Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

jamani angalieni hizi quote zinavotokea sasa hivi, inaonekana invisible ameaamua kutuconfuse , especially kwa wale ambao hatujalipia bill ya pango, i 4got kwamba i promised to be a preemium memnber by 1/1.2010 oops! bht vp mwenzangu na ulisahau?
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 40 (18 members and 22 guests) klorokwini, bht, carmel, Che Kalizozele, chimunguru, Dina, George_Porjie, Giroy, Kaizer, Kithuku, Lily Flower, MwanajamiiOne, Naniliu, Nyamayao, Raimundo, Triplets

hapa tunahitaji kidole cha sita aka ekstra finga kukabiliana na huu mjadala unaoonekana kupindukia spidi limiti. bht nimekumiss (acha nikuwahi kukusalimia kabla kawaif hakajarejea)
hapo kwenye GUESTS hapooooooo!nguli na fidel80 WAMEWEKA KAMBI
 
hahaaa afu MC alijidunga 'Valuuu 'kibao kabla ya game kumbe ndo anenda kujimaliza!!

Iribini watch out usije ukafia kwenye vifua vya wakina Eliza hahaaa!!!

Nzi kufia kidondani ni ushujaa bana!
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 40 (18 members and 22 guests) klorokwini, bht, carmel, Che Kalizozele, chimunguru, Dina, George_Porjie, Giroy, Kaizer, Kithuku, Lily Flower, MwanajamiiOne, Naniliu, Nyamayao, Raimundo, Triplets

hapa tunahitaji kidole cha sita aka ekstra finga kukabiliana na huu mjadala unaoonekana kupindukia spidi limiti. bht nimekumiss (acha nikuwahi kukusalimia kabla kawaif hakajarejea)

we kwanza uliendaga wapi? happy new year nimekumiss mpaka nimekumisplace
 
nilikuwa naimarisha kilimo kwanza, si unajua mwisho ka mwaka ndo msimu wa mvua za rain. happy nyuu yaa. bahati nzuri skufa 2009 .
 
Kaka imeandikwa wapi WOMEN ARE NOT ALLOWED? Wanaume waweze wananini na sie tushindwe tunanini?
hahahaaaa, nawasiwasi na wewe mkuu huenda Ukawa ni HE.
huwezi ukawa na uthubutu wa kusema eti na nyie why mshindwe, umepata wapi ujasiri huu??
IT IS STRICTLY AND ABOMINATION FOR WOMEN KUDUMISHA MILA, over men dead bodies!!.
 
Nzi kufia kidondani ni ushujaa bana!
NAAM!na kwakweli mtu kama huyu ''atakumbukwa daima'' kwenye hili kundi la vijana wa ki-mila......

kimsingi hata hii huduma ya call-barring ni vijana wa ki-mila ndio walioingia studio na kufanya kazi
 
Hapana chimunguru hakuna tatizo bali tu nafurahi kuwa at least kuna wanaume dunia hii!! I just wish..................LOL

Najua wanaume wengi wana kazi za nje(Nyumba ndogo na Videmu) ndo maana utakuta password za kumwaga kwenye simu au mtu anakuwa mkali kinoma na simu yake. Kwa nini niishi kwa tabu namna hiyo MJ1? na mke nilimpenda mwenyewe? kwa nini nimdanganye yule innocent wife? nikifikiria hapo kwa kweli nachanganyikiwa
 
hizi mila za wapi wajameni? hapa hapa tz au ziko impotedi?
Mila za kitanzania mama. Babu yangu alikuwa na wake wa4 na watoto 56. Kati ya watoto hao 56 Tisa walizaliwa na wanawake tofauti ambao hawakuwa wake zake! Yu knoo woram seyying? Piga hesabu hapo! Ndio MILA zetu hizo!
 
hahahaaaa, nawasiwasi na wewe mkuu huenda Ukawa ni HE.
huwezi ukawa na uthubutu wa kusema eti na nyie why mshindwe, umepata wapi ujasiri huu??
IT IS STRICTLY AND ABOMINATION FOR WOMEN KUDUMISHA MILA, over men dead bodies!!.
hahahahahaha!
x-pin naona huyu kijana afanyiwe utaratibu wa kesto akiwa nyumbani kabla hajafungiwa mlango KWA HUU MTIRIRIKO WA POINT ANAZOONGEA
 
hapo kwenye GUESTS hapooooooo!nguli na fidel80 WAMEWEKA KAMBI

sasa haya magwiji yanadaiwa hapa jf? au yameasirika na hili neno guest hi hi hii hii, samtaimu ukikumbukia vimbwenga vya gesti hauz na ukiingiia hapa kama gesti unapata rilifu kiidogo ,si unajua wajina. gesti jf na gesti hauzi.
 
Najua wanaume wengi wana kazi za nje(Nyumba ndogo na Videmu) ndo maana utakuta password za kumwaga kwenye simu au mtu anakuwa mkali kinoma na simu yake. Kwa nini niishi kwa tabu namna hiyo MJ1? na mke nilimpenda mwenyewe? kwa nini nimdanganye yule innocent wife? nikifikiria hapo kwa kweli nachanganyikiwa

Yaani hapo umemaliza kila kitu kaka

thank you Chimuguru for this super duper useful post
 
Najua wanaume wengi wana kazi za nje(Nyumba ndogo na Videmu) ndo maana utakuta password za kumwaga kwenye simu au mtu anakuwa mkali kinoma na simu yake. Kwa nini niishi kwa tabu namna hiyo MJ1? na mke nilimpenda mwenyewe? kwa nini nimdanganye yule innocent wife? nikifikiria hapo kwa kweli nachanganyikiwa

Dadadadadada! LOL! Kaangalie vizuri huenda bimkubwao keshatembelea Bagamoyo!
 
Back
Top Bottom