Matokeo ya Uchaguzi Uzini - Raza (CCM) aibuka kidedea!

Matokeo ya Uchaguzi Uzini - Raza (CCM) aibuka kidedea!

acheni uwongo .kwa sababu hii jamiiforums ni ya chadema usifie tu .chadema nafasi yake ni ya 3 huku zanzibar acheni kuzua humu ndani ,huku ni cuf au ccm
 
Asante kwa taarifa, kuna uzi mmoja huko nyuma umetupa matokeo yasiyo ya kweli,tumeishia kulumbana tu. Tunasubiri matokeo halisi mkuu.

Itafanyika hivyo mkuu, kwa maslahi ya Watanzania. Katika nyakati kama hizi, mambo hayo hutokea! But the vacuum has been filled now kamanda
 
munaona sasaaaa! CHADEMA nyinyi wageni sana wa Siasa za Zanzibar. Uhakika CCM wanachukua jimbo CUF no.2, CHADEMA wanaambulia namba 3! Kwishney.
 
Tumaini Makene shukrani mkuu'tunasubiri matokeo kwa shauku kubwa'hata kama chadema itashindwa wameshatoa elimu ya kutosha'Mungu yupo nasi!
 
CUF au CCM
Acha udini Mkuu. Lazima kuna Mtu unamlamba Miguu wewe siyo bure
acheni uwongo .kwa sababu hii jamiiforums ni ya chadema usifie tu .chadema nafasi yake ni ya 3 huku zanzibar acheni kuzua humu ndani ,huku ni cuf au ccm
 
Daudi Ismail Isma Uzini kituo cha kiboje school chadema
kura 15 ,cuf kura kumi na mbili ,ccm
kura 194.shangilia ushindi unakuja
shangalia shangilia unakuja.

Yaani unawaabisha sana wapemba wenzako sana wewe kutokana na jinsi ulivyo hovyo.
 
Tumaini Makene shukrani mkuu'tunasubiri matokeo kwa shauku kubwa'hata kama chadema itashindwa wameshatoa elimu ya kutosha'Mungu yupo nasi!

Kama kawaida yako, unajikita kwenye hoja. Asante kaka. I salute you. Watanzania wengi wanasubiri kwa hamu...ofcourse wanasubiri kusikia kuhusu CHADEMA, hii inadhihirisha ukweli kuwa CHADEMA ni tumaini jipya la watu, hawawezi kukanusha hiki kitu, wanajua!
 
hakuna sheria ya kuanza kuhesabu kura saa 10. kinachofanyika ni endapo wapiga kura waliokatika daftari katika kituo husika wote wameshapiga kura automatically kituo kinafungwa na uhesabiwaji wa kura unaanza. Mnasubiri mpaka saa kumi endapo bado watu ktk daftari hawajapiga kura na wala hawajafika. ukumbukwe kuwa saa kumi ni muda wa mwisho watu kupiga kura siyo kuanza kuhesabu kura. ova

Ndiyo tunataka jibu kama hili atoe mleta thread...
 
munaona sasaaaa! CHADEMA nyinyi wageni sana wa Siasa za Zanzibar. Uhakika CCM wanachukua jimbo CUF no.2, CHADEMA wanaambulia namba 3! Kwishney.

Daaah hata kama ni ushabiki huu umepiliza, yaani mpaka unatia kinyaa. Hakuna anayekataa CCM kushinda kwa kuwa ilikuwa katika uwanja wa mapigano lakini ishinde kwa halali na siyo mizengwe kama mlivyokuwa mnachakachua kila uchaguzi wa rais Zenj.
 
Hiyo ni namba ngapi vile?
Kumbe wapemba wote mna fanana na MS eh.

mkuu mimi nimeichukua maelezo katika facebook kama yalivyo kwa kucopy na kupaste hapa! Sasa kama kuna makosa katika maelezo si kosa langu, si umeona jina la aliyeandika yale maelezo (Daudi Ismail Isma). Lakini naamini muda huu yupo uzini kwani ni kada wa CCM, na riport hile usiwe na mashaka nayo. Hukuwa na haja ya kupandwa na presha lakini tatizo lako hujui tu!
 
Kama ningekuwa Mzanzibari,ni bora kura yangu kuitupia CUF mara mia kuliko CCM!
 
Back
Top Bottom