Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,099
- 127,834
Hivi kwanini huwa watu wanaponda Facebook,mbona kitu kile kile
Shangaa na wewe....what is the motive behind this shit?
Hivi kwanini huwa watu wanaponda Facebook,mbona kitu kile kile
Af ninyi watu msitufanye sisi humu watoto mkadhani labda we are interested to that extent.... Hii maana yake nini sasa? We mdada umetumwa? Tunapenda jukwaa lichangamke kweli lkn si kwa utoto huu. Matola kama kweli ur behind this haipendezi....ndio hayanihusu lkn I have to tell u this is Childish

Hahaaaaaa! Naona povu lakutoka nusura ya kukata roho! SASA MATOLA KAFANYAJE HAPA.? Kwa mbinu za KIVITA sikuwezi, kufunguka huwezi wabakia kutapa tapa, mie ndo nammiliki!
mmmmhh! Mwanawee! mbona unawaka??

kwani hili ni jukwaa la siasa?
Hahaaaa! Mbona hasira namna hio? Ni Matola tu ama? Si kwenye tittle kamtaja! Kama hupendi uliingia kufanya nini?malaya's at work....
Hahaaaa! Kuzidiwa kete mchezo!
Hahaaa kumbe mmeamua kuchangamsha genge? Na hii pia id yako? Hivi mtu anaweza kutoka from nowhere akaamua kuweka uzi kamu huu? Mnatuchezea eeh? Wacha tuendelee kutazama
Penzi kikohozi kulificha HAIWEZEKANI! Panic imekuisha unajikosha kosha! HAHAHAAAAA!Hahaaaa nimezidiwa wapi labda btw huu uzi kumbe upo chitchat...najuta kudandia gari kwa mbele ila sema bahati nzuri sijagongwa
Hahaaaa! Kuzidiwa kete mchezo!
Penzi kikohozi kulificha HAIWEZEKANI! Panic imekuisha unajikosha kosha! HAHAHAAAAA!
Hahaaaaaaaa! NAKURUHUSU MUULIZE MODES YEYOTE KAMA HII ID YANGU AKISEMA. NDIO NAJIUZULU RASMI JF!
MBONA MNA HASIRA KIASI HIKO? Suprise kaamua kutoa yake ya moyoni kwani DHAMBI? Embu msilete double standards humu! Mtu yeyote anapost chechote!
MY BABY NI MWANAUME WA HAJAAAA! WATU KIBAO WANAMTOLEA MACHO SIHITAJI ANOTHER ID!
CC Paw, Roulette, meezy na moderator yeyote yule aichunguze hio IP IDRESS!
Si umeuliza "NA HII PIA ID YANGU?" Ndo nimekujibu SIO KWA KUJIAMINI KABISAA!Iwe yako isiwe yako ni wewe tu mama kwani bando nakupa mimi hadi nianze kukufuatilia una id ngapi??
Umeonaaaaaaaaaa! Sema wewe nikisema mimi nina ID MBILI!hahahahahaha!! Wakakutangazeeee!! wakuache ujilie vyako!!