Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

Hongera kwa walioleta uzi wa Chumvi ya Mawe

stoneblock

Senior Member
Joined
Feb 28, 2023
Posts
126
Reaction score
386
Nimekuwa nikifanya biashara na udalali kwa shida sana hadi siku nimeanza kutumia chumvi ya mawe sisemi ni dawa ila imani huponya

CHUMVI imesaidia kunipa kipato cha 200k kwa week i

Imenisaidia duka langu naona hela sasa sio kama zamani

Imenisaidia kupunguza na kumaliza madeni korofi

Imenisaidia kufanya biashara na watu niliokuwa nimegombana nao kiasi cha kutosemeshana

Matumizi
Nunua chumvi ya mawe sokoni hata ya 500 tu, weka kijiko kimoja kwenye maji ya kuoga ogea asubuhi na jioni hadi utakapoona mambo yamekubali

Pia soma:
 
Ninavyoamini mimi kila mtu anazo era mbili,wakati wa kustawi sana na wakati wa kusinyaa so mleta mada upo kwenye wakati wako wa kuzishika sasa ni wewe na matumizi yako mtaamua uendelee kustawi au usinyae.

Hizo habari za chumvi sijui uchawi kwenye utafutaji wa hela siyo za kuziamini sana sometimes ni kupoteza muda na lengo.
 
Hakuna cha chumvi ya mawe wala nini hizo ni blaah blaah

Ungekuwa una akili kwa sasa ungefanya uchunguzi kuangalia ni nini kimeboresha biashara yako na kuongeza kipato chako ukomae humohumo na uboreshe zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio Tyr ss mwenzako kasha amini ktk chumi ya maweee kama ambao wameshaamini Kwa mtu mwamposaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maishà haya usipokuwa na msimamo wako mwenyee utapata tabu sana
 
Back
Top Bottom