Just pray for your husband ili abadilike mana hizi ni siku za mwisho, Yesu anakaribia kuja.
Ushauri wa bure, dont be angry with him na ikibidi do not touch his phone, utakuja kufa kwa presha buree!
Hamjambo MMU! hivo unavopokea simu ya mr. wakati hayupo na kw bahati mbaya au nzuri, ukaitika vizuri haloo habari yako nikusaidie nn mr hayupo katoka mara moja na simu kaacha, unakutana na sauti ya kike nzuri anakuuliza unapokea simu yake wewe ni secretary wake? msonyo mrefu mara simu anakata na hapohapo anatuma msg inasomeka( maraya golikipa mkubwa we piga kelele wenzio twala) hii inakuwa imekaa vp wajameni, wakati uliyepokea simu ni mke wa ndoa hivo, mbaya kuliko unamuuliza mr huyu nani na maana imetokea hivi na hivi nayeye anakuambia ata simfaham, hivo inawezekana vp mtu usimfaham alafu anaamka na mitusi hivi! hivo katika hali km hii mapenzi yakipungua utamlaum mkeo kweli? Ieleweke kwamba hatuna masharti katika simu zetu yeye anashika yangu time yoyote tu na mimi nikihitaji kumpigia mtu wa tigo ndio nashika ya kwake maana mitandao yetu tofauti. Je wana MMU Ingekuwa imekutokea ww ungefanya nn?

...TRUST.
...weka imani kwa mumeo, angekuwa na nia mbaya asingekuachia hiyo simu uyaone hayo madudu...
fikiria nawe siku moja "mwanaume" msumbufu awe anawachezea akili kama hivyo,...
kama ni manamke wake, usingemsikia hata sauti...ukipokea tu anaikata.
...RELAX!
Hamjambo MMU! hivo unavopokea simu ya mr. wakati hayupo na kw bahati mbaya au nzuri, ukaitika vizuri haloo habari yako nikusaidie nn mr hayupo katoka mara moja na simu kaacha, unakutana na sauti ya kike nzuri anakuuliza unapokea simu yake wewe ni secretary wake? msonyo mrefu mara simu anakata na hapohapo anatuma msg inasomeka( maraya golikipa mkubwa we piga kelele wenzio twala) hii inakuwa imekaa vp wajameni, wakati uliyepokea simu ni mke wa ndoa hivo, mbaya kuliko unamuuliza mr huyu nani na maana imetokea hivi na hivi nayeye anakuambia ata simfaham, hivo inawezekana vp mtu usimfaham alafu anaamka na mitusi hivi! hivo katika hali km hii mapenzi yakipungua utamlaum mkeo kweli? Ieleweke kwamba hatuna masharti katika simu zetu yeye anashika yangu time yoyote tu na mimi nikihitaji kumpigia mtu wa tigo ndio nashika ya kwake maana mitandao yetu tofauti. Je wana MMU Ingekuwa imekutokea ww ungefanya nn?
Hamjambo MMU! hivo unavopokea simu ya mr. wakati hayupo na kw bahati mbaya au nzuri, ukaitika vizuri haloo habari yako nikusaidie nn mr hayupo katoka mara moja na simu kaacha, unakutana na sauti ya kike nzuri anakuuliza unapokea simu yake wewe ni secretary wake? msonyo mrefu mara simu anakata na hapohapo anatuma msg inasomeka( maraya golikipa mkubwa we piga kelele wenzio twala) hii inakuwa imekaa vp wajameni, wakati uliyepokea simu ni mke wa ndoa hivo, mbaya kuliko unamuuliza mr huyu nani na maana imetokea hivi na hivi nayeye anakuambia ata simfaham, hivo inawezekana vp mtu usimfaham alafu anaamka na mitusi hivi! hivo katika hali km hii mapenzi yakipungua utamlaum mkeo kweli? Ieleweke kwamba hatuna masharti katika simu zetu yeye anashika yangu time yoyote tu na mimi nikihitaji kumpigia mtu wa tigo ndio nashika ya kwake maana mitandao yetu tofauti. Je wana MMU Ingekuwa imekutokea ww ungefanya nn?
Mimi naomba niseme kitu kimoja hapo. Kati ya vitu ambavyo wapenzi wanakosea i kudhani kwamba kila kitu unaweza kukifanya kwa mwenzio no matter what. Na hayo ndiyo matokeo yake. Jamani mlio ktk mahusiano kuweni makini. Kama unaona simu haikuhusu usihangaike nayo matokeo yake ni hayo.
Hebu fikiria kama hiyo ingekuwa ni simu ya ofisi, wewe ambaye sio mhusika ungetoa jibu gani? Sana sana ungesema mwenyewe hayupo........sasa hapo ukitazama kuna tofauti gani na kama usingepokea?
Kuna siku nilimpigia simu jamaa yangu ghafla akapokea mkewe, nikamwambia naomba niongee na mwenye simu, mwanamke akaniambia niambie tu nikakataa kwa kuwa ilikuwa ni jambo la kiofisi, akasema we niambie tu ntakusaidia-tena kwa ukali na mwishowe akakata simu eti namsumbua. Baadae mumewe aliomba msamaha sana akidai aligombana na mkewe.
simu kama sio yako usiipokeee!
I totaly agree with you. Nimepima maneno ya huyu nyumba ndogo na nimegundua (naweza nisiwe sawa)
1. Wewe kama mke umekuwa ni threat kwake ndio maana anatoa povu (labda shosti unakaba mpaka penati lol.)
2. Anahisi mumeo anakaribia kumbwaga maana naona amekuwa na hasira na wewe; kama ujuavyo nyumba ndogo nyingi ni za msimu; kuna wanaume wanajirudi na kujutia makosa yao hata bila kukamatwa. May be keshaambiwa its over!
