutishe mkuu, alivyofanya ni sahihi kabisa maana hataki uumie, we endelea na mipango yako ya ndoa.
kijana naona achukue ushauri wako tu kama kweli ana nia na huyo binti
 
jamani LIZ yuko wapi ajibu i miss this LIZ's contribution esp in matters like these...
 
Jamani huyu msichana kweli anayo nia njema na mimi kweli? tar 26 nilimkataza asiwasiliane na ex wake huyo bila ya kunihusha akanielewa sasa tar 29 akambeep huyo ex wake wakawa wanachati kwenye yahoo.. ..
na wameahidiana kutumiana meseji ili wawe wanachati huko yahoomessenger
kweli huyu mdada ana nia njema na mimi kweli?halafu kial saa ananinunia nikimuuliza kuhusu huyo ex wake anakuwa kama mbogo ananuna mpaka basi..eti wadau hapa kuna maisha kweli hapa??
naomba kama una matusi uachane na thread yangu nahitaji ushauri na wala sio kebehi. najua sio vizuri kukagau vitu vya mpenzi wako ila ukiona kuna kitu kimebadiliak naona ni vema kukagua .. nafanya hivi kwani natyaka nioe na huu ndio umri wangu wa kuoa so sitaki niingie mkenge .
Regards!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu msichana nampenda sana tena sana na yeye ananipenda ..huwa sipendagi kushika simu yake ila kuna siku nilishika simu yake akaichukua ghafla akafuta meseji nikamuuliza kwa nini amefuta akasema kuwa imetoka kwa ex wake na hakutaka niione..sasa nimwache aendelee kuwasiliana na ex wake ama nifanyeje?

updates!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Jamani huyu msichana kweli anayo nia njema na mimi kweli? tar 26 nilimkataza asiwasiliane na ex wake huyo bila ya kunihusha akanielewa sasa tar 29 akambeep huyo ex wake wakawa wanachati kwenye yahoo.. ..
na wameahidiana kutumiana meseji ili wawe wanachati huko yahoomessenger
kweli huyu mdada ana nia njema na mimi kweli?halafu kial saa ananinunia nikimuuliza kuhusu huyo ex wake anakuwa kama mbogo ananuna mpaka basi..eti wadau hapa kuna maisha kweli hapa??
naomba kama una matusi uachane na thread yangu nahitaji ushauri na wala sio kebehi. najua sio vizuri kukagau vitu vya mpenzi wako ila ukiona kuna kitu kimebadiliak naona ni vema kukagua .. nafanya hivi kwani natyaka nioe na huu ndio umri wangu wa kuoa so sitaki niingie mkenge .
Regards!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Unamlelea ex wake. Kula kona unasubiri nini ufanie wamelalal kitandani. Acha kujipa moyo kwenye mapenzi yasiyowezekana.
 
The same same thing once happened to me! Nikamwambia kama anataka kuwa na mimi abadili namba ili huyo X asiipate! Akabadili. Baada ya miezi 3, nikashika simu yake ghafla. Nikakuta kambip X wake na inaonekana huyo X hakuwa anaikumbuka namba ya huyo msichana, so akawa anauliza we nani? Msichana akajifanya kumdanganya, ila wakawa wanachat sana bila ya jamaa kujua anachat na X wake na msichana akawa anaenjoy sana kuchat. Mpaka hapo, mimi sikua najua anachat na nani, coz nilipouuliza aliniambia alikua anachat na mtu ambae msichana alikosea namba wakati wa kubip, nikaona the whole thing ni utoto. Siku ya siku, nikaona jamaa amegundua af bint anaendelea kunificha, mwisho nikagundua alikua ni X wake. Nikachukua simu ya bint kutaka kumpigia, bint alikua tayari tupigane tuuane kuliko nimpigie msela. Mwishowe kimabavu nikampigia msela, nilichokipata, sitamani hata kukumbuka. Nikachunguza kwa marafiki za msichana, nikaja kugundua kuwa yule msichana alikua anampenda sana X wake na hatakaa apate mwanaume kama yeye! Na walishafanya mengi sana ambayo sio rahisi kumsahaulisha. Nikajivua gamba fasta, maisha yakaendelea. Be carefull.
mdoe haya yanayokutoea nadhani ndio yanayotokea kwangu ..kwani huyu mdada nilimkataza tar 26 asiwasiliane naye bila ya kunihusha ila nimeona kuwa tar 29 alimbeep huyo ex wake wakawa wanachati kwenye yahoo..ila kitu kinachonishangaza ni kuwa kila nikiongelea kuhusu huyu ex wake basi huyu msichana anakasirika sana ananuna siku nzima hata siku mbili..sijajua bado nifanye nini ..ila Mungu ananipenda kwnai nilikuwa kwenye process za kwenda kumtambulisha kwetu sasa naona bora nijua kabisa kinachoendelea ili nijue la kufanya kabla sijapeleka aibu nyumbani kwetu
 
Last edited by a moderator:
Mtu akishaanza kucheat ujue hiyo ni tabia hawezi acha. Bado mko kwenye mapenzi ya kawaida akifika ndani mwako? Atakudharau na kukupotezea muda.

asante dada kwa ushauri kwani huu ushauri umetoka kwa msichana .nina uhakika mnajuana sana.
 
Anamkumbuka kwa sababu unashindwa kumkeep busy!!!-An empty mind!!

huyu msichana yupo kwangu masaa yote ..hata siku aliytombeep huyu ex wake ni kuwa nilikuwa naye hadi saa tano usiku nikampeleka kwao baada ya kufika tu ndio akambeep . so sad .sijui kama nitapata mwanamke aliyetulia.its just so sad .. na mimi umri wa kuoa ndio umeshafika .
 
dah nin imkuu toa ushauri wako hapa kaka

Hebu tafuta thread 1 niliweka hapa heading yake
,Sikumbuki ushujaa ule ulitoka wapi,

Soma hii thread utajua mimi nlifanya nini kwa inshu kama hiyo yako,
 
huwezi kumbadili binadamu, binadamu anabadilika pale anapotaka,
its clear kuwa msichana wako ana feelings kwa x,
ni mawili either anataka huku na huku au wewe anakuhold tu just in case x wake akiamua kurudisha majeshi amrudie....

au msichana wako hajui nini anataka.....

heri uchape lapa...

mpaka ananuna na kukasirika ujue kuwa anamprotect x badala ya kukuprotect wewe....

ngumu kumeza lakini achana nae, huyo msichana anampenda na kumthamini x wake sio wewe

ina maana sitaweza kumbadilisha tena?
 
Back
Top Bottom