Bukutonaga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 246
- 46
Kwa uwiano wa kura ni huu hadi sasa:
CCM 400
CHADEMA 767
Big Up Deus F Mallya kwa updates tupo pamoja kamanda endelea kutupatia updates
Kwa uwiano wa kura ni huu hadi sasa:
CCM 400
CHADEMA 767
wapi tuje kulinda kura zetu?
Thanx makamanda kwa data. I wish iwe kwa kata zote 29.
Naona unajifurahisha.....
Daraja mbili bado vituo 9 kati ya 39 na chadema inaongoza kwa zaidi ya nusu ya kura alizopata CCM...hivyo kata hiyo sasa iko chini ya chadema.................peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
magamba yanapata moto sasa labda wataambulia kata ya kule bagamoyo!Daraja mbili bado vituo 9 kati ya 39 na chadema inaongoza kwa zaidi ya nusu ya kura alizopata CCM...hivyo kata hiyo sasa iko chini ya chadema.................peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss
Hiyo ndiyo Arusha...Daraja mbili matokeo yote ni 1980 Cdm na 763 ccm. Chadema tumeshinda tunasubiri kutangazwa. Source Henry Kileo. Katibu cdm Kinondoni.
matokeo ya wapi hayo? inaonekana watu wa hapo bado hawajaelimika bado ni vilaza...eeehchumba B ccm 223, CDM 81, CUF 76. nasubiri vituo vingine nitawatupia faster.
matokeo ya wapi hayo? inaonekana watu wa hapo bado hawajaelimika bado ni vilaza...eeeh
Ikiwa imetimia saa 10 na dakika chache ni wakati muafaka wa kupokea matokeo mbalimbali ya uchaguzi kutoka ktk kata 29. Huku zoezi la uhesabuji kura likiendelea tunatarajia kupokea matokeo kutoka kwa makamanda wetu waliotapakaa maeneo mbali mbali ya nchi hususani ktk katika kata zenye uchaguzi leo. Karibuni wanajamvi mtupe ma tokeo.
Hiyo ndiyo Arusha...
bwagamoyo napo mambo yamechacha, hali si nzurimagamba yanapata moto sasa labda wataambulia kata ya kule bagamoyo!