Matoleo ya baiskeli Tanganyika

Matoleo ya baiskeli Tanganyika

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,000
Reaction score
828,764
Zamani ilikuwa ni usafiri mpaka kwa viongozi kulingana na kaliba.. Na baiskeli ilikuwa usafiri wa kutumainiwa Sana

Matoleo maarufu ya enzi hizo yalikuwa
Rareigh

Phoenix.. Hizi walikuja kujenga kiwanda pale Mwenge.. Sass hivi kiwanda cha madawa
Haya matoleo zilikuwa baiskeli hasa kwa safari kwa leisure na kwa kazi pamoja na kubeba mizigo
Watendaji kwenye vijiji vya ujamaa nyakati hizo waligaiwa hizi baiskeli na walidumu nazo kwa miaka

Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa na yake pia akiitumia kwenye shughuli zake binafsi
Idd Amin Dada aliyekuwa rais wa Uganda naye alipendelea usafiri huo hasa alipokuwa akienda sokoni
Zilikuwa ni baiskeli ngumu na imara sana.. Kiasi kwamba ukikuta imepata ajali mpaka ringi kupinda hiyo ni ajali kubwa Sana..

Anyway nyakati zimepita na serikali iliachana na huo usafiri kwa watendaji wake wa chini vijijini mpaka 2025 ilipokuja na toleo jipya
1422905788583.jpg
images.jpg
 
Usafiri umelaanika 😁
Hapa kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S akiwa na kaka yake wa kambo Abbas ibn Ali wakitakiana kheri kabla ya kuelekea Karbala kuulinda na kuutetea uislamu ambapo imam wetu kipenzi mkombozi wa waislamu aliuwawa kikatili kuutetea uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu. Zuljanah kulia.

Screenshot_2025-07-12-11-16-19-82_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg


adriz Covax
 
Back
Top Bottom