3. Jua kuwa kuna nyumba ndogo zinajua ku blackmail; zile za ukiniacha namwambia mkeo juu ya uhusiano wetu (ukimwaga mboga namwaga ugali) hence inawezekana huyo mwanamke ameshapigwa chini; ameamua kuharibu ndoa yenu mkose wote.
4. Inawezekana ni wrong number unless jina lilionekana liko kwenye phone book list.
5. Ulifanya papara; ungefanya uchunguzi kujua ukweli wa mambo; jamaa keshakana inaweza kuwa ngumu kuujua ukweli, BUT you can, weka makachero ujue if its real or not.
Ni juu yako kuamua nini cha kufanya.
Pole sana kwa hayo yaliyokupata. Hayo ni matokeo ya wanaume wapuuzi wasiojua thamani halisi za wake zao!....Hebu soma zile Rule za The Boss...utaelewa ninachomaanisha!!
Nadhani sasa uko kwenye nafasi nzuri ya kulishughulikia suala hili. Kama ukiweza kutulia, naamini utalitatua hata wewe mwenyewe hutoamini.
Kwanza ni muhimu kuwa na namba ya simu ya huyo mtu anayejifanya nambari one wakati ni mpita njia, tena anayetumiwa na kuchezewa kama toy! Ukishaipata hakikisha unafahamu jina lake....Baada ya hapo fuatilia hadi uwe na kila aina ya data unayohitaji (mjue in and out)!! Ukimaliza kazi hiyo ndo unamkabili mumeo ukiwa na data zisizo na utata....Mwangalie direct into his eyes na umweleze kila kitu....Halafu ukiona badoo anabisha ujue huyo ni mtoto...siyo mwanamume. Kama ni mwanamume kweli, atakupa version yake na mambo yataishia hapo!!
Tumia mbinu za Nyamayao na kuwa ngangari...Hii vita tayari wewe ndiye mshindi.
Best wishes,
Babu DC!
Hamjambo MMU! hivo unavopokea simu ya mr. wakati hayupo na kw bahati mbaya au nzuri, ukaitika vizuri haloo habari yako nikusaidie nn mr hayupo katoka mara moja na simu kaacha, unakutana na sauti ya kike nzuri anakuuliza unapokea simu yake wewe ni secretary wake? msonyo mrefu mara simu anakata na hapohapo anatuma msg inasomeka( maraya golikipa mkubwa we piga kelele wenzio twala) hii inakuwa imekaa vp wajameni, wakati uliyepokea simu ni mke wa ndoa hivo, mbaya kuliko unamuuliza mr huyu nani na maana imetokea hivi na hivi nayeye anakuambia ata simfaham, hivo inawezekana vp mtu usimfaham alafu anaamka na mitusi hivi! hivo katika hali km hii mapenzi yakipungua utamlaum mkeo kweli? Ieleweke kwamba hatuna masharti katika simu zetu yeye anashika yangu time yoyote tu na mimi nikihitaji kumpigia mtu wa tigo ndio nashika ya kwake maana mitandao yetu tofauti. Je wana MMU Ingekuwa imekutokea ww ungefanya nn?
Nimeona michamgo mingi ya wanaforum na yote naiheshimu. Mimi ni mwanamme. Hii imeisha tokea kwangu zaidi ya mara tatu. From no where mtu ananipigia na kudai nina appointment naye/tulikutana few days etc. mbaya zaidi nikijitahidi kumuelewsha kuwa kakosea namba anang`ang`ania kuwa ana uhakika na namba ila namfanyia roho mbaya. Bahati nzuri nikagundua namna ya kumblack listnamba yake ikawa mwisho wake. Last week mmoja katuma messages very sensitive kwenye namba yangu.Mke wangu aliziona hizo msgs. yupo free na simu yangu na wala haikuwa issue. Baada ya malumbano ya message kadhaa ikaonekana tupo miji tofauti. Huyu aliomba samahani at last na kugundua kuwa alikosea namba. Vipi kama mke wangu angeliweza kureact kwa hizo msgs.
Ninachotaka kusema ni kuwa ndoa ni kuaminiana. ndani ya ndoa simu inatakiwa kuwa free. Hakuna mwanaume muhuni anayewezza kuacha simu yake free kwa mkewe.Kuna uwezekano mkubwa hiyo ilikuwa ni wrong number. Na hizo case ataziona nyingi ila ignore and trust each other. Hakuna kitu hapo ila ni ibilisi ananyemelea ndoa yake.
Tumia simu ya mme wako naye atumie yako. Kama simu ni ya kikazi, mpigaji ataambiwa muhusika katoka na apige baadae au akija ataambiwa apige.

Kweli kabisa..Ila mtu yeyote mwenye akili na uzoefu wa maisha anaweza kujua kama jibu anolopewa ni la mashaka au la.
Katika issue yako, wewe ulionekana huna wasi wasi na kilichokuwa kinaendelea na kwa hiyo ulimpa imani mkeo na ndio maana suala hilo halikuwa big issue...Ila kwa kufuatilia issue ya mtoa mada, utaona kuwa kuna uwezekano mkubwa kabisa kwamba Mume wake hakuwa mkweli.
ningekuwa MR ningempa likizo ya muda huyo Mywife kwa kosa la kupokea cm ndo mengine yafuate!:crutch: