Athari za Chumvi kwenye mwili wa Bindamu

Arnold Kalikawe

Senior Member
Sep 28, 2016
145
335
Chumvi, kwa Kimombo ikijulikana kama Table salt, kwa Kihaya Omwonyo, na kwa kisayansi sodium chloride ni muhimu kwa afya ya binadamu, lakini unapaswa kuitumia kwa kiasi sahihi. Matumizi mabaya ya chumvi yanaweza kusababisha magonjwa na athari mbaya kwa afya ya binadamu. Hapa kuna baadhi ya magonjwa na athari zinazohusiana na matumizi ya chumvi kupita kiasi:

1. Shinikizo la Damu (Hypertension): Chumvi nyingi inaweza kusababisha kuhifadhi maji mwilini na kuongeza kiasi cha damu, jambo ambalo linaweza kusababisha shinikizo la damu kuongezeka. Chumvi inapokuwa nyingi mwilini, basi mishipa ya damu ukazimika kurudisha maji kwenye mzunguko wa damu ili kupunguza chumvi iliyozidi (Solution), maji uanza kuvutwa kutoka kwenye maeneo ya wazi ndani ya nyama (Tissue) na kuyaingiza kwenye mishipa ya damu, jambo linalopelekea maji kusongamana kwenye mishipa ya Damu na pressure au msukumo wa damu kuongezeka ili kupunguza maji yaliyozidi (Ni sawa na magari yote majumbani yaingie barabara kuu, huo msongamano hata trafiki lazima achoke), pia chumvi husababisha mishipa ya damu kulakamaa na kupunguza mneso hivyo damu kushindwa kutembea vizuri kutokana na ukinzani kuwa mkubwa yani resistance na kupelekea pressure (Shinikizo) la kusukuma damu kuwa juu hili damu itembee. Shinikizo la damu lisiporekebishwa linaweza kusababisha magonjwa ya moyo, kiharusi (stroke), na matatizo mengine ya afya.

2. Magonjwa ya Moyo: Matumizi ya chumvi kupita kiasi yanaweza kusababisha kuongezeka kwa hatari ya magonjwa ya moyo, kama vile ugonjwa wa moyo wa ischemia na mashambulizi ya moyo. Mziki unaanzia kwenye pressure kubwa kubwa kama nilivyoelezea hapo juu, Mishipa ya damu ikirundikwa na maji kwa sababu ya chumvi nyingi, basi pressure uongezeka ili kuongeza mzunguko wa damu na kuondoa maji yaliyozidi, moyo ndio kama Injini, moyo ulazimika kuongeza kasi ya kupiga hili uchochee msukumo wa damu kutembea, sasa moyo ukifanya kazi sana kupita kiasi unaletewa, Yani ni sawa gari ya Kirikuu uibebeshe mzigo wa Fuso, lazima utafeli. Japo kiasili Misuli yamoyo uwa haichoki kizembe kwa kimombo tunasema "Never Fatigue or Tired" inafanya kazi ya kudunda tangu umezaliwa mpaka unakufa. Moyo pia una Mishipa midogo midogo ya damu inayoitwa Coronary artery kazi yake ni kuulisha moyo virutubisho hili uendelee kudunda, sasa endapo pressure na msongamano wa damu ukiwa mkubwa kwenye damu kama nilivyoelezea hapo juu kwenye shinikizo la damu, upelekea hata hizi mishipa midogo ya moyo nayo kuathiriwa na kutokupokea virutubisho vya kutosha hivyo moyo unashindwa kurishwa ipasavyo na kupelekea kuanza kufa polepole, au endapo mtu huyu atashituliwa basi moyo wake utapata mshituko, kwa sababu kitendo cha kushituliwa ulazimisha moyo kupiga haraka, na ukipiga haraka unakutana na Jamu na pia unakuwa haujapata virutubisho vya kutosha kwa sababu damu ya kutosha aingii kwenye Coronary artery ili kuulisha moyo uendelee kufanya kazi, watu wa magari ni watakuwa watanielewa pale ambapo Injini haipokei mafuta ya kutosha, lazima gari lizimike.

3. Magonjwa ya figo: Kula chumvi nyingi inaweza kusababisha shinikizo kubwa kwenye figo na kuathiri utendaji wao. Hii inaweza kusababisha magonjwa ya figo na matatizo mengine ya utendaji wa figo. Moja ya kazi ya figo ni kuondoa maji yaliyozidi kwenye mwili, maji unayokunywa yakushatumika Mwilini uondolewa na kuchujwa na figo, sasa Chumvi uwa ina madini ya Sodium na moja ya kazi ya Sodium ni kushikiria au kuyakumbatia maji, mfano ukichukua chumvi hapo jikoni ukiweka sehemu yenye unyevu unyevu, kesho yake utakuta chumvi imelowana, Yani sodium ina tabia ya kuyavuta maji. Sasa chumvi inapoingia mwilini na ikawa nyingi basi uwa ni kama inaanza kukinzana na figo, figo inataka kutoa maji mwilini, chumvi ambayo ni Sodium inang'ang'ania maji yabaki mwilini yasitolewe. Yani ni kama punda kazoea kutembea kwenda mbele wewe unataka apige reverse kama gari. Mwisho wa siku Figo inaanza kufeli kwa kushindwa kufanya kazi kwa ufasaha, pia chumvi ikiwa nyingi upelekea maji yabaki mwilini na Kibofu cha mkojo ushindwa kusafishwa vizuri kutokana na ukame wa maji yanayotakiwa kupita hapo, na kisipo safishwa vizuri upelekwe hile chumvi chumvi ndogo ndogo kwenye figo na kibofu kuanza kushikana na kuungana kutokana na hakuna maji ya kuyaondoa, na chumvi hizo ndogo zikianza kushikamana utengeneza mawe mawe madogo kwa kimombo uitwa (Kidney Stones), huu ni ugonjwa unaotokea kwenye figo ambapo kunakuwa na mawe yaliyoungana na kukakamaa kutokana na shida ya maji, ambayo yote yamerudi mwilini kupambana na chumvi iliyoko kwenye mishipa ya Damu. Pia shinikizo la damu, ambayo haitembei kwa ufasaha upelekea figo nayo kutokupokea Damu ya kutosha, hivyo uanza kufa kidogo kidogo kwa kukosa chakula cha kuzifanya ziendelee kufanya kazi. Ndio maana wagonjwa wengi wa pressure wengi wao pia ukumbwa na shida ya Figo kufeli.

4. Osteoporosis and ugonjwa wa joint (Gout): Matumizi ya chumvi kupita kiasi inaweza kuathiri usawa wa madini mwilini, kama calcium. Hii inaweza kusababisha upungufu wa calcium mwilini na kuongeza hatari ya osteoporosis (kupungua kwa uwiano wa madini ya mifupa). Calcium ni madini yanayotumika kuimarisha mifupa, na madini ya Calcium upatikana kwenye Vyakula mbalimbali kama Samaki, Dagaa, Mazima, Mayai na kadharika. Sasa chumvi ambayo ni Sodium ikiingia mwili ikawa nyingi uwa inatabia kuindoa calcium, Yani Sodium uwa haitaki ushindani na Calcium, hivyo inalazimisha calcium iondolewe mwilini (Excreted), kuondolewa kwa Calcium mwilini upelekea mifupa ambayo imeundwa na Calcium kuanza kuwa dhaifu na rahisi kuvunjika ambayo kitaalamu uitwa Osteoporosis, pia Sodium akiwa nyingi mwilini huongeza hali ya usadi kwenye damu, hivyo mwili ujaribu ku-neutralize au kwa kiswahili kusawazisha hali hiyo ya uasidi (acidity) kwa kutumia calcium iliyoko kwenye mifupa.

Ndipo hapo mifupa uwa dhaifu na rahisi kuvunjika. Pili chumvi upelekea taka mwili aina ya Uric acid kubwa nyingi kwa maana Figo uanza kuipa kipaumbele Chumvi (Sodium) kuitoa mwilini, na badala yake Uric acid uanza kususiwa, Uric acid ikisusiwa uanza kubwa nyingi mwilini na uenda kwenye Joint na kutengeneza mawe ambayo badae Joint uanza kupata shida.

Ni muhimu kuzingatia kuwa kila mtu anaweza kuathiriwa tofauti na chumvi, na viwango vya matumizi yanaweza kutofautiana kulingana na hali ya kiafya ya mtu binafsi. Kwa hiyo, ni muhimu kula chumvi kwa kiasi kinachopendekezwa na wataalamu wa afya (kawaida ni chini ya ujazo wa milligramu 2,300 siku kwa watu wazima au isizidi ujazo wa kijiko kimoja cha chai kwa siku) na kushauriana na daktari wako kuhusu lishe yako ikiwa una wasiwasi wowote kuhusu afya yako.

Jenga utaratibu wa kupima shinikizo la damu mara kwa mara (Pressure), kwa sababu pressure ni ugonjwa unaoua kimya kimya, unaitwa Silent Killer Disease, Dalili uanza kuonekana tayari Viungo vingi vikiwa tayari vishalemewa au kuanza kushindwa kufanya kazi, na wengine ufa gafla tu bila kujijua. Hivyo zingatia matumizi sahihi ya Chumvi kwa siku unatakiwa kula Milligramu 2,300 au kisizidi kijiko kimoja cha chai kwa siku.
 
MKuu hongera kwa bandiko zuri na elimu safi.

Naomba kujua je ni kiasi gani cha chumvi nikitumia ndio nahesabika nimetumia chumvi nyingi ?
 
emoji120.png
 
Chumvi ni nzuri kuliko sukari.... Matumizi ya chumvi yana faida nyingi sana tofauti na matumizi ya sukari pia chumvi iitwayo Celtic salt inatibu maradhi ikiwemo presha
 
Back
Top Bottom