TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,193
- 18,217
.................I love you!!!Mume wangu ni mwerevu... Na ni the type aki cheat, ni kazi saaana me as a wife ning'amue hilo.... Sio mshamba kiasi kwamba naweza kuta such a message, hivo nikiikuta nitajua mtumaji ndio wale waharibifu.... na alikua na hope nitaiona... Soln kwangu itakua kuipotezea... ili nisimpe faida/furaha (mtumaji).... na kumwambia Mume wangu "Mpenzi acha kutoa number Ovyo... ona sasa hadi vichaa wanakutumia message"
nakupenda bure kabisa, i wish wote wangekua hivyo