Mkuu Regia,
Naomba nikupe ushauri ingawa ni juu yako kuufuata au kuushit!!!!!!!!!!! Sote tunajua ujumbe wa CDM kwa JK ulitimiza lengo kusudiwa na jukumu la kusaini au kutosaini mswaada ni la JK na chama chake na wala sio CDM tena manake wao wamenawa mikono kwa kufikisha yale wanayoyaamini kuhusu mswaada tata uliosainiwa leo. Ushauri wangu kwako ni kwamba sio lazima ujibu kila hoja humu jamvini hasa ukizingatia kuwa Nape alishatoa tangazo kuwa ametuma vijana JF kuharibu and therefore mostly they don't think what they are writing, they just write ili kuudhi na kukera bila hoja ya msingi kwa taifa letu. Kunyamaza ni busara kubwa sana katika mazingira ya namna hii