Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

Labda kweli maana nilishaenda kusalimia sehemu ilipofika usiku bundi wakawa wanalia sana juu ya ile nyumba basi wenye mji wakatoa jiko nje wakaweka chumvi kwenye moto ikawa inalia kama baruti flan hv baada yapo ckusikia bundi mpk naondoka
Heee vitu vingine waweza kushangaa hadi basi..
 
Heshima kwenu wakuu..
Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi.niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na ikawatendea kama vile walivotamani iwe.
Nawasilisha na natamani kujua kama ni kwel.
Chumvi gani?!Au ile ya kuungia mbonga?
 
Back
Top Bottom