Matola, Oooohhhhh baby

Matola, Oooohhhhh baby

Nakupenda bure njia kuu, wasipojifunza hawajifunzi tena, hii ni kwa njiaa kuu wote na waige mfano

Kama ni hivi then haya malalamiko ya kuwa wanaume hatutulii ambayo yamekuwa wimbo mdomoni mwenu yanatoka wapi? Na tabia ya kuchunguza simu za Waume zenu sababu ya insecurity inatoka wapi? Kama mnajua kuwa sharing is caring then why complaining and expects us to be faithful?

Kweli nimeamini vitabu vya dini kuwa "tuishi na wanawake kwa akili",mpo complex na vigeugeu

Mnapenda wanaume wanao jitambua wakati nyie wenyewe wengi wenu hamjitambui
 
Kama ni hivi then haya malalamiko ya kuwa wanaume hatutulii ambayo yamekuwa wimbo mdomoni mwenu yanatoka wapi? Na tabia ya kuchunguza simu za Waume zenu sababu ya insecurity inatoka wapi? Kama mnajua kuwa sharing is caring then why complaining and expects us to be faithful?

Kweli nimeamini vitabu vya dini kuwa "tuishi na wanawake kwa akili",mpo complex na vigeugeu

Ukiamua kutuweka ndani unahitaji uwe na akili ya ziada kama ya baby Matola otherwise utaanzisha thread daily
 
Pesa kutafuta tuwe na akili za ziada,ofisini napo tunatakiwa tuwe na akili ya ziada, kulea watoto napo hivyohivyo na nyie pia kuishi na nyie tuwe na akili ya ziada!!! Mweeh! Embu mjiongeze kwa kweli mtusaidie,kah!
 
Hapo ndo unapokosea ukitumia akili kwa ma swithat wako huko kwengine kote mambo yatanyooka, try it utakuja kutoa ushuhuda hapa, acha kujibebesha mizigo man, hayo mengine yote mwanamke atakusaidia kwa kukuinsure utulivu wa nafsi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom