Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

Huyo kicheche aisee hana hata adabu?? Wengine huwa wanasema nyamaza naongea na "Wife" niliwahi kuleta thread kama hii

Jamani nitakufa siku si zangu source: Feis Buku
 
Mpe MR. masharti ya masaa 24 akiri kosa lake, akuombe radhi, awachane na huyo wa kuja la sivyo unafungasha na kuondoka.
Hiyo ni Plan B, Plan A ondoka hivi sasa, airudi hupo.

Tafadhali usimfunge kamba mwenzio. Aondoke kwenye ndoa yake amwachie nani?
Usiondoke waego. We komaa naye tu huyo mr mpaka kieleweke. Tumia hekima kumvuta back to you, wala mtu asikudanganye kusambaratisha ndoa yako. Ndoa haziji kirahisirahisi hivyo.
 
hhahaaaaaaa Dena na wengine nyamaza naongea na husband!!!!

Huyo kicheche aisee hana hata adabu?? Wengine huwa wanasema nyamaza naongea na "Wife" niliwahi kuleta thread kama hii

Jamani nitakufa siku si zangu source: Feis Buku
 
hhahaaaaaaa Dena na wengine nyamaza naongea na husband!!!!

Ni kweli kabisa Chauro. Tukuwekee chakula?? Mmhh naona kama nitachelewa nyie kuleni maana hapa kwenye mkutano tumelipiwa dinner ha ha ha Cheaters.com
 
Hamjambo MMU! hivo unavopokea simu ya mr. wakati hayupo na kw bahati mbaya au nzuri, ukaitika vizuri haloo habari yako nikusaidie nn mr hayupo katoka mara moja na simu kaacha, unakutana na sauti ya kike nzuri anakuuliza unapokea simu yake wewe ni secretary wake? msonyo mrefu mara simu anakata na hapohapo anatuma msg inasomeka( maraya golikipa mkubwa we piga kelele wenzio twala) hii inakuwa imekaa vp wajameni, wakati uliyepokea simu ni mke wa ndoa hivo, mbaya kuliko unamuuliza mr huyu nani na maana imetokea hivi na hivi nayeye anakuambia ata simfaham, hivo inawezekana vp mtu usimfaham alafu anaamka na mitusi hivi! hivo katika hali km hii mapenzi yakipungua utamlaum mkeo kweli? Ieleweke kwamba hatuna masharti katika simu zetu yeye anashika yangu time yoyote tu na mimi nikihitaji kumpigia mtu wa tigo ndio nashika ya kwake maana mitandao yetu tofauti. Je wana MMU Ingekuwa imekutokea ww ungefanya nn?

amesahau malaya yeye.............sasa hayo ya golikipa yamefikaje huko acheni kutoa taarifa za home ovyo
 
Kabla ya kumlaumu nyumba ndogo namlaumu huyo mr wako,hana adabu hata kdogo.adi uyo mdada kupata ujasiri wa kukusemesha kwa dharau ivo ujue mr wako ashakuponda sana mbele yake.shame on him
 
Looo hizi nyumba ndogo jamani ni balaa nkuonea huruma lakini ongea nae taratibu mista wako nimapungufu ya kibinadam myamalize usiipe frusa hiyo nyumba ndogo huwa mawazo yao nikukugombanisha ili ifaidi

Hamjambo MMU! hivo unavopokea simu ya mr. wakati hayupo na kw bahati mbaya au nzuri, ukaitika vizuri haloo habari yako nikusaidie nn mr hayupo katoka mara moja na simu kaacha, unakutana na sauti ya kike nzuri anakuuliza unapokea simu yake wewe ni secretary wake? msonyo mrefu mara simu anakata na hapohapo anatuma msg inasomeka( maraya golikipa mkubwa we piga kelele wenzio twala) hii inakuwa imekaa vp wajameni, wakati uliyepokea simu ni mke wa ndoa hivo, mbaya kuliko unamuuliza mr huyu nani na maana imetokea hivi na hivi nayeye anakuambia ata simfaham, hivo inawezekana vp mtu usimfaham alafu anaamka na mitusi hivi! hivo katika hali km hii mapenzi yakipungua utamlaum mkeo kweli? Ieleweke kwamba hatuna masharti katika simu zetu yeye anashika yangu time yoyote tu na mimi nikihitaji kumpigia mtu wa tigo ndio nashika ya kwake maana mitandao yetu tofauti. Je wana MMU Ingekuwa imekutokea ww ungefanya nn?
 
