Matokeo ya Uchaguzi Uzini - Raza (CCM) aibuka kidedea!

Chadema msiwe na wasiwasi Jimbo la kwenu mnaongoza!
 
habari ndo hiyo. matokeo yashatangazwa. hongereni chadema kwa kuwakanyaga kichwani cuf. ova
 
Matokeo tayari yametangazwa wakuu, Mgombea wa CHADEMA hajakubali matokeo mbele ya tume. Nasikia wa CUF naye pia ameyagomea matokeo hayo yaliyompatia ushindi wa tatu, nyuma ya CHADEMA na CCM.
Duuh! pole yetu!....any way hatuna budi kukubali matokeo hata kama yanaumiza sana.
Kamanda,Tumaini Makene....hebu tupe hidadi ya kura walizopata hao wagombea kwa kira mmoja wao.
Tuone tofauti ya mapishano
 
Matokeo tayari yametangazwa wakuu, Mgombea wa CHADEMA hajakubali matokeo mbele ya tume. Nasikia wa CUF naye pia ameyagomea matokeo hayo yaliyompatia ushindi wa tatu, nyuma ya CHADEMA na CCM.

mkuu tunaomba majumuisho ya kura kwa kila mgombea
 
Acha propaganda zako hizo kura zimepigwa kwa kutumia computer au?
 
Matokeo tayari yametangazwa wakuu, Mgombea wa CHADEMA hajakubali matokeo mbele ya tume. Nasikia wa CUF naye pia ameyagomea matokeo hayo yaliyompatia ushindi wa tatu, nyuma ya CHADEMA na CCM.
Kamanda tunaomba idadi ya kura kwetu watu wa research data ni muhimu sana kuliko nani amekuwa wa kwanza.
 
mpaka saa moja hii hamna data kamili angalau hata kituo kimoja!!!!!!
 
Chadema msiwe na wasiwasi Jimbo la kwenu mnaongoza!
Wanaongoza uzini. Jina la hili jimbo lina ukakasi kama Jimbo moja huko Kenya ambalo linawakilishwa na Waziri wa Sheria wa Kenya Bwn. Mtula Kilonzo
 
Matokeo tayari yametangazwa wakuu, Mgombea wa CHADEMA hajakubali matokeo mbele ya tume. Nasikia wa CUF naye pia ameyagomea matokeo hayo yaliyompatia ushindi wa tatu, nyuma ya CHADEMA na CCM.

Ni habari nzuri lakini siyo nzuri sana. Hebu lete idadi ya kura nipate picha halisi ya nini CDM imefanya katika siasa ya Zanzibar.
 
cdm imeshika namba 2?????
Kama ni kweli Cuf mjichek!! Ikifika 2015 mtakua hamna lenu!!!!
 
Back
Top Bottom