Matokeo ya V yametoka sasa......

Matokeo ya V yametoka sasa......

Pacha wako Excel hajui hata valentine alikuwa na nani na bado unajiita mwema na pacha wako
Bora mimi na mke wangu Dena Amsi tuko salama kabisa na hata nikiambiwa hayo wala sishtuki maana najua ni matunda ya ndoa

kuna list umeiita sasa sijamuona member wangu hata mmoja wote wako team yenu i dought
 
Last edited by a moderator:
namsubiri baada ya miezi hiyo.. 9! sina jinsi aisee!! ntalea wanangu woooote niliowatafuta kwa siku moja kulaleki!

ha ha ha ha u made my day take five bi mkubwa atalea watoto kama darasa wengine atampa pacha wako wory out
 
ha ha ha ha u made my day take five bi mkubwa atalea watoto kama darasa wengine atampa pacha wako wory out

ahsante.. kama na wewe unahisi hisi ulipita na mimi, usiogope kuniambia!!

hebu jiangalie kitumbo hicho mamii! nakupa dk 5! nasubiri!
 
kabanga hao ndo wanaojiita team rafiki,rafiki wao hadi kwenye pichu ,yaani hawa watu wamejivika roho ya kondoo lakini nafsi zao ni za kibazazi(wamejivua gamba lakini sumu bado wanayo mwilini)
 
Last edited by a moderator:
anahasi kwa speed ya ajabu

sasa naanza kuasi mdogo mdogo qudadeki! kuna sister mmoja kila anaponiona yeye ni kidole!

bazazi yuleeeeeee!!! sijui nimemlia nini?

au anadhani bazazi ni jina mtu eenh!?
 
teh teh
matendo....tazama mateendoo,utamtambua bazazi
sasa naanza kuasi mdogo mdogo qudadeki! kuna sister mmoja kila anaponiona yeye ni kidole!

bazazi yuleeeeeee!!! sijui nimemlia nini?

au anadhani bazazi ni jina mtu eenh!?
 
sasa naanza kuasi mdogo mdogo qudadeki! kuna sister mmoja kila anaponiona yeye ni kidole!

bazazi yuleeeeeee!!! sijui nimemlia nini?

au anadhani bazazi ni jina mtu eenh!?
hemb m PM lakini asipaone shemeji hapa
 
Back
Top Bottom