Suprise
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 2,696
- 1,063
Thanks so much kwa kunipa ruhusa nifaidi mema ya nchi.
Sitamani kukukosa ingawa kwa sasa nimekubali kua mchepuko ila naamini sun ntakua njia kuu,
Thanks so much, love mingi,
Nakuahidi kutekeleza yale tuliyokubaliana ili nisikuharibie kwa kubwa la maadui,
Endelea kumfanya ajue yupo peke yake huku ukinipa kwa wakati wangu,
U r so clever baby , u know how to handle situation, u know how to deal with third party,
u r real gentleman,
U have all that I nid.
Ili wasishtuke mapema wakatudisturb acha na mimi ntafute njiakuu ya kuzugia bt we both know wea to mit,
I love you sana,
blind copy(BC) kwa wote coz hii kimyakimya