Matukio ya kukumbukwa

tupa baada ya kutumia! ila hizi toilet paper ni za dizaini flani amaizing. unatumia unatupa ila baada ya muda ukihitaji unaenda unazichukua tena na hazibishi. unaosha ama huoshi, unatumia tena halafu unatupa tena. toilet paper moja inaweza kutumika na kutupwa zaidi ya mara mbili, na ukija mara ya tatu inakubali unatumia tena.
Haya ni matatizo!!
 
Recycling technology
 
Back
Top Bottom