Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Kati ya vituo 24 ambavyo vimeshatoa matokeo hadi sasa, CHADEMA imeongoza kwenye vituo 20, CCM 4

Uwiano wa Kura:
ccm 800
CHADEMA 1,300
Tunasubiri matokeo ya vituo 6 tu kukamilisha kazi. CCM wameongoza kwenye vituo vikubwa ndiyo maana hatujaachana kwa kura nyingi sana,
 
chadema yanukia kutoboa bangata.....cdm ikiongozwa na kamanda dogo janja...
 
Mambo ni mazuri sana jamani.Mungu wa haki ametupigania.
 
Mpaka sasa daraja mbili Arusha mjini CHADEMA Inaongoza kwa kura 1747 ccm kura 775 katika vituo 30 kati ya 39 ambavyo ni tayari yamebandikwa

kifo cha ccm si mbali sana.Wataua na watateka watu lakini majira haya hayawezi kupita bila ukombozi wa kweli
 
Uwiano wa Kura:
ccm 800
CHADEMA 1,300
Tunasubiri matokeo ya vituo 6 tu kukamilisha kazi. CCM wameongoza kwenye vituo vikubwa ndiyo maana hatujaachana kwa kura nyingi sana,
Kwisha habari yao lindeni kura za wana rombo...
 
Daraja mbili matokeo yote ni 1980 Cdm na 763 ccm. Chadema tumeshinda tunasubiri kutangazwa. Source Henry Kileo. Katibu cdm Kinondoni.

Hivi hiki chama cha ccm kina mwenyekiti hiki..mbona ni Kama kinakufa
 
uwiano wa kura:
Ccm 800
chadema 1,300
tunasubiri matokeo ya vituo 6 tu kukamilisha kazi. Ccm wameongoza kwenye vituo vikubwa ndiyo maana hatujaachana kwa kura nyingi sana,

asante sana tunasubiria kwa hamu matokeo ya mwisho!
 
Back
Top Bottom