Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Kilichobaki ni kutangazwa rasmi na msimamizi wa uchaguzi.

Matokeo:
Kituo cha shule ya msingi daraja mbili:-
Kituo C3:
CHADEMA - 60
CCM - 57

KITUO C2:
CHADEMA - 73
CCM - 39

KITUO C1:
CHADEMA - 91
CCM - 41

KITUO B3:
CHADEMA - 52
CCM - 47

KITUO B2:
CHADEMA - 61
CCM - 41

KITUO B1:
CHADEMA - 71
CCM - 42

KITUO A4:
CHADEMA 50
CCM - 40

KITUO A3:
CHADEMA - 45
CCM - 24

KITUO A2:
CHADEMA -51
CCM - 31

KITUO A1:
CHADEMA - 65
CCM - 28

KITUO E3:
CHADEMA - 74
CCM - 44

KITUO E2:
CHADEMA 65
CCM - 41

KITUO E1:
CHADEMA - 70
CCM - 42

KITUO D4:
CHADEMA - 59
CCM - 37

KITUO D3:
CHADEMA - 68
CCM - 41

KITUO D2:
CHADEMA - 63
CCM - 30
Nitaendelea kuwajuza
 
CHadema wanashangilia ushindi wa nafac mbili tena kutoka kwao kazikazini aka uchagani. CCM- Halisi na mupya itakuja kukomboa hizo kata na kuwaelimisha vya kutosha Watu wa kazikazini juu ya matapeli ya chadema
 
vp mapinduzi unayoyaandaa na vigamba vidogo yamekuchachia nini bwana ndugu
 
CHadema wanashangilia ushindi wa nafac mbili tena kutoka kwao kazikazini aka uchagani. CCM- Halisi na mupya itakuja kukomboa hizo kata na kuwaelimisha vya kutosha Watu wa kazikazini juu ya matapeli ya chadema

kajibu hoja kwenye ile thread yenu ya uvccm
 
CHadema wanashangilia ushindi wa nafac mbili tena kutoka kwao kazikazini aka uchagani. CCM- Halisi na mupya itakuja kukomboa hizo kata na kuwaelimisha vya kutosha Watu wa kazikazini juu ya matapeli ya chadema
Nape aka mzee wa bapoda kuna chaguzi za kata 4 zina kuja Arusha uje..Arusha wanajitambua, unataukana watu wa kazikazini halafu unasema utakuja kwaelewesha kuhusu nini au juu ya uwizi na ufisadi wa chama chako
 
Kata ya Mpapa mbozi,CCM inaongoza,mpaka sasa Ccm 547,cdm 296,vituo vilivyobaki haviwezi kubadiri matokeo!
 
Jamani ni vema tukapata matokeo ya sehemu nyingine ndiyo tusherkee ushindi au la kwani hili la Daraja 2 na Rombo hata haihitaji akili nyingi kujua CDM itashinda.
 
CHadema wanashangilia ushindi wa nafac mbili tena kutoka kwao kazikazini aka uchagani. CCM- Halisi na mupya itakuja kukomboa hizo kata na kuwaelimisha vya kutosha Watu wa kazikazini juu ya matapeli ya chadema

Bado mnatandikana makofi??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom