Matokeo ya Uchaguzi Uzini - Raza (CCM) aibuka kidedea!

Matokeo ya Uchaguzi Uzini - Raza (CCM) aibuka kidedea!

Mkuu Tumaini, makamanda gani wa CDM wako huko? i mean wale Top Rank kama Dr Slaa,Prof Safari nk.

Kamanda Mshikachuma wala hata usiogope juu ya uangalizi wa kinachotokea Uzini. Hakuna kitu kinapuuza CHADEMA. Hivyo attention inayopewa Uzini mpaka sasa mpaka mwisho ni kubwa mno. Kwanza eneo la filed kuna very high (top) raking people (si vyema kusema kila kitu kamanda, c wajua eeh), wenye uzoefu mkubwa sana na masuala haya. Ndiyo maana hata hao mamluki wamebainika. Viongozi wetu waandamizi, watendaji, kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini, wanaoamini katika "hakuna kulala mpaka kieleweke", hawawezi kulala mpaka 'kimeeleweka' Uzini. Tuwe pamoja.
 
Kamanda Mshikachuma wala hata usiogope juu ya uangalizi wa kinachotokea Uzini. Hakuna kitu kinapuuza CHADEMA. Hivyo attention inayopewa Uzini mpaka sasa mpaka mwisho ni kubwa mno. Kwanza eneo la filed kuna very high raking people (si vyema kusema kila kitu kamanda, c wajua eeh), wenye uzoefu mkubwa sana na masuala haya. Ndiyo maana hata hao mamluki wamebainika. Viongozi wetu waandamizi, watendaji, kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini, wanaoamini katika "hakuna kulala mpaka kieleweke", hawawezi kulala mpaka 'kimeeleweka' Uzini. Tuwe pamoja.
Ahsante sana!....ndiyo maana huwa nasema hakuna chama makini na chenye watu makini kama CDM.
 
Mkuu kama maelezo hukuyafahamu ulikua uombe muongozo! Yale maelezo nimeyacopy fb na kupaste hapa na aliyeyaweka umeona jina lake, muda huu yupo uzini na ni wakala wa CCM. Nimeweka taarifa kwa faida ya wanaukumbi, hulazimishwi kuyaamini.

Kamanda Mpembambishi, haya uliyoyaandika hapa ndiyo ulipaswa kuyaandika tangu mwanzo, sasa mbona umeeleweka? Ofcourse kueleweka si lazima kuaminika au siyo mkuu. Asante, naona nilikuchoropoa ukaweka mambo sawa.
 
Kamanda usiogope. Uoga wa Watz umekuwa moja ya silaha kubwa lakini nyepesi sana ya watawala wetu. Nao wametambau hilo. Siku wakijua kuwa Watz wameacha kuogopa. siku wakitambua kuwa Watz have nothing to fear, but fear itself, utaona watakavyorudi nyuma. Huna haja ya kuvuka mipaka kwenda kutafuta mifano. Hivi wakoloni weupe wale, walitutawala kwa miaka mingapi kweli? Hopefully unajua vzr, eeeh, TANU wakaweza kuwaondoa baada ya miaka mingapi?

Kamanda huu si wakati wa kurudi nyuma, wala kuogelea kwenye propaganda zao, ambazo zinawaaminisha watu kuwa itachukua muda mrefu sana kwa CCM kuondolewa madarakani. Tumeshafikia ama tunakimbilia kwa kasi sana, critical point ya hii struggle. CCM ni wepesi sana wakiwekewa mguu chini. Kwa kusema hivyo simaanishi kuwa kazi nyepesi, but crucially what we just need ni watu with strong belief to the course, kwa ajili ya watu, kwa ajili ya Watanzania. Basi. Miongoni mwao unapaswa kuwa wewe mkuu.

Watu wanaoamini kuwa yanayoendelea kuwakwaza Watz na kuwakosesha fursa za kujiendeleza na kufikia ustawi wa maisha yao yanatokana na (mfumo) utawala mbovu, chini ya CCM.
Kamanda,ahsante kwa maelezo yako mazuri yenye kuamsha mori na si kukata tamaa....hoja zako huwa zinanipa msisimko wa kifikra.
Ila ki ukweli kama CDM ingeshinda Uzini basi ingekuwa fundisho kubwa sana kwa watawala wetu kutokana na propaganda zao za udini
ukanda na ukabila. But any way siku moja mungu atakuwa upande wetu na hawatakuja kuamini macho yao. Time will tell
 
Updates;

Ngoma sasa iko kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Uzini. Matokeo yanaendelea kukusanywa na kufanyiwa majumuisho kwenye kompyuta. Mechanism yetu pia inaendelea kukusanya matokeo yote ya kura zote na taarifa za mchakato mzima wa leo. Uchaguzi umetawaliwa na vitisho na ubabe mwingi. Mpaka sasa zipo taarifa juu ya CCM kuweka ofisi ndogo katika kila kituo cha kupigia kura. Wakiwakamata wapiga kura na kuwashikisha vitambulisho vya kupigia kura. Wakitoka kupiga kura anakuwepo mtu maalum anawapatia pesa.
 
