Losambo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 2,611
- 868
habari ndo hiyo. matokeo yashatangazwa. hongereni chadema kwa kuwakanyaga kichwani cuf. ova
Tumaini Makene ame conform kuhusu hili la CDM kushika namba mbili saizi issue ni kwa kura ngapi CCM imeshinda dhidi ya CDM.