BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
Mie nilikuta msg ya msichana yaani iliingia wakati natumia simu yake mara moja, nikaifungia kibahati mbaya, inasema nikusubiri aport au utanikuta home d? alikuwa anasafiri mwanza sijui alikuwa mtoto gani wa mwanza, nikauchuna coz jina nililijua baada ya dk chache kwa kutumia ile namba ya simu,nikampeleka aport, nikawa napiga kila saa kuona kama amefika, maana angani si hakuna network! ilipoita tu nikajua amefika, nikamuuliza mambo vipi, umefika salama? ..... umemkuta aport? alikata simu hapohapo, ilikuwa arudi kesho yake jioni, jioni ya siku hiyo nikamuona huyu hapa kaingia home, sikumuuliza wala nini mahaba kwa kwend mbele, kesho yake akanambia sorry ma zawadi maisha yakaendelea, mambo ya simu ni soo.... ndio nilikasirika sana ila sikutaka kugombana wala nini