Kura si zimeshapigwa mkuu na matokeo ndiyo yanawasilishwa vipi tena hapo mkuu? Kuna ushahidi wa matukio hayo? Tupe updates mpaka saizi hali inavyoendelea.
 
Kamanda,ahsante kwa maelezo yako mazuri yenye kuamsha mori na si kukata tamaa....hoja zako huwa zinanipa msisimko wa kifikra. Ila ki ukweli kama CDM ingeshinda Uzini basi ingekuwa fundisho kubwa sana kwa watawala wetu kutokana na propaganda zao za udini ukanda na ukabila. But any way siku moja mungu atakuwa upande wetu na hawatakuja kuamini macho yao. Time will tell

Endelea kushika chuma Kamanda Mshikachuma kukomboa nchi na wananchi.
 
Updates;

Ngoma sasa iko kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Uzini. Matokeo yanaendelea kukusanywa na kufanyiwa majumuisho kwenye kompyuta. Mechanism yetu pia inaendelea kukusanya matokeo yote ya kura zote na taarifa za mchakato mzima wa leo. Uchaguzi umetawaliwa na vitisho na ubabe mwingi. Mpaka sasa zipo taarifa juu ya CCM kuweka ofisi ndogo katika kila kituo cha kupigia kura. Wakiwakamata wapiga kura na kuwashikisha vitambulisho vya kupigia kura. Wakitoka kupiga kura anakuwepo mtu maalum anawapatia pesa.
Duu!....ona sasa!. Yaani hawa CCM hata aibu hawana? Hivi ushindi gani wa kulazimisha namna hii? Sawa watashinda uchaguzi huu,lakini nafsi zao zitawasuta hadi siku ya kuingia kaburini. Time will tell. Poleni sana makamanda kwa mauza uza munayoyashuhudia huko
 
Tumaini Makene shukrani mkuu'tunasubiri matokeo kwa shauku kubwa'hata kama chadema itashindwa wameshatoa elimu ya kutosha'Mungu yupo nasi!

Hii ni kauli ya unyonge kabisa eti hata kama Chadema itashindwa..

Mie tarudi baadae hapa kupata matokeo!
 
Duu!....ona sasa!. Yaani hawa CCM hata aibu hawana? Hivi ushindi gani wa kulazimisha namna hii? Sawa watashinda uchaguzi huu,lakini nafsi zao zitawasuta hadi siku ya kuingia kaburini. Time will tell. Poleni sana makamanda kwa mauza uza munayoyashuhudia huko

Mkuu, usiwe na wasiwasi matokeo bado kuna mtu kaanzisha thread kuwa Chadema wanaongoza... Jimbo la kwenu.
 
Updates;

Ngoma sasa iko kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Uzini. Matokeo yanaendelea kukusanywa na kufanyiwa majumuisho kwenye kompyuta. Mechanism yetu pia inaendelea kukusanya matokeo yote ya kura zote na taarifa za mchakato mzima wa leo. Uchaguzi umetawaliwa na vitisho na ubabe mwingi. Mpaka sasa zipo taarifa juu ya CCM kuweka ofisi ndogo katika kila kituo cha kupigia kura. Wakiwakamata wapiga kura na kuwashikisha vitambulisho vya kupigia kura. Wakitoka kupiga kura anakuwepo mtu maalum anawapatia pesa.
Asante sana mkuu kwa taarifa hizi, to me kwa CDM kuwasha moto Zenj ni mwanzo mzuri ile kuvunja mawazo ya kuwa siasa za Zanzibar ni za CCM na CUF inatia moyo, pili CDM kuingia huko inaonyesha kuwa ina dhamira ya kweli ya kuwakomboa watu wote wa tabaka mbalimbali bila kujali sehemu na dini zao na inaonyesha ina dhamira ya kweli ya kushika dola. Kwa hiyo kwa matokeo yeyote ya leo ni ushahidi wa ushindi kwa Chadema. Mkitoka huko hamisheni kambi moja kwa moja Arumeru Mashariki bila kuchoka maana ni ngumu sana hasa unapotafuata ukombozi kutoka kwa ndugu yako mkoloni mweusi kuliko kutoka kwa mkoloni mweupe.

Hongera sana makamanda mlio ground Mungu awatangulie pamoja tutashinda.
 
Back
Top Bottom