Matokeo ya Uchaguzi Uzini - Raza (CCM) aibuka kidedea!

Matokeo ya Uchaguzi Uzini - Raza (CCM) aibuka kidedea!

munaona sasaaaa! CHADEMA nyinyi wageni sana wa Siasa za Zanzibar. Uhakika CCM wanachukua jimbo CUF no.2, CHADEMA wanaambulia namba 3! Kwishney.

Vipi unayakumbuka matokeo ya ubunge Jimbo la Uzini, uchaguzi mkuu 2010? Mgombea ubunge wa CHADEMA ambaye ndiye anayegombea uwakilishi katika uchaguzi huu mdogo, alikuwa wa pili nyuma ya Seif Khatib. Siasa za Uzini, CUF hawana lao. Wanafuata nyuma. Hata wao wanajua hilo. Zungumza nao faragha, watakiri hivyo. Kinachowasumbua katika uchaguzi huu ni wao kushika namba ya tatu, nyuma ya CHADEMA, baada ya kutoka kufanyiwa hivyo hivyo huko Igunga. Tofauti ya sasa na 2010, ni kwamba kwa muda huu kila mtu anafuatilia na itapata coverage kubwa, maana ni specific issue. Itawaumiza big time CUF. Hasa wakiona CHADEMA inachukua jimbo hilo na kuanza ku- gain mashiko katika siasa za Zanzibar. As we said it, this is the right entry point...
 
Sifa kuu ya JF ni ukweli usio na ubishi na wanachama wake ambao ni ma great thinkers kuja na ukweli na kuitofautisha JF na blogu za Michuzi , FB, Nipashe , Mjengwa , Majira , Uhuru , Habaru leo nk.Ukianza kuja na mawazo kama ya Pinda na Nape hakika mimi nitaomba ufungiwe.Iacheni JF iwe na sifa zake please .

Point noted....

Salute...!
 
Daudi Ismail Isma Uzini kituo cha kiboje school chadema
kura 15 ,cuf kura kumi na mbili ,ccm
kura 194.shangilia ushindi unakuja
shangalia shangilia unakuja.

Naona wakati unaandika ulikuwa unaimba wimbo wa CCM, ukajikuta unaweka tu maandishi kwenye kompyuta, ambayo hayaeleweki, kisha ukamalizia na kibwagizo cha wimbo huo wa CCM kama unavyoonekana hapo kwenye mstari wa mwisho. Naona mlimwondoa tu Tambwe Hizza, lakini zile kazi zake bado kuna watu wanazifanya, tehe tehe tehe. Mrudisheni basi!
 
Mkuu, ahsante kwa taharifa hizi! Binafsi nilikuwa nasubiria sana taharifa toka kwako wewe wa jikoni.
Lakini kwa taharifa hizi....kweli naanza kuamini kuwatoa ccm madarakani itatuchukua miaka kwa miaka.
Yaani hawa jamaa wanatumia Dola na Propaganda kutawala watanzania.
Naona yale yaliyotokea IGUNGA yanatokea tena UZINI....ama kweli CCM ni mafia
 
Itafanyika hivyo mkuu, kwa maslahi ya Watanzania. Katika nyakati kama hizi, mambo hayo hutokea! But the vacuum has been filled now kamanda

Shukran TM, huu ndio uzi halisi niliokuwa nausubiria, ulinitia wasiwasi ulipotuachia vaccum Kamanda. Sisi tupo tayari kwa matokeo yoyote yatakayotolewa ili mradi haki na chaguo la wanauzini liheshimiwe. Keep us posted Mkuu
 
Mwenye data atudondoshee hapa jamvini, wakati huo huo akiacha ushabiki wa vyama vya siasa pembeni.
 
Hivi watu naposema Udini ni mkubwa sana Tanzania mnafikiri nafanya mzaha eeeeh!
Chadema hawawezi kushinda Zanzibar tena Pemba ndio kabisaa... maana hatukuwahi kujiandaa kabisa kupambana na chuki hizi kwa imani kwamba zitakwisha tu...Uongo ukisemwa sana hubadilika kuwa ukweli na sii rahisi watu kubadilishwa kwa hotuba within one week..
 
Naona wakati unaandika ulikuwa unaimba wimbo wa CCM, ukajikuta unaweka tu maandishi kwenye kompyuta, ambayo hayaeleweki, kisha ukamalizia na kibwagizo cha wimbo huo wa CCM kama unavyoonekana hapo kwenye mstari wa mwisho. Naona mlimwondoa tu Tambwe Hizza, lakini zile kazi zake bado kuna watu wanazifanya, tehe tehe tehe. Mrudisheni basi!

Mkuu kama maelezo hukuyafahamu ulikua uombe muongozo! Yale maelezo nimeyacopy fb na kupaste hapa na aliyeyaweka umeona jina lake, muda huu yupo uzini na ni wakala wa CCM. Nimeweka taarifa kwa faida ya wanaukumbi, hulazimishwi kuyaamini.
 
Habari ndiyo hiyo,CHADEMA inaongoza shehia kibao.Stay tuned nitawamwagia full data muda si mrefu.

Mtani saa 7 mchana unatangaza mnaongoza wakati kura bado zinapigwa? halafu matokeo yakija mmeshindwa utasema mmechakachuliwa!
 
Daudi Ismail Isma Uzini kituo cha kiboje school chadema
kura 15 ,cuf kura kumi na mbili ,ccm
kura 194.shangilia ushindi unakuja
shangalia shangilia unakuja.

upumbavu tu,shangilia wewe mwenye maradhi,ujinga na umasikini,halafu nakuchukia wewe kwa maneno yako ya ukanda mara mpemba,ukaskazini,haya sema sasa kwangu naittwaje huku bumbuli.USHINDI WENU MUMENUNUA WAPIGA KURA WANGAPI?MUNGU ANAJUA!
 
mwisho wao utakuja tu hata gadafi hakuamini ipo siku angejificha kwenye mtaro na kuuawa baada ya kudhalilishwa
 
Mkuu Tumaini, makamanda gani wa CDM wako huko? i mean wale Top Rank kama Dr Slaa,Prof Safari nk.
 
Mkuu, ahsante kwa taharifa hizi! Binafsi nilikuwa nasubiria sana taharifa toka kwako wewe wa jikoni.
Lakini kwa taharifa hizi....kweli naanza kuamini kuwatoa ccm madarakani itatuchukua miaka kwa miaka.
Yaani hawa jamaa wanatumia Dola na Propaganda kutawala watanzania. Naona yale yaliyotokea IGUNGA yanatokea tena UZINI....ama kweli CCM ni mafia

Kamanda usiogope. Uoga wa Watz umekuwa moja ya silaha kubwa lakini nyepesi sana ya watawala wetu. Nao wametambau hilo. Siku wakijua kuwa Watz wameacha kuogopa. siku wakitambua kuwa Watz have nothing to fear, but fear itself, utaona watakavyorudi nyuma. Huna haja ya kuvuka mipaka kwenda kutafuta mifano. Hivi wakoloni weupe wale, walitutawala kwa miaka mingapi kweli? Hopefully unajua vzr, eeeh, TANU wakaweza kuwaondoa baada ya miaka mingapi?

Kamanda huu si wakati wa kurudi nyuma, wala kuogelea kwenye propaganda zao, ambazo zinawaaminisha watu kuwa itachukua muda mrefu sana kwa CCM kuondolewa madarakani. Tumeshafikia ama tunakimbilia kwa kasi sana, critical point ya hii struggle. CCM ni wepesi sana wakiwekewa mguu chini. Kwa kusema hivyo simaanishi kuwa kazi nyepesi, but crucially what we just need ni watu with strong belief to the course, kwa ajili ya watu, kwa ajili ya Watanzania. Basi. Miongoni mwao unapaswa kuwa wewe mkuu.

Watu wanaoamini kuwa yanayoendelea kuwakwaza Watz na kuwakosesha fursa za kujiendeleza na kufikia ustawi wa maisha yao yanatokana na (mfumo) utawala mbovu, chini ya CCM.
 
upumbavu tu,shangilia wewe mwenye maradhi,ujinga na umasikini,halafu nakuchukia wewe kwa maneno yako ya ukanda mara mpemba,ukaskazini,haya sema sasa kwangu naittwaje huku bumbuli.USHINDI WENU MUMENUNUA WAPIGA KURA WANGAPI?MUNGU ANAJUA!

Fair play mwana, siasa ni game unatakiwa uwe mstahamilivu. Mimi mwenye ni CUF na nimegaragazwa vibaya sana lakini siwezi kuleta maneno ya laana.
 
Back
Top Bottom