Hawa unawaonea tu. Ni bahati tu kuwa "celebrity" katika jamii lakini haimaanishi kuwa wana uwezo wa kuchanganua mambo. Naamini na najua, wengi wao ni mizigo vibaya sana "darini". Wametumika 2010, wametumika 2015 na watatumika tena 2020. Hawana akili, utashi na nguvu ya kukwepa asali za wanasiasa; wawe wa upinzani au chama tawala.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.