Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

umeipenda eeh!TWENDE KAAZI.

kadri wanavyoimprove skillz zao sisi tunaingia maabara na kuja na mbuni mpya za kuwakabili!

kuna mmoja ''amemkatikia'' emsii wa moshi hadi kadedi.mbaya zaidi ni mke wa mtu
hahaaa afu MC alijidunga 'Valuuu 'kibao kabla ya game kumbe ndo anenda kujimaliza!!

Iribini watch out usije ukafia kwenye vifua vya wakina Eliza hahaaa!!!
 
hane muni huwa haziishagi bana,
utaona mwenyewe ukiingia kundini, saa ya kununa zinapumzishwa wakati wa vicheko zinaendelea
You are right! Hanemuni zitaishaje wakati kila siku tunadumisha mila?
 
si kwa ubaya, sometime nataka tu kujua kama kama hubby bado analipa, yani kama kuna vidada vinamshobokea au vp ili nijue thamani yake niongeze manjonjo. inaitwa self assessment.

Mmh sista, ya kweli haya? ni self assessment au abiria chunga mzigo. haya assume analipa, na umekuta kile unachokihofia reaction yake ni nini high blood pressure au unam-pat on the back kuwa, hee mshirika kumbe bado unalipa!

Niwe mkweli, mie ugonjwa wa moyo siutaki na watoto bado wadogo, simu yake wala sihangaiki nayo, hata iite kama king'ora cha ambulance, atakuja kuikuta atakapokuwa tayari!
 
Kweli wanaume hamuwezekani!
yaani mama,
kadri siku zinavyosogea MAUJANJA NA TECHNOLOJIA tunaviboresha!hao wengine jumapili hawana umuhimu sana kunitafuta.ila mimi nikiamua kuwatafuta nawapata.(ninayo line nyingine ambayo hata namba yake siijui,lakini ina namba zoote za watu wangu muhimu)
 
Back
Top Bottom