Daughter usiseme hivyo hizi nyumba ndogo huwa zina tafuta njia tu yakuachanisha ndoa za watu ujue ilisha mjua vizuri sana hi ilishanitoke mimi ilimjua my wife wangu ikafanya mbinu ikapata namba yake wachanione dunia chungu ilikuwa inampigia sim inatoa maneno ya uongo likini yanakribia na ukweli mpaka mwenzangu akajua huwa naiambia wakati hata sikumoja sijawahi itamkia ya mkewangu naomba jameni watu muache kabisa hilijambo hasa kinadada mkiona mnataka kufanya speatairi msikubali hakuna mume wa mtu anapenda kliukweli nyumba ndogo huwa tunajifanya tu ukiuziwa home ndo untafuta pakujiweka sawa
Kabla ya kumlaumu nyumba ndogo namlaumu huyo mr wako,hana adabu hata kdogo.adi uyo mdada kupata ujasiri wa kukusemesha kwa dharau ivo ujue mr wako ashakuponda sana mbele yake.shame on him
 
mr wako ndo source ya hayo matatzo yote-angejibehave yasingetokea
 
Mmmh, kazi ipo. Usicheze ngoma yake hapo ana mafrustration kibao anajaribu kukugawia na wewe.

Hamjambo MMU! hivo unavopokea simu ya mr. wakati hayupo na kw bahati mbaya au nzuri, ukaitika vizuri haloo habari yako nikusaidie nn mr hayupo katoka mara moja na simu kaacha, unakutana na sauti ya kike nzuri anakuuliza unapokea simu yake wewe ni secretary wake? msonyo mrefu mara simu anakata na hapohapo anatuma msg inasomeka( maraya golikipa mkubwa we piga kelele wenzio twala) hii inakuwa imekaa vp wajameni, wakati uliyepokea simu ni mke wa ndoa hivo, mbaya kuliko unamuuliza mr huyu nani na maana imetokea hivi na hivi nayeye anakuambia ata simfaham, hivo inawezekana vp mtu usimfaham alafu anaamka na mitusi hivi! hivo katika hali km hii mapenzi yakipungua utamlaum mkeo kweli? Ieleweke kwamba hatuna masharti katika simu zetu yeye anashika yangu time yoyote tu na mimi nikihitaji kumpigia mtu wa tigo ndio nashika ya kwake maana mitandao yetu tofauti. Je wana MMU Ingekuwa imekutokea ww ungefanya nn?
 
huyo mumeo hakuheshimu hata chembe. Usingekuwa ni mke wa ndoa ningekushauri ukabebe mimba ya konda ili kumkomesha
 
I totaly agree with you. Nimepima maneno ya huyu nyumba ndogo na nimegundua (naweza nisiwe sawa)

1. Wewe kama mke umekuwa ni threat kwake ndio maana anatoa povu (labda shosti unakaba mpaka penati lol.)
2. Anahisi mumeo anakaribia kumbwaga maana naona amekuwa na hasira na wewe; kama ujuavyo nyumba ndogo nyingi ni za msimu; kuna wanaume wanajirudi na kujutia makosa yao hata bila kukamatwa. May be keshaambiwa its over!
3. Jua kuwa kuna nyumba ndogo zinajua ku blackmail; zile za ukiniacha namwambia mkeo juu ya uhusiano wetu (ukimwaga mboga namwaga ugali) hence inawezekana huyo mwanamke ameshapigwa chini; ameamua kuharibu ndoa yenu mkose wote.
4. Inawezekana ni wrong number unless jina lilionekana liko kwenye phone book list.
5. Ulifanya papara; ungefanya uchunguzi kujua ukweli wa mambo; jamaa keshakana inaweza kuwa ngumu kuujua ukweli, BUT you can, weka makachero ujue if its real or not.

Ni juu yako kuamua nini cha kufanya.
Daughter usiseme hivyo hizi nyumba ndogo huwa zina tafuta njia tu yakuachanisha ndoa za watu ujue ilisha mjua vizuri sana hi ilishanitoke mimi ilimjua my wife wangu ikafanya mbinu ikapata namba yake wachanione dunia chungu ilikuwa inampigia sim inatoa maneno ya uongo likini yanakribia na ukweli mpaka mwenzangu akajua huwa naiambia wakati hata sikumoja sijawahi itamkia ya mkewangu naomba jameni watu muache kabisa hilijambo hasa kinadada mkiona mnataka kufanya speatairi msikubali hakuna mume wa mtu anapenda kliukweli nyumba ndogo huwa tunajifanya tu ukiuziwa home ndo untafuta pakujiweka sawa
 
