Matukio ya kukumbukwa

Hawa unawaonea tu. Ni bahati tu kuwa "celebrity" katika jamii lakini haimaanishi kuwa wana uwezo wa kuchanganua mambo. Naamini na najua, wengi wao ni mizigo vibaya sana "darini". Wametumika 2010, wametumika 2015 na watatumika tena 2020. Hawana akili, utashi na nguvu ya kukwepa asali za wanasiasa; wawe wa upinzani au chama tawala.
Ni kweli mkuu. ...hao wanaangaliaga maslahi tu
 
kelele za chura haz....
Zuii.......
images-768.jpeg
 
Bongo movie chalii sasa hivi..namba zinaesabika za kirumi kwao.
 
kiboko ya wananchi vipofu...........wapi kombaaaaaaaaaaaaaaa
 

Attachments

  • wataisoma namba.aac
    3.8 MB · Views: 15
Back
Top Bottom