Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

Asante sana mkuu CCM watafanya kila hila lakini NGUVU YA UMMA ni lazima ishinde tu
 
Mbona kama hali si shwari sana kwa chadema, mpaka sasa ukiacha daraja 2 na Rombo kwingine kote matokeo yanakatisha tamaa, anyway ngoja tuendelee kusubiri
Ni matokeo ya CCM Halisi kujikita ngazi ya matawi na mashina tukiong'oa na Mafisadi wa Juu Chadema matabaki na kazikazini kwenu tupo pamoko kati ya viti 29 - Chadem u viti viwili ni ishara tosha ya 2015
 
We kwani ccm unayo taka kuianzisha baada ya kukerwa na kitendo cha kunyimwa mgao wa rushwa si ni ya Dares-salaam tu!

nini hasa wapenzi wa cdm wamikoa isiyo kuwa ya kazikazin wamezidiwa na wachaga wa kazikazini kawani wanashangilia ushindi wa kata mbili za kazikazini wakati chaguzi zimefanyika nchi nzima
 
nini hasa wapenzi wa cdm wamikoa isiyo kuwa ya kazikazin wamezidiwa na wachaga wa kazikazini kawani wanashangilia ushindi wa kata mbili za kazikazini wakati chaguzi zimefanyika nchi nzima

si bure, umetumwa wewe tena kwa ujira uleule wa kofia, tisheti na skafu ya kijani iliyoandikwa nyinyiemi!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tusikate tamaa. Hizi ndio gharama za demokrasia na ukombozi pia. Tujipange zaidi.
 
Its too sad but we stil hav another tym 2015,pia CDM 2meonyesha mabadiliko Dodoma.
 
maeneo mengine kama pwani kwakweli...ni aibu coz hawajaelimika...masikini wa kutupwa.. na bado wanachagua CHANZO CHA MATATIZO (CCM) naonea huruma daaa

Hao hao ndo wanalia kila siku umaskini wao umeletwa na mfumo kristo ambao uko chini ya ccm.Ni aibu kwao na wanyamaze wasilie tena maana wanazidi kuikumbatia ccm
 
Kaka mbona hizi ni kejeli kama si matusi,umaskini wao ni kwa sababu wamefanya kitu ambacho hupendi wewe na nafsi yako,ama umaskini wao ni nini,tukifika hapa ndipo mimi huwa napingana na wewe,ni lazima uheshimu pia mawazo na maamuzi ya wengine hata kama huepndi cha msingi ni kuendeleza mapambano ili nao waelewe lakini si matusi ya namna hii.

Mkuu Hakuna Kejeli Hapo Maeneo ambayo CCM inashindaga ni maeneo ambayo CCM iliwafanya watu hao kuwa Maskini and thay capitalizing it
 
Ukombozi wa ukweli wa Mtanzania utaletwa na Majemedari kutoka CCM - Halisi na sio Chadema tuungane pamoja katika harakati mupya za ukuombozi wa Taifa letu kutoka mikononi mwa Mafisadi wa CCM na Matapeli/wezi Chadema

we wa wapi? unataka mume?
 
uvccm_wakipigana.jpg


Hivi Mr Emmy nyinyiemi halisi ni hiyo inayopigwa au inayopokea kichapo kutoka kwa mafisadi watoto?
 
Back
Top Bottom