Matukio Tisa yaliyomdhalilisha Rais Kikwete 2006-2010

Status
Not open for further replies.
topical nimekuzaa mwenyewe nakufahamu huna jipya,umeambiwa upige mswaki ndo uje kuonge,mswaki mwenyewe umemuazima nape alipokua anaenda kwenye kikao chenu mi sijakununulia mwingine kwani JK ajatoa mshahara,sasa sijui utarudi au ndi umenisikiliza babako umeenda kulala?
 
topical nimekuzaa mwenyewe nakufahamu huna jipya,umeambiwa upige mswaki ndo uje kuonge,mswaki mwenyewe umemuazima nape alipokua anaenda kwenye kikao chenu mi sijakununulia mwingine kwani JK ajatoa mshahara,sasa sijui utarudi au ndi umenisikiliza babako umeenda kulala?

Umeshinda mkuu haya nakupa mji nenda kilombera kamasidie mbunge na wananchi wanahitaji muda (time) na money
 
topical mwanangu umelala unaanza kuota mavitu gan tena?
Sasa ndo unaalibu si bora kabla hujalala,
kaa ukijua CCM hakuka punje na pumba zote ni Pumba tu,angalia Ngereja hata kinyesi cha mtu cha weza kua mbole kuliko huyu mbwiga.na si kuwa alikuwa vile toka kuzaliwa amekua vile kwaajili ya kuchezewa uwani

Ndio utashangaa baba yangu hayo makapi yakija kwenu munayapa manafasi hadi bac..subiri hiyo sinema

EL for chadema..presidency,
 
Ndio utashangaa baba yangu hayo makapi yakija kwenu munayapa manafasi hadi bac..subiri hiyo sinema

EL for chadema..presidency,

Kwani kiumbe cha hifadhi ya gombe kilitoka wapi vile? wahasira kwi kwi kwi!
 
7. Uzinduzi wa Hotel ya Snow Crest -Arusha
Hivi karibuni Rais alipozindua hotel ya kimataifa ya Snow Crest Arusha iliyojengwa ka gharama ya shilingi bilioni 10 lakini baadaye hotel hiyo ilivunjwa na wakala wa Barabara Tanzania(Tanroads) kwa kuwa ilikuwa imejengwa ndani ya eneo la barabara..Hii pia ni aibu kwa Rais.

Duh!

Kweli hapo hakuchanganya na za kwake,urais kweli kazi ngumu!
 
mhhhh??? msinambie raisi wangu anajitahidi kutoa ajira namna hii!!!, kwa ma first lady 4, wasaidizi wao wa nne, mashemeji, wakwe, wajomba, kwakweli ajira milioni 1 zitafika sasa hivi lol!



Ina maana anapambana na king mswati? nawezekana hata safari ya 1st lady kwa mswati ilikua k
upata mbinu na strategies kwenye kujenga familia kubwaaaaaaa!
 
Mambo yaliomdhalilisha Mh JK, raisi wetu, yako mengi mno, kuna wakati nawaza kama kweli serikali yetu ina tofauti na vikampuni vya kitapeli kama vya kina papa msoffe!
 
Mbona kuna mengi na mengine yamesemwa sana tuuu!!! halafu mbona hamyaweki ya kifisadi au kwa vile yalishaongelewa sana? mbona hamsemi la wizi wa kura ambapo Mch. mtikila alifichua kuwa JK amesaidia wizi wa kura vyama vingine vinavyotawala mfano Kenya?

Halafu mbona hamjataka aibu ya serikali yake kuwa kubwa na kuwa na tuhuma kibao mpaka baadhi ya mawaziri kupelekea kujiuzulu? au mmesahau ile ya Mwanza kupewa ulinzi wa kichawi hadi mtu mmoja akamvamia?

Na hili la majini ya shekh Yahya halimwaibishi?
Ngoja mi nisepe maana idadi iliyoko kichwani mwangu haina mwisho kwa mibu wangu mwenyewe na kwa sozi ya kumbukumbu yangu..
 
Hii nimeipenda..Thanks..Habari ndio hiyo jamaa alidanganywa laivu,ni kweli wanamfanya babu yao..Si ni rafikia zake walijua kuwa hawezi kuwafanya kitu.

Halaf hata baada ya kugundua hajawafanya lolote..... ndo ujue anayakubali
 
Topical kapimwe hilo fuvu kama ni zima. Hata Ruhazwe JR naye apimwe sanity yake maana yule Mnorway aliyeuwa wenzake 69 imethibitikia hana akili timamu. Nendeni Mirembe Hospital kwanza kisha mrudi jamvini. Naomba kuwasilisha
 
we mtoto wakati namchumbia mama yako ningejua kama tutazaa mtoto shoga kama wewe ninge ailisha kuoa,lakini ntafanyaje bwana tumeshakuzaa mama topical mtandikie topical alale maana kashaanza kunitukana baba yake mweee!
Bangi + gongo = ukichaa
 
Hapa ni wakati wa kampeni aliwaahidi wananchi wa mkoa wa Kigoma kua wakimpa kura zao ataugeuza huo mkoa na kua kama Dubai hili nalo ni pigo kubwa kwa wananchi waliokupa ridhaa ya kua madarakani mpaka leo bado wanasubiri!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom