Triplets
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 1,146
- 206
..........hamna kitu hapa!
kwa nini?!
safi sana Chimunguru endeleeni hivyo hivyo, presha zaidi za nini wakati maisha yenyewe tu ni presha tosha
..........hamna kitu hapa!
jamani eeh!nitairusha tena hiyo CODE ya call-barring ili tuzinusuru hizi ndoa......!lakini nitaiondoa after five minutes,TUPO PAMOJA?[/QUOTE]
Sana Mkuu!
...vip,hane muun umeimaliza salama?au bado MAPAMBANO YANAENDELEA?kwa nini?!
safi sana Chimunguru endeleeni hivyo hivyo, presha zaidi za nini wakati maisha yenyewe tu ni presha tosha
fone zina vimbwanga eeh....
mmmmmmmmmmmmh, naomba nimjibu MJ1 kuwa Chimunguru ni HEhehehe!
kamsome vizuri
ndo maana hata mwanajamii alipata stroke akauliza hivi:
..na ndo maana hata x-pin aliconcludii:
STUKA MPWAAA!pale hamna kitu nakwambia
KWA HESHIMA YA KUNTA KINTE....jamani eeh!nitairusha tena hiyo CODE ya call-barring ili tuzinusuru hizi ndoa......!lakini nitaiondoa after five minutes,TUPO PAMOJA?[/QUOTE]
Sana Mkuu!
kuiweka call barring ni *35*000#(hapa unaweza mpa waifu simu akakaa nayo hata miaka miwili)
kuiondoa ni #35*000#
kuna hizi simu za kisasa zina finger print access code!.
Mke wangu nilimkataza kuchungulia simu yangu lakini akawa king'ang'anizi. Siku moja akakutana na sms niliyotumiwa kimakosa na rafiki yangu wa kiume, aliituma sms hiyo muda mfupi baada ya kuongea naye kwa simu. Alikuwa akipata kilaji wakati akichat na mpenzi wake kwa sms akajisahau akanitumia mimi badala ya mpenzi wake. Wife alipoiona hiyo sms yenye mabusu makali akajua ni mwanamke amenitumia, akwa anapiga ile namba ikawa haipatikani. Akahamaki sana na ugomvi ukaibuka ndani, kila nilipojaribu kumueleza akawa anadhani najitetea tu. Nikampigia rafiki yangu kwa namba nyingine na kuumpa simu aongee naye, alijidharau sana na kuniomba msamaha kwa kunifikiria vibaya na kunirushia maneno makali!!!
na wasiwasi endapo angepiga na kusikia kidume kinaongea, ANGEZIMIA. kwa kua angejua hana mume, mume amekua sio rizki, lols.Mke wangu nilimkataza kuchungulia simu yangu lakini akawa king'ang'anizi. Siku moja akakutana na sms niliyotumiwa kimakosa na rafiki yangu wa kiume, aliituma sms hiyo muda mfupi baada ya kuongea naye kwa simu. Alikuwa akipata kilaji wakati akichat na mpenzi wake kwa sms akajisahau akanitumia mimi badala ya mpenzi wake. Wife alipoiona hiyo sms yenye mabusu makali akajua ni mwanamke amenitumia, akwa anapiga ile namba ikawa haipatikani. Akahamaki sana na ugomvi ukaibuka ndani, kila nilipojaribu kumueleza akawa anadhani najitetea tu. Nikampigia rafiki yangu kwa namba nyingine na kuumpa simu aongee naye, alijidharau sana na kuniomba msamaha kwa kunifikiria vibaya na kunirushia maneno makali!!!
Ni haki yake. Na wewe unakamata simu yake? Hupati shoti?
kweli kichaa kapewa rungu. Kazi kweli kweli.:dvimbwanga mnavitaka nyie wanawake. Kama si vimbelembele vyenu, sucurity code au call barring wala tusingevijua. Leo wife anaenda kuachiwa simu alale nayo atakavyo!
si kwa ubaya, sometime nataka tu kujua kama kama hubby bado analipa, yani kama kuna vidada vinamshobokea au vp ili nijue thamani yake niongeze manjonjo. inaitwa self assessment.
wewe unafaa!infact huyo jamaa yako ASINGEKUWOWA mimi ningekuchukua JUMLA JUMLA ukaungana na dada zake x-pin (watatu),na babylove na wewehaki yake kwa provision ipi??????? sina haja na simu yake kisa cha kupata degedege mtu mzima???
wewe unafaa!infact huyo jamaa yako ASINGEKUWOWA mimi ningekuchukua JUMLA JUMLA ukaungana na dada zake x-pin (watatu),na babylove na wewe
Mke wangu nilimkataza kuchungulia simu yangu lakini akawa king'ang'anizi. Siku moja akakutana na sms niliyotumiwa kimakosa na rafiki yangu wa kiume, aliituma sms hiyo muda mfupi baada ya kuongea naye kwa simu. Alikuwa akipata kilaji wakati akichat na mpenzi wake kwa sms akajisahau akanitumia mimi badala ya mpenzi wake. Wife alipoiona hiyo sms yenye mabusu makali akajua ni mwanamke amenitumia, akwa anapiga ile namba ikawa haipatikani. Akahamaki sana na ugomvi ukaibuka ndani, kila nilipojaribu kumueleza akawa anadhani najitetea tu. Nikampigia rafiki yangu kwa namba nyingine na kuumpa simu aongee naye, alijidharau sana na kuniomba msamaha kwa kunifikiria vibaya na kunirushia maneno makali!!!
kudadadeeeekiiii, kitu kinafanya kazi!!,KWA HESHIMA YA KUNTA KINTE....
kuiweka call barring ni *35*000#(hapa unaweza mpa waifu simu akakaa nayo hata miaka miwili)
kuiondoa ni #35*000#
hahahaaa, sasa ni KUDUMISHA MILA ANYTIME, ANYWHERE, ANYCOST!.
kwa wewe mpwa mi bora nikae single for life maana utaniua kabla ya siku zangu!!!!!
umeipenda eeh!TWENDE KAAZI.kudadadeeeekiiii, kitu kinafanya kazi!!,
hahahaaa, sasa ni KUDUMISHA MILA ANYTIME, ANYWHERE, ANYCOST!.
kadri wanavyoimprove skillz zao sisi tunaingia maabara na kuja na mbuni mpya za kuwakabili!
kuna mmoja ''amemkatikia'' emsii wa moshi hadi kadedi.mbaya zaidi ni mke wa mtu
...vip,hane muun umeimaliza salama?au bado MAPAMBANO YANAENDELEA?