Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

sherberry

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
230
250
Heshima kwenu wakuu..
Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi.niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na ikawatendea kama vile walivotamani iwe.
Nawasilisha na natamani kujua kama ni kwel.
 

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
862
500
subuli wanakuja washirikina
Usiokoke kuliko Biblia
2 Kings 2:19-22King James Version (KJV)

19 And the men of the city said unto Elisha, Behold, I pray thee, the situation of this city is pleasant, as my lord seeth: but the water is naught, and the ground barren.

20 And he said, Bring me a new cruse, and put salt therein. And they brought it to him.

21 And he went forth unto the spring of the waters, and cast the salt in there, and said, Thus saith the Lord, I have healed these waters; there shall not be from thence any more death or barren land.

22 So the waters were healed unto this day, according to the saying of Elisha which he spake.
 

Licking Wounds

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
2,300
2,000
Heshima kwenu wakuu..
Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi.niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na ikawatendea kama vile walivotamani iwe.
Nawasilisha na natamani kujua kama ni kwel.
ungemuuliza usipojipanga huko huko insta,au ukajiunge na grupu lake la whatsapp.au kiingilio ni shida mkuu?
halafu we ni Ke? acha kuamini amini mambo kirahisi rahisi mama
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom