Msimamizi kamtangaza Mohamedraza Hassanal Mohamedali wa CCM kuwa mshindi kwa kura 5,377 (91.1%) akifuatiwa na Maalim Ali Mbarouk Mshimba wa CHADEMA, kwa kura 281 (4.8), wa CUF anafuatia akiwa na kura 223 (3.8), kisha TADEA kwa kura 14 (0.2%)na AFP kura 8. Jumla ya kura halali zilizopigwa ni 5,903 na zilizoharibika ni 28.
It is just a matter of time...time 'll tell, dont be conclusive with no any inference...let the playing ground be leveled...ok
Msimamizi kamtangaza Mohamedraza Hassanal Mohamedali wa CCM kuwa mshindi kwa kura 5,377 (91.1%) akifuatiwa na Maalim Ali Mbarouk Mshimba wa CHADEMA, kwa kura 281 (4.8), wa CUF anafuatia akiwa na kura 223 (3.8), kisha TADEA kwa kura 14 (0.2%)na AFP kura 8. Jumla ya kura halali zilizopigwa ni 5,903 na zilizoharibika ni 28.
Msimamizi kamtangaza Mohamedraza Hassanal Mohamedali wa CCM kuwa mshindi kwa kura 5,377 (91.1%) akifuatiwa na Maalim Ali Mbarouk Mshimba wa CHADEMA, kwa kura 281 (4.8), wa CUF anafuatia akiwa na kura 223 (3.8), kisha TADEA kwa kura 14 (0.2%)na AFP kura 8. Jumla ya kura halali zilizopigwa ni 5,903 na zilizoharibika ni 28.
Gerald,
Hivi kweli ulikuwa unaamini Chadema watashinda Zanzibar?
CCm wamechukua jimbo lakini CUF imepoteza nafasi ya pili