Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

Hauko peke yako,si ajabu na ile ya mwa/wa/naume.mwi/we/ ngine kasave majina ya kike.
 
... Tatizo sio jina Khalima ..linaweza kutumika lolote ... Jambo la msingi kwanini Jina lako lisitokee kwenye simu yake?!
 
na ww msevu jina la kiume... Mie nilishawahi kuta ugomvi kati ya dogo na bibiye, jamaa alimsevu dada kama Pijo

Jamani mpenzi wangu wa kike amenisevu jina la kike kama Khalima.

Nimegundua hili nilipomwomba simu yake nijibeep ili kuona kama ringtone kwenye simu yangu mpya umefanikiwa.

Sijapata jibu,nini tafsiri yaye kunifanyia hivyo!

Mnifungue jamani kimawazo.
 
Tatizo lenu nyie madogo Usharobalo mwingi, mnaremba saana ndo maana kakuita Khalima! Hamna lolote wala nini kakutana na kidume wewe na tabia zako za kike kakuona KhLima
:A S 465::nerd::nerd:
 
Mkubwa wewe funguka na chukua hatua mapema,Maradhi mkuu!

Jamani mpenzi wangu wa kike amenisevu jina la kike kama Khalima.

Nimegundua hili nilipomwomba simu yake nijibeep ili kuona kama ringtone kwenye simu yangu mpya umefanikiwa.

Sijapata jibu,nini tafsiri yaye kunifanyia hivyo!

Mnifungue jamani kimawazo.
 
mmmh seriosly mulika mwizi meen wanakula wenzio.. khalima lol
 
Pole zako,
Ww ni backup tu,kuna mwenye mali ndio maana ww umeseviwa khalima!
 
Ungepekua vizuri hiyo sim ungegundua majina mengi ni ya kike. La kiume ni la yule wa moyoni mwake kabisa. Wewe hauko moyoni mwake. Chapa lapa
 
Jamani mpenzi wangu wa kike amenisevu jina la kike kama Khalima.

Nimegundua hili nilipomwomba simu yake nijibeep ili kuona kama ringtone kwenye simu yangu mpya umefanikiwa.

Sijapata jibu,nini tafsiri yaye kunifanyia hivyo!

Mnifungue jamani kimawazo.

We unajua kabisa kinachoendelea ila unataka uishahidi tu..
wabongo bwana utakuta hata dada anabakwa lakini ili ushahidi
ukamilike lazima jamaa amalize yaani kitu kiteme ndo kutakua na
kesi ya ubakaji vinginevyo ni "atempt to rape" na hapo lazima docta
apime penetration sasa we wataka ushahidi?
 
We msevu la kiume andika Joti n.k halafu fanya ujanja aone na yeye halafu
uangalie atalichukuliaje?
Kweli aisee jino kwa jino tuone mkuki kwa nguruwe.
other wise wewe ni nyumba ndogo yake
 
Haha sasa yeye amekuwa pasta kuku batiza au aliona jina wazazi wako walilo kupa halifa. Na kama unafanana na Khalima pole sana kaka yangu. Yani ww unataka ufunguke kiasi gani hapo hata mtt wangu wa miaka 5 anaelewa maana yake angeliuliza mama kwanini huyu haja save jina langu anaandika lamtu mwingine. Let me tell you that binam yaangu wa kiume anahiyo tabia anabatiza wasichana majina anaweza hata kuwa nawanawake 6 Daa ni kubwa hawajuani. Pole sana. Muache usijipatie magonjwa bure huyo hafai

Jamani mpenzi wangu wa kike amenisevu jina la kike kama Khalima.

Nimegundua hili nilipomwomba simu yake nijibeep ili kuona kama ringtone kwenye simu yangu mpya umefanikiwa.

Sijapata jibu,nini tafsiri yaye kunifanyia hivyo!

Mnifungue jamani kimawazo.
 
teh teh teh GAZETI umenifurahisha sana , na bwana fisi 2 yako ni mpya umeseviwa DALALI sasa dalali wa nini? jamani mapenzi haya mim ma ex boy alimsevu girl wake mwingine jina la rafiki yake siku moja simu imeita sana kuangalia jina la rafiki yake ambaye namfaha sana nkaamua kupokea ili nimwambie jamaa katoka mara moja akirudi ntamwambia aku call , dah napokea nakutaka na sauti ya mdada ' haloow darling' nkashtuka mwisho wa siku nika sepa . bora tu share nisijue
 
Lakini tusitazame upande mmoja tu hebu na sisi tuangalie jinsi tulivyowasave wanawake kwenye simu zetu utakuta kiembembuzi, kizota, tibaigana,nk wewe umesave vp?
 
Jamani mpenzi wangu wa kike amenisevu jina la kike kama Khalima.

Nimegundua hili nilipomwomba simu yake nijibeep ili kuona kama ringtone kwenye simu yangu mpya umefanikiwa.

Sijapata jibu,nini tafsiri yaye kunifanyia hivyo!

Mnifungue jamani kimawazo.

Duh, hapo ile "hana hatia mpaka ithibitike vyenginevyo" haiwezi fanyakazi.
Huyo "ni mkosa na kesi ya kujibu, hadi hapo athibitishe vyenginevyo".
Sina haja ya kurudia wengine wamesema kwani nakubaliana nao 1Million%.
Hata kama utamsevu kwa jina lolote, kubali kakuzidi maujanja.
Nikwambie tu, POLE SANA!
 
may b una tabia ka za rafiki yake wa kike khalima
 
Back
Top Bottom