Hapana kuna watu wa hvyo mimi nilishapata mesage mbaya nikasoma my boy akampigia huyo m2 akasema mimi ndio nilianza kum2kana wakati cmu haikuwa hewani ndio nilikuwa nimetoka kurenew,so kuna mijitu ya hvyo,inaweza mumeo kweli hafahamu,
 
Kama ni mimi napiga chini hiyo nyumba ndogo haina adabu, hajui tumetoka wapi mimi na wife alaaaa

Hamjambo MMU! hivo unavopokea simu ya mr. wakati hayupo na kw bahati mbaya au nzuri, ukaitika vizuri haloo habari yako nikusaidie nn mr hayupo katoka mara moja na simu kaacha, unakutana na sauti ya kike nzuri anakuuliza unapokea simu yake wewe ni secretary wake? msonyo mrefu mara simu anakata na hapohapo anatuma msg inasomeka( maraya golikipa mkubwa we piga kelele wenzio twala) hii inakuwa imekaa vp wajameni, wakati uliyepokea simu ni mke wa ndoa hivo, mbaya kuliko unamuuliza mr huyu nani na maana imetokea hivi na hivi nayeye anakuambia ata simfaham, hivo inawezekana vp mtu usimfaham alafu anaamka na mitusi hivi! hivo katika hali km hii mapenzi yakipungua utamlaum mkeo kweli? Ieleweke kwamba hatuna masharti katika simu zetu yeye anashika yangu time yoyote tu na mimi nikihitaji kumpigia mtu wa tigo ndio nashika ya kwake maana mitandao yetu tofauti. Je wana MMU Ingekuwa imekutokea ww ungefanya nn?
 
huo sio ushauri hata kidogo
Mpe MR. masharti ya masaa 24 akiri kosa lake, akuombe radhi, awachane na huyo wa kuja la sivyo unafungasha na kuondoka.
Hiyo ni Plan B, Plan A ondoka hivi sasa, airudi hupo.
 
Hamjambo MMU! hivo unavopokea simu ya mr. wakati hayupo na kw bahati mbaya au nzuri, ukaitika vizuri haloo habari yako nikusaidie nn mr hayupo katoka mara moja na simu kaacha, unakutana na sauti ya kike nzuri anakuuliza unapokea simu yake wewe ni secretary wake? msonyo mrefu mara simu anakata na hapohapo anatuma msg inasomeka( maraya golikipa mkubwa we piga kelele wenzio twala) hii inakuwa imekaa vp wajameni, wakati uliyepokea simu ni mke wa ndoa hivo, mbaya kuliko unamuuliza mr huyu nani na maana imetokea hivi na hivi nayeye anakuambia ata simfaham, hivo inawezekana vp mtu usimfaham alafu anaamka na mitusi hivi! hivo katika hali km hii mapenzi yakipungua utamlaum mkeo kweli? Ieleweke kwamba hatuna masharti katika simu zetu yeye anashika yangu time yoyote tu na mimi nikihitaji kumpigia mtu wa tigo ndio nashika ya kwake maana mitandao yetu tofauti. Je wana MMU Ingekuwa imekutokea ww ungefanya nn?

Za kwako changanya na za wengine. Stuka.
 
Hii tabia ya kupokea simu ya mwenzio unaweza kufa na pressure bure kama una roho ndogo, ni juu ya nini?!
 
na kweli yeye ndo anakula. C ajabu matunzo anayopata kiboko.

Anyway inawezekana ni nyumba ndogo(tena ya kiswahili,hajui kula na kipofu).
{Au wachönganishi. . . Ila mmmh}

ila ungemuuliza kati yako wewe mke na yeye hawara nani m*laya?

Kwani wewe ni golikipa? Kama ni kweli pole mambo ya nyumba yako yashafika nyumba ndogo.

Ingekua imenitokea mie ningetulia nifanye uchunguzi kimya kimya huku Nakihifadhi namba za mwizi wangu na kumpiga sound mume avifundishe adabu vihawara vyake.

Hapana mie si golikipa nina kazi yangu tena nzuri namshukuru allah, ni kweli na mie naona kabisa km hii nyumba ndogo itakuwa ya uswazi kama si tandale inaweza kuwa mwananyamala kw kopa
 
Kabla ya kumlaumu nyumba ndogo namlaumu huyo mr wako,hana adabu hata kdogo.adi uyo mdada kupata ujasiri wa kukusemesha kwa dharau ivo ujue mr wako ashakuponda sana mbele yake.shame on him

Hilo linawezekana sana my dear
 
Back
Top